NEC: TUNASUBIRI TANGAZO LA KUVUNJWA BUNGE TUTANGAZE TAREHE YA UCHAGUZI
- Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la Serikali la kuvunjwa kwa Bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya Uchaguzi Mkuu
Soma https://jamii.app/NECBungeUchaguzi
#Uchaguzi2020

LINDI: WANNE MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA KATIKA KUWANIA UBUNGE
> Mtia nia ya Ubunge, Ally Chinumba na wenzake 4 wanashikiliwa na TAKUKURU
> Ally alikutwa na Tsh. 841,000 na bahasha zilizohisiwa kuandaliwa kuweka hela za kuwapa Wajumbe wa CCM
Soma https://jamii.app/UbungeRushwa2020

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAKULIMA (AAFP) ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS ZANZIBAR
- Said Soud amechukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Urais #Zanzibar kupitia chama hicho
- Amesema akipata ridhaa atazingatia amani, utulivu na maendeleo ya Zanzibar
Soma https://jamii.app/SaidAAFP-ZNZ

MALAWI: MUTHARIKA AWATAKA WAFUASI WAKE KUPUUZA MATOKEO YA AWALI
> Matokeo ya awali ya Uchaguzi wa pili uliofanyika yameonesha Lazarus Chakwera anaongoza kwa kupata kura 59%
> Rais Mutharika awaambia wafuasi wake kusubiri matokeo ya jumla
Soma https://jamii.app/UchaguziMalawi2020

ZANZIBAR: MWANAMKE WA NNE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUWANIA URAIS
> Mgeni Hassan Juma, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia CCM
> Amekuwa Mwanachama wa 31 kuchukua fomu hiyo
Soma https://jamii.app/UraisZanzibar31

UCHAGUZI ZANZIBAR: Hadi kufikia leo jumla ya Wanachama 31 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya Urais #Zanzibar
- Kati ya Wanachama hao 31, Wanachama 8 wamerudisha fomu hizo baada ya kuzijaza
#Uchaguzi2020 #JamiiForums #Siasa #JFSiasa

NAMNA YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NDEVU
> Mafuta haya hujaza ndevu, huzing'arisha na pia huondoa mba
> Ni mchanganyiko wa Sega la nyuki, βShea Butterβ, Mafuta ya nazi, Mafuta ya lozi, mafuta ya mrujuani (Lavender) na mafuta ya βrosemaryβ
Soma zaidi https://jamii.app/MafutaYaNdevu
#JFUrembo

WANNE WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MLIMA KITONGA
> Ajali hiyo imehusisha gari la Prezdar linalotoka Dar kwenda Iringa, lililoacha njia na kutumbukia korongoni
> Watu 10 wameripotiwa kujeruhiwa katika ajali hiyo
Soma https://jamii.app/AjaliKitonga
#JFLeo

MAMLAKA YA POLISI KUHUSU UPEKUZI KWA VYOMBO VYA HABARI
> Kwa mujibu wa kifungu namba 60 cha Sheria ya Huduma za Habari (2016), Jeshi la Polisi limepewa mamlaka pana ya kufanya upekuzi kwenye chombo cha habari na kukamata kifaa chochote kilichoanzishwa, kuwekwa, au kuendeshwa kwa kukiuka matakwa ya Sheria hii
Soma > https://jamii.app/MamlakaPolisi

UCHAGUZI WA MARUDIO MALAWI: KIONGOZI WA UPINZANI ASHINDA URAIS
> Lazarus Chakwera amemshinda Peter Mutharika kwa kupata 58.57% ya kura
> Matokeo yametangazwa usiku wa Jumamosi, Juni 27. Chakwera anatarajiwa kuapishwa leo, Juni 28
Soma https://jamii.app/UraisMalawi2020

