JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MDAU: MBINU ZA MALEZI YA MTOTO NI MUHIMU ZIENDANE NA HATUA ZA UKUAJI WAKE

Mbinu za Malezi zinazoleta matokeo mazuri kwa Mtoto wa miaka 7 zinaweza zisiwe na matokeo mazuri kwa Mtoto mwenye miaka 13

Kuna umri Mtoto akifikia huwa na kawaida ya kuuliza 'kwanini' kwa kila jambo unalomwambia. Hali hii ni ya kawaida lakini usipoelewa unaweza kuhisi Mtoto ameanza Dharau

Soma - https://jamii.app/MbinuMaleziUmri
#ParentingTips
Je, Mzazi/Mlezi una Elimu ya kufanya Huduma ya kwanza kwa Watoto pindi wanapopatwa na changamoto ya Kiafya Nyumbani?

Zaidi, soma https://jamii.app/FirstAidParent

#JamiiForums #PublicHealth #Afya #ParentingTips
1👍1
#MALEZI: Watoto huweza kukasirika hata kwa vitu ambavyo havileti maana kwa Watu wazima, Mfano anaweza kukasirika sababu tu Vitu vyake