MOROGORO: TAKUKURU INAMCHUNGUZA MBUNGE DKT. CHRISTINE
- Mbunge wa Viti Maalum(CCM), Dkt. Christine Ishengoma anachunguzwa akituhumiwa kugawa rushwa kwa wapiga kura
- Pia, aliyewahi kuwa Meya wa Morogoro, Amir Nondo amefikishwa Mahakamani kwa makosa ya uhujumu uchumi
Soma https://jamii.app/IshengomaTAKUKURU

MOROGORO: HEKARI 100 ZA BANGI ZABAINIKA, VIONGOZI WA VIJIJI WATAKIWA KURIPOTI POLISI
> Polisi wamehoji Viongozi walikuwa wapi wakati shughuli hizo zikiendelea
> Afisa Mtendaji asema umbali kutoka makazi ya watu ni sababu ya kutogundua mashamba hayo mapema
Soma https://jamii.app/BangiHeka100

BURUNDI: SPIKA KUONGOZA NCHI HADI NDAYISHIMIYE ATAKAPOAPISHWA
> Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hiyo, Spika wa Bunge ataongoza hadi aliyeshinda Urais atakapoapishwa
> #Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha Rais Pierre
Soma https://jamii.app/BurundiSpikaRais

SPIKA NDUGAI: MAGUFULI ATAONGEZEWA MUDA, ATAKE ASITAKE!
- Spika Ndugai amesema hayo akiunga mkono hoja ya Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy aliyesema "Katiba sio Msaafu, inaweza kubadilishwa na anakuwa si Rais wa kwanza kuongezewa muda. Tutakwenda kubaya baada ya Rais huyu. Hatuwezi kumuachia eti anakataa, anakataa vipi? Alazimishwe!"
Zaidi; https://youtu.be/YIB06zhOE4o

YouTube
Spika Ndugai: Rais Magufuli atake, asitake ataongezewa muda
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Kessy (CCM) aje na azimio la kutaka Rais Dk. John Magufuli aongezewe muda baada ya mwaka 2025 hata kama hataki
RUFAA YA SERIKALI KATIKA KESI YA SHERIA YA VYOMBO VYA HABARI YATUPILIWA MBALI
- Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa hiyo katika kesi ya kupinga baadhi ya vifungu 'kandamizi' katika Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016
Soma https://jamii.app/SerikaliSheriaHabari

#CORONAVIRUS-UGANDA: WAGONJWA 8 WAONGEZEKA. WATANZANIA 8 WARUDISHWA
- Wagonjwa wote ni Waganda na jumla ya Visa imefikia 665
- Pia, Madereva wa Kenya-16, Tanzania-8, Eritrea-5, Burundi-1 na Sudan Kusini-1 wamerudishwa baada ya kukutwa na #COVID19
Soma https://jamii.app/COVID19UG-665
#JFCOVID19_Updates

#CORONAVIRUS: SEHEMU HATARISHI KWA WASAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO
> Sehemu za kupakia Mizigo na Abiria pamoja na vituo vya ukaguzi
> Vituo vya kubadilishia fedha(mipakani) au wakati wa kusubiri kuvuka mpaka
Kwa maeneo mengine, fungua > https://jamii.app/COVID19VsWasafiri
#IshiNaCOVID19

CHADEMA: HATUWEZI KUWA WATULIVU TENA KWA POLISI KUTUZUGA WANAFANYA UCHUNGUZI
- Imesema Shambulio dhidi ya Mbowe ni mfululizo wa mashambulio dhidi ya Viongozi na Wanachama wa CHADEMA
- Imesema ni utamaduni kwa Tanzania ya Magufuli kuwafanyia vitendo vya kihalifu halafu kuwazuga na kuwatuliza kwa ahadi ya kufanya uchunguzi
Soma https://jamii.app/CHADEMAMbowe

KENYA YATANGAZA WAGONJWA WAPYA 105 WA #COVID19. 175 WAPONA
- Ni baada ya sampuli 2,273 kupimwa. Jumla ya Visa ni 3,094 na waliopona ni 1,048
- Kati ya visa vipya, Wakenya ni 96 na wageni 9 huku umri wao ukiwa kati ya miaka 2 - 77
Soma https://jamii.app/COVID19KE-3094

WAZIRI UMMY: MIKOA ZAIDI YA 15 HAINA MGONJWA YEYOTE WA #COVID19
- Amemshukuru Rais Magufuli kwa kusimama imara na kuongoza mapambano dhidi ya #CoronaVirus
- Aidha, amewasisitiza Wananchi waendelee kuchukua tahadhari kwa kuzingatia maelekezo ya Wataalamu
Zaidi, tembelea https://youtu.be/qgu4Te4UKo8

Waziri Ummy: Mikoa zaidi ya 15 haina mgonjwa yeyote wa COVID19
Amesema “Tunamshukuru Rais Magufuli kwa kusimama imara katika kuongoza mapambano dhidi ya #CoronaVirus hadi sasa ambapo Ugonjwa huo unaelekea kuisha nchini Tanzania”
DAR: MHASIBU MBARONI KWA KUSABABISHIA SERIKALI HASARA YA TSH MILIONI 14.5
> TAKUKURU inamshikilia Mhasibu wa Hospitali ya Tambukareli, Simon Mbilanga kwa kukusanya pesa na kuzifanyia matumizi binafsi
> Alitenda makosa hayo mwaka 2015 na 2016
Soma https://jamii.app/MbaroniHasara14Mil

NIGERIA: WATU 59 WAUAWA NA WANAODAIWA KUWA WANAJIHAD
> Watu hao wameshambuliwa kwa risasi na kugongwa na magari na wapiganaji wanaoshirikiana na wanajihad
> Shambulio hilo limekuja baada ya wanakijiji kumuua mmoja wa wapiganaji
Soma https://jamii.app/Nigeria59Wauawa
#JFLeo

UMUHIMU NA FAIDA ZA KUTUMIA ‘BULK SMS’ KWENYE BIASHARA
> Bulk SMS ni huduma ya kutuma ujumbe kwa watu wengi kwa muda mfupi. Huduma hii ipo tofauti na SMS za kawaida
> Husaidia kupunguza gharama kwa kununua SMS kwa bei ya jumla. Pia, ujumbe hupokelewa ktk simu yoyote
Soma zaidi https://jamii.app/BulkSMS
#JFBiashara

KUMBUKUMBU: MATUKIO KATIKA MAISHA YA HAYATI NKURUNZIZA
> Aliingia madarakani Agosti 26, 2005 taifa hilo likiwa limegubikwa na mgawanyiko wa kikabila uliosababisha mauaji ya watu takribani 300,000 kwa muongo mmoja
> Maofisa 17 wa Jeshi la Burundi walifikishwa Mahakamani kwa kosa la kujaribu kuipindua Serikali yake mwaka 2015
> Juni 2016 Wanafunzi zaidi ya 300 wa darasa la 8 walisimamishwa masomo baada ya kuzichorachora vibaya picha zake
> MATATANI KWA KUMPIGA CHENGA: Mnamo Machi 2018 watu wawili “walitiwa ndani” baada ya kumchezea rafu Rais Pierre Nkurunziza katika mchezo wa mpira wa miguu wa kirafiki
> Machi 2019 Wanafunzi 3 wa kike nchini Burundi walijikuta “wakipata tabu sana” Machi 2019 kwa kuharibu picha ya Rais Pierre Nkurunziza kwa kuchora kwenye kitabu (text book)
#Nkurunziza #JFLeo

JOYCE BANDA ADAI MALAWI HAINA #COVID19
> Rais wa zamani wa Malawi, amedai hakuna #CoronaVirus katika nchi ya Malawi ila Serikali inatumia ugonjwa huo kisiasa
> Nchi hiyo ipo katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Juni 23
Soma https://jamii.app/MalawiCOVID19
#JFSiasa

KENYA: POLISI 6 KUSHTAKIWA KWA MAUAJI WAKATI WA MARUFUKU YA KUTEMBEA USIKU
> Ripoti ya IPOA imesema, Wakenya 15 wameuawa na Polisi katika kipindi cha marufuku ya kutembea usiku ili kudhibiti maambukizi ya #CoronaVirus
Soma https://jamii.app/Polisi6KE

WABUNGE WA CHADEMA WAANZA KUHOJIWA NA PCCB
> Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa
> Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika
> TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika mishahara
Soma https://jamii.app/WabungeCDM-PCCB

TANZANIA: DENI LA TAIFA LAFIKIA TZS TRILIONI 55.43
> Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango amesema hadi Aprili 2020 deni la Taifa limefikia Shilingi za Kitanzania, Trilioni 55.43
> Kati ya hilo, deni la nje ni trilioni 40.57 na ndani ni trilioni 14.85
> Aprili 2019, Deni hilo lilifikia TZS trilioni 51.03
Soma https://jamii.app/BajetiTZ2020-21

SERIKALI: PATO LA TAIFA LITAKUA KWA 5.5% BADALA YA 6.9% ILIYOTARAJIWA
> Imeeleza kuwa Ukuaji wa Pato Halisi la Taifa unatarajiwa kupungua kutoka maoteo ya awali ya 6.9% na kufikia 5.5% mwaka 2020 kulinganishwa na 7% mwaka 2019
> Imesema ni kutokana na athari za ugonjwa wa COVID-19 ulioenea katika nchi nyingi ambazo ni washirika wakubwa wa kibiashara wa Tanzania

SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) LAISAMEHE TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 14.3
- Limeisamehe Tanzania deni lenye thamani ya Dola Milioni 14.3 (takriban Tsh. Bilioni 33) ambalo lilipaswa kulipwa kuanzia Juni 10, 2020 hadi Oktoba 13, 2020
- IMF imechukua hatua hiyo ili kuiwezesha Tanzania kukabiliana na athari za #CoronaVirus katika nyanja za kijamii na kiuchumi
Soma https://jamii.app/IMFDeniTanzania