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KISARAWE: RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI
- Rais Magufuli amezindua mradi wa Maji wa Kibamba - Kisarawe uliojengwa kwa gharama ya zaidi ya Tsh. Bilioni 10.6
- Mradi huu una awamu ya pili ambayo imeanza na itagharimu Tsh. Bilioni 7.3
Fuatilia https://jamii.app/MagufuliKisaraweMaji
#JFMagufuli

RAIS MAGUFULI AMTEUA MWANANA MSUMI KUWA DAS WA KISARAWE
- Rais Magufuli ametengua uteuzi wa DAS wa Kisarawe, Mtela Mwampamba kwa kuwa na tuhuma zisizoenda na kazi yake ikiwemo kutembea na wake za watu
- Amemteua Mwanana ambaye ni Afisa Tawala kutokana na pendekezo alilopewa hapo hapo na Mkuu wa Mkoa wa Pwani

ZANZIBAR: MAALIM SEIF ATANGAZA KUGOMBEA URAIS
> Amesema atachukua fomu Julai 4
> Amesema walifanya utafiti ambao umeonesha bado anakubalika, na baadhi ya wazanzibari walisema hawatapiga kura asipogombea Urais
Soma https://jamii.app/SeifUraisZanzibar

SERIKALI YATAIFISHA DHAHABU YA ZAIDI YA TSH. BILIONI 2.9
- Serikali imetaifisha dhahabu ya Kg 27.488 iliyoingizwa kinyemela kutoka Kenya
- Dhahabu hiyo mali ya Mfanyabiashara Bhawesh Chandulal Gandecha, ilikamatwa Sirari Mei 15, 2020
Soma https://jamii.app/DhahabuTaifishwa

ZANZIBAR: MAUDLINE CYRUS CASTICO ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS
> Maudline ni Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto Zanzibar
> Ni mgombea wa 32 kuchukua fomu hiyo kupitia CCM, na wa 5 kwa wagombea Wanawake
Soma https://jamii.app/ZnzUrais2020
#JFSiasa

DRC: KUKAMATWA KWA WAZIRI WA SHERIA KWATISHIA KUVUNJIKA KWA SERIKALI YA MSETO
> Waziri Celestin Tunda alikamatwa na Polisi Jumamosi na kuachiwa baada ya saa kadhaa kutokana na kukwaruzana na Rais Felix Tshisekedi juu ya mabadiliko ya Mahakama yaliyopendekezwa na chama chake ambayo yataipa Wizara ya Sheria udhibiti zaidi juu ya uendeshaji wa kesi za jinai
Soma - https://jamii.app/ArrestJusticeMp

#CORONAVIRUS: VISA ZAIDI YA MILIONI 10 VYAREKODIWA DUNIANI
- Kwa mujibu wa Shirika la Afya (WHO), visa 10,328,594 vya #COVID19 vimerekodiwa hadi sasa
- Vilevile, wagonjwa 5,290,825 wamepona na jumla ya vifo 505,991 vimeripotiwa
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates

SERIKALI YATOA UFAFANUZI ZAIDI KUHUSU MATUMIZI YA BARAKOA KWA WANAFUNZI
- Wizara ya Afya imeelekeza Wanafunzi kutumia barakoa katika mazingira ya msongamano
- Walio chini ya miaka 8 na wenye matatizo ya kiafya wametakiwa kutozitumia kabisa
Soma https://jamii.app/MatumiziBarakoaWanafunzi

CUF YAMSIMAMISHA UONGOZI MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA HICHO ZANZIBAR
> Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF limemsimamisha Uongozi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar, Abbas Juma Muhunzi kwa kukiuka Maadili ya Uongozi
Soma - https://jamii.app/UongoziMKitiZbar

#CORONAVIRUS CHINA: TAKRIBAN WATU 400,000 WAWEKWA βLOCKDOWNβ
- Wananchi 400,000 katika Kaunti ya Anxin, iliyopo karibu na Beijing wametakiwa kutotoka ndani
- Mamlaka zimeonya kuwa watakaokiuka taratibu zilizowekwa wataadhibiwa na Polisi
Soma https://jamii.app/CoronaLockdownChina