ZANZIBAR: HASNA ATTAI MASOUD AWA MWANAMKE WA KWANZA KUREJESHA FOMU YA URAIS
- Amerejesha fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais kupitia CCM
- Wanawake wengine waliochukua fomu ni Mwantum Sultan, Fatma Masoud, Mgeni Juma na Maudline Castico
Soma https://jamii.app/HasnaAttaiZNZ

MBATIA: HAKUNA KIRANJA KWA MWENZAKE, VYAMA VISHINDANE KWA HOJA
- Amesema hakuna Chama cha siasa ambacho ni kiranja kwa mwenzake
- Ameitaka Tume ya Uchaguzi (NEC) kusimamia Sheria ili kuhakikisha haki inatendeka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020
Soma - https://jamii.app/MbatiaVyamaUchaguzi

RUKWA: MWANAMKE AUAWA KWA MAWE KUTOKANA NA TUHUMA ZA UCHAWI
> Jeshi la Polisi linawasaka watu wasiojulikana kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga mawe, Maria Birika (40)
> Ni baada ya mtoto Given Lameck (15) kukutwa amefungiwa nyumbani kwa mwanamke huyo
Soma - https://jamii.app/MauajiUshirikina

ZANZIBAR: MGOMBEA AJITOA KWENYE MCHAKATO WA URAIS, ASEMA ANAIPUNGUZIA KAZI CCM
- Hussein Ibrahim Makungu anakuwa Mgombea wa 1 kujitoa ktk mchakato wa Urais Zanzibar
- Amedai amefikia uamuzi huo ili kuipunguzia CCM kazi ya kuchuja wanachama
Soma https://jamii.app/HusseinIbrahimZNZ

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA MAHANDAKI YA RELI YA SGR
- Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa mahandaki ya reli ya kisasa kutoka Morogoro hadi Makutupora
- Amesema leo ni siku muhimu kwa wananchi kwa ujumla kwa juhudi zao za kufanikisha reli hiyo iliyogharimu Tsh. Trilioni 6.05
- Rais Magufuli amesema Tanzania sio masikini, na fedha za mradi huo sio za kukopa. Ametoa pongezi kwa Wakandarasi kutoka Uturuki kwa kazi kubwa waliyofanya
Soma https://jamii.app/HandakiReli
#JamiiForums #JFMagufuli

#CORONAVIRUS KENYA: WAGONJWA WAPYA 120 WATANGAZWA, VISA VYAFIKIA 6,190
- Wagonjwa hao wamethibitishwa baada ya sampuli 2,221 kupimwa ndani ya saa 24
- Vifo vimefikia 144 baada ya mgonjwa 1 kufariki na wagonjwa waliopona ni 2,013
Soma https://jamii.app/Corona6190-KE
#JFCOVID19_Updates

EWURA YAVIFUTIA LESENI ZA UUZAJI WA MAFUTA VITUO 5 KWA KUUZA MAFUTA JUU YA BEI ELEKEZI
> Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imevifutia leseni vituo hivyo kwa kuficha na kuuza mafuta juu ya bei elekezi huku ikotoa onyo kali kwa wauzaji wanaojaribu kufanya hujuma na kukiuka maagizo ya Serikali
Soma - https://jamii.app/KufungwaVituoMafuta

FAHAMU SIKU ZA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA/UJAUZITO
> Kufahamu mzunguko wako, hesabu tangu siku ya kwanza uliyoona hedhi mpaka siku moja kabla ya kuona hedhi inayofuata. Unashauriwa uchukue miezi 3 mpaka 6 ukihesabu ili kuwa na uhakika kwamba mzunguko wako haubadiliki
> Kwa mzunguko wa siku 28 siku yenye uwezekano mkubwa wa kupata mimba ni siku ya 14 kabla ya kuona hedhi inayofuata. Kwa kuwa mbegu ya kiume inaweza kuishi mpaka siku 3 basi siku 4 zina uwezekano wa kupata mimba ambazo ni 10,11,12,13,14 na hata 15
Zaidi, soma - https://jamii.app/SikuHatariMimba

ZANZIBAR: JECHA SALUM JECHA AREJESHA FOMU YA URAIS
- Amerejesha fomu Ofisi Kuu ya CCM baada ya kukamilisha utaratibu wa kupata wadhamini 250
- Jecha anakuwa mgombea wa 24 kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Urais visiwani humo
Soma - https://jamii.app/JechaTena

KIFO CHA QASSEM SOLEIMANI: IRAN YATOA HATI YA KUMKAMATA RAIS TRUMP
- Rais Trump na watu wengine zaidi ya 30 wanatuhumiwa kuhusika ktk shambulio la Januari 3 lililomuua Jenerali Soleimani
- Wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji na ugaidi
Soma https://jamii.app/TrumpArrestWarrant

#CORONAVIRUS: INDIA YAREKODI VISA ZAIDI YA 10,000 KWA SIKU YA 8 MFULULIZO
- India imerekodi visa vipya 19,459 ndani ya saa 24 zilizopita
- Nchi hiyo ina jumla ya visa 549,853, vifo 16,504 na wagonjwa 322,121 wamepona hadi sasa
Soma - https://jamii.app/COVID19Updates

FAHAMU MATUMIZI SAHIHI YA βHOME THEATREβ
> Unashauriwa kununua βHome theatreβ kama unalenga DVD au matumizi ya βAudiovisualβ lakini kama unataka kuuhisi muziki na raha zake nunua βHigh Fidelity Audio systemβ ambayo imetengenezwa maalum kwa ajili ya kutoa Muziki halisi
> Home Theatre inaweza kukupa uhalisia wa filamu na imetengenezwa kwaajili ya Sinema nyumbani sio muziki
Fahamu zaidi - https://jamii.app/HomeTheatreUse
#JFTeknolojia

WAKURUGENZI WA PUMA, TOTAL NA ORYX WAKAMATWA KWA KUVURUGA USAMBAZAJI WA MAFUTA
> Polisi jijini Dar wamewakamata Wakurugenzi wa Kampuni za Mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara wakidaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini
Soma https://jamii.app/UsambazajiMafuta

MDAU: NIFANYEJE ILI WANANGU WAWE WATUNZAJI WA VITU NINAVYOWANUNULIA?
> Mdau ndani ya JamiiForums.com anasema ndani ya siku ya tatu tangu awanunulie watoto wake iPad kwa ajili ya michezo na masomo wameshapasuka kioo
> Anauliza, ni mbinu ipi nzuri ya kuwafundisha watoto utunzaji wa vitu hususan vyenye thamani maana kuwachapa tuu hasaidii?
Mjadala - https://jamii.app/UharibifuWatoto

KUKOSEKANA KWA MAFUTA: IGP AAGIZWA KUWAKAMATA WANAOHUJUMU USAMBAZAJI
> Waziri George Simbachawene amesema Mkoani Dodoma na Singida kuna ukosefu wa mafuta kutokana na Kampuni kutokusafirisha mafuta wakiwa na lengo la kusubiri mpaka Jumatano bei ikiongezeka ili wapate faida
Soma - https://jamii.app/UhabaMafutaTz

CHINA: WANASAYANSI WAGUNDUA AINA MPYA YA MAFUA. HOFU YA MLIPUKO YATANDA
- Mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu wanaweza kuambukizwa
- Wanasayansi wana hofu kwamba mafua hayo yanaweza kusambaa kirahisi na kusababisha mlipuko
Soma https://jamii.app/FluVirusChina

YAJUE MAKOSA YALIYOAINISHWA NA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO(2015)
> Sheria hii inahusu makosa yanayohusiana na mifumo ya kompyuta na TEHAMA
> Pia inahusiana na uchunguzi, ukusanyaji na matumizi ya ushahidi wa kielektroniki
Soma > https://jamii.app/MakosaSheriaMtandao
#UhuruWaKujieleza

MFAHAMU SENETA ERNIE CHAMBERS ALIYEMBURUZA MUNGU MAHAKAMANI
> Seneta wa Jimbo la Nebraska Marekani, mwaka 2008 alimshtaki Mungu akiiomba Mahakama itoe zuio la kudumu dhidi ya Mungu kufanya shughuli zake zenye madhara kama mafuriko, matetemeko ya ardhi, vimbunga, tufani na majanga mengine
> Mahakama ilimtaka kuhakikisha anamtaarifu Mungu kuhusu uwepo wa shauri hilo dhidi yake kwa kumtumia nyaraka zote za kesi kupitia anuani rasmi ya Mungu ili aweze kufika Mahakamani kujibu madai dhidi yake
Soma - https://jamii.app/LawsuitsAgainstGod

TANZANIA YAPATA MKOPO WA ZAIDI YA BILIONI 590 KUTOKA UFARANSA
- Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimesaini mikataba ya mkopo wa Tsh. Bilioni 592.57 kwa ajili ya kutekeleza miradi mitatu ya kipaumbele ya umeme na maji
Soma https://jamii.app/MkopoUfaransaTZ