CAF: MAPUMZIKO, YANGA 0-0 RIVERS UNITED
Dakika 45 za kipindi cha kwanza za mchezo huo wa pili wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika zimekamilika hakuna mbabe kwenye Uwanja wa Mkapa
Timu itakayosonga mbele itakutana na #Pyramids ya Misri au #MarumoGallants ya Afrika Kusini
Soma https://jamii.app/YangaRivers
#JFSports #CAFCC

👍6🔥2
CAF: NUSU FAINALI NI YANGA vs MARUMO GALLANTS YA AFRIKA KUSINI
Yanga imefuzu kucheza hatua hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuiondoa #RiversUnited ya #Nigeria baada ya matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar
#Yanga imesonga mbele kwa matokeo ya jumla ya magoli 2-0 ambayo iliyapata katika mchezo wa ugenini wakati #MarumoGallants imeingia hatua hiyo kwa kuitoa #Pyramids ya Misri kwa jumla ya magoli 2-1
Mechi za Nusu Fainali ni Mei 10, 2023 na marudio ni Mei 17, 2023

👍15❤8
AFRIKA KUSINI: Mchezo wa fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika umemalizika kwa sare ya Goli 1-1 kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria, kati ya #MamelodiSundowns dhidi ya Pyramids
Goli la wenyeji limepatikana dakika ya 54 kupitia kwa Lucas Costa, huku wageni #Pyramids wakasawazisha dakika ya 90+4 mfungaji akiwa ni Walid El Karti
Hivyo, Bingwa anatarajiwa kujulikana Juni 1, 2025 ambapo mchezo wa pili utapigwa kwenye Uwanja wa 30 June Jijini Cairo Nchini Misri
Soma https://jamii.app/MamelodiPyramids
#JFSports #JamiiForums #JFCAFCL