POLISI: UCHUNGUZI TUKIO LA MBOWE UNAENDELEA. MARUFUKU KULIFANYA LA KISIASA
- Wamesema wanafanyia uchunguzi tukio hilo bila kuacha chochote ili kupata ukweli na usahihi
- Wameonya tukio hilo lisitumike kisiasa au njia ya kujiongezea umaarufu
Soma https://jamii.app/MboweMurotoDom
#JFLeo

CHADEMA: POLISI WAMUHOJI MASHIMO NA WASIFUNGE MILANGO YA UCHUNGUZI
- Imesema Polisi haipaswi kuliita tukio la kushambuliwa Mbowe ni la kawaida kwani lina uelekeo wa kisiasa
- Imesema kuna video ya Mchungaji Mashimo ilisambaa akisema kuna Kiongozi wa Upinzani atashambuliwa
Soma https://jamii.app/MboweCHADEMADom

MARA: ALIYEMUUA MUMEWE KWA NYUNDO AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA
> Chausiku Magoiga (34), alimuua Nchama Mwita (40), Novemba 10, 2017 akiwa amelala kwa madai ya ulevi na kumnyanyasa
> Alihukumiwa Juni 5, 2020 baada ya Mahakama kuridhika na ushahidi uliotolewa
Soma https://jamii.app/AhukumiwaKunyongwa

FREEMAN MBOWE AHAMISHIWA DAR KUTOKEA DODOMA
- Ametolewa katika hospitali ya DCMC na kusafirishwa kwenda jijini Dar kwa matibabu zaidi
- Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Esther Bulaya amesema wataeleza baadaye ni hospitali gani anakwenda
Soma https://jamii.app/MboweAttack

NIMR: UTAFITI WA DAWA YA #COVID19 YA MADAGASCAR UNAENDELEA
- Taasisi ya Taifa ya Kupambana na Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imesema kuwa inaendelea na utafiti wa dawa ya #CoronaVirus kutoka Madagascar, na utakapokamilika itatolewa kwa Umma
Soma https://jamii.app/UtafitiDawaMDGSR

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WAZIRI MKUU MIONGONI MWA VIONGOZI WALIOMJULIA HALI MBOWE
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Hispitali ya Ntyuka Jijini Dodoma kabla Kiongozi huyo kusafirishwa kwenda Dar
- Viongozi wengine waliomjulia hali Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Hai ni pamoja na Spika wa Bunge, Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson
#JFSiasa #Siasa #JamiiForums

RAIS WA BURUNDI, PIERRE NKURUNZIZA AFARIKI DUNIA
- Amefariki akiwa na miaka 55 na kwa mujibu wa Serikali ya Burundi ni kutokana na Mshtuko wa Moyo
- Hivi karibuni Mke wake, Denise Bucumi alilazwa nchini Kenya kwa matibabu ya #COVID19
Soma https://jamii.app/PierreNkurunzizaAfariki

KENYA YATANGAZA ONGEZEKO LA WAGONJWA 127 WA #COVID19 AKIWEMO MTOTO WA WIKI 3
- Ni baada ya sampuli 2,247 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Idadi ya visa imefikia 2,989
- Wagonjwa 124 ni Wakenya na 3 ni wageni; 84 ni Wanaume na 33 ni Wanawake
Soma https://jamii.app/COVID19KE-2989
#JFCOVID19_Updates

UCHAGUZI 2020: WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA RUSHWA
> Waandishi wa habari wameonywa kutojihusisha na rushwa kwa kutumiwa na Wanasiasa
> Wametakiwa kuzingatia miiko na maadili ya kazi. Kutoa elimu kwa raia ili wachague viongozi sahihi
Soma https://jamii.app/TAKUKURUWaandishi

TETESI: CHELSEA INATAKA KUMSAJILI KAI HAVERTZ KUTOKA LEVERKUSEN
- Havertz (20) ana magoli 15 na pasi 8 za magoli kwa msimu wa 2019/20 hadi sasa
- Chelsea imemsajili Hakim Ziyech na inadaiwa kuwa kwenye makubaliano ya awali kumsajili Timo Werner wa RB Leipzig
- Aidha, Beki wa kushoto wa Leicester City, Ben Chilwell anaendelea kuwa mchezaji anayehitajika zaidi Stamford Bridge
#JFSports #Sports

JIKINGE DHIDI YA MAAMBUKIZI YA #CORONAVIRUS KWA KUZIJUA SEHEMU HATARISHI KWA WASAFIRI
> Msafiri yuko kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa #COVID19 awapo safarini
> Ni muhimu kwa wasafiri kuzijua njia zote za kujikinga na hatari hiyo
Soma > https://jamii.app/COVID19VsWasafiri
#IshiNaCOVID19

BUNGENI, DODOMA: DAVID SILINDE ATANGAZA KUJIUNGA CCM
> Mbunge huyo wa Jimbo la Momba alijiuzulu nafasi zote baada ya CHADEMA kumtaka kufanya hivyo
> Spika Ndugai amempokea na alimuhamisha ili akae upande wa viti vya Wabunge wa CCM
Soma https://jamii.app/SilindeAhamiaCCM
#JFSiasa

IRINGA: WATU 8 MBARONI KWA KUPOKEA MISHAHARA MIWILI KINYUME NA SHERIA
> TAKUKURU imewafikisha Mahakamani waajiriwa wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU)
> Wanatuhumiwa kufundisha Chuo hicho huku wakiwa ni waajiriwa wa Serikali
Soma https://jamii.app/WiziMilioni500

MTWARA: KIJANA ATUHUMIWA KUMUUA MZEE KWA PANGA ILI KUIBA KUKU NA SOLA
> Mukhsin Selemani(24) anatuhumiwa kumuua Hassan Mtipa (67) ktk tukio la wizi nyumbani kwa marehemu
> Polisi wamesema baada ya kukamatwa, mtuhumiwa alikiri kuiba na kufanya mauaji
Soma https://jamii.app/WiziMauajiMtwara

CHINA: DAWA YA #COVID19 KUJARIBIWA KWA MWANADAMU
> Dawa hiyo inayoitwa JS016, itajaribiwa kama haina madhara kwa mwanadamu
> Pia, dawa hiyo inachunguzwa kama inaweza kutumika yenyewe au itahitaji uwepo wa dawa nyingine
Soma https://jamii.app/ChinaDawaCOVID19

UN: WATU MILIONI 49 WANAWEZA KUINGIA KWENYE UMASIKINI ULIOKITHIRI
> Umaskini uliokithiri utaongezeka kutokana na athari za #COVID19
> Pia, idadi ya watu watakao kuwa na upungufu wa chakula au ukosefu wa lishe bora itaongezeka haraka
Soma https://jamii.app/UmasikiniUliokithiri

UBELGIJI: SANAMU YA MFALME LEOPOLD II YAONDOLEWA ANTWERP
> Mfalme Leopold II anajulikana kwa kuwa na utawala wa chuma na katika utawala wake aliwaua takriban raia wa Congo milioni 10
> Alitawala kuanzia mwaka 1885 hadi mwaka 1908
Soma https://jamii.app/SanamuLeopoldII
#JFLeo
> Mfalme Leopold II anajulikana kwa kuwa na utawala wa chuma na katika utawala wake aliwaua takriban raia wa Congo milioni 10
> Alitawala kuanzia mwaka 1885 hadi mwaka 1908
Soma https://jamii.app/SanamuLeopoldII
#JFLeo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA: WABUNGE 69 WA CHADEMA KUHOJIWA TAKUKURU
- TAKUKURU inawahoji Wabunge 69, Wanachama na waliokuwa Wanachama wa CHADEMA
- Baadhi ya Wabunge walidai kukatwa fedha kwenye mishahara yao bila kujua matumizi yake
Soma https://jamii.app/CHADEMA-TAKUKURU

UINGEREZA: MUME WA MALKIA ELIZABETH II, MWANAMFALME PHILIP ATIMIZA MIAKA 99
- Philip, amemuoa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II (94) kwa zaidi ya miongo 7 iliyopita
- Kutokana na #COVID19, amejifungia na Mkewe katika nyumba ya Kifalme ya Windsor hivyo Wanafamilia wengine watatuma salamu kwa njia ya simu
Soma https://jamii.app/PrincePhilip99

DKT. MOLLEL ASEMA WANASHUGHULIKIA TATIZO LA MADEREVA NAMANGA
- Amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya, Namanga na kuzungumza na madereva wa malori
- Madereva wamedai kuombwa Ksh. 2,000 (Tsh. 43,443) na Maafisa wa Kenya ili kuandikiwa hawana #COVID19
Soma https://jamii.app/MollelNamanga