JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
UPDATE: #CoronaVirus vimeua Watu 427 kufikia leo huku Watu 20,627 wakiathirika Duniani. Vifo viwili na waathirika 190 wametokea nje ya #China

- Nje ya China, Mataifa 25 yamekumbwa na CoronaVirus huku #Japan (20), #Thailand (19) na #Singapore (18) yakiwa na Waathirika zaidi
THAILAND: WANANCHI WAANDAMANA KUPINGA UTAWALA WA KIFALME

> Raia wa #Thailand wameandamana kumshinikiza Waziri Mkuu, Prayuth Chan-ocha kujiuzulu na kuukomesha Mfumo wa Kifalme

> Pia, wanadai kuachiliwa kwa waliokamatwa kwasababu za Kisiasa

Soma https://jamii.app/ThailandMaandamano
THAILAND YASITISHA MATUMIZI YA ASTRAZENECA

> #Thailand imesema haina sababu ya kuharakisha utoaji wa chanjo hivyo imesitisha zoezi hilo

> #AstraZeneca inasemekana inasababisha Damu Kuganda, huku Mamlaka za Afya zikisisitiza kuwa ni salama

Soma https://jamii.app/AstraZEnecaThailand
#THAILAND: WANANCHI WAANDAMANA WAKIPINGA SERIKALI INAVYOSHUGHULIKIA #COVID19

Taifa hilo linakabiliwa na wimbi baya la maambukizi na kuzidiwa kwa huduma za #Afya

Kusuasua kwa Kampeni ya utoaji Chanjo kumelazimisha #Biashara nyingi kufungwa

Soma - https://jamii.app/BangkokRiots
#UVIKO3
#THAILAND: MAHAKAMA YAMSIMAMISHA KAZI WAZIRI MKUU

Mahakama ya #Katiba imemsimamisha kazi Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na Vyama vya Upinzani vilivyodai Kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa Miaka minne

Soma - https://jamii.app/ThaiPM

#Democracy
👍1🎉1
#THAILAND: WATU 31 WAMEUAWA BAADA YA ASKARI KUSHAMBULIA SHULE

Polisi wamesema shambulio hilo limefanywa na Afisa wa zamani wa Polisi aliyefyatua risasi na kuchoma Visu Watoto na Watu wazima ktk kituo cha Kulea Watoto wa Shule ya Awali

Soma https://jamii.app/VifoThailand

#HumanRights
😢6👍4
KENYA: Bunge la Kitaifa limepokea Ombi linalotaka Mtandao wa #TikTok ufungiwe Nchini humo kwa maelezo umekuwa ukitumika kuchapisha Maudhui ya Ngono, Uchochezi na Uchafu Unaodhoofisha Maadili ya Kitamaduni na Kidini

Mlalamikaji ameonya endapo Mtandao huo hautafungiwa, utahatarisha Usalama wa Wananchi hasa katika #AfyaYaAkili kwa Vijana na kushuka kwa Ufaulu wa Masomo

Katika utafiti uliofanywa na #Reuters, #Kenya inaongoza kwa 54% katika matumizi ya kila namna ya TikTok Duniani na 29% ikitumika kwaajili ya kupata Habari ikifuatiwa na #Thailand na Afrika Kusini

Soma https://jamii.app/TiktoKE

#JamiiForums #DigitalRights #InternetSafety #Governance #MentalHealthAwareness #DigitalWorld #JFDigitali
👍11👏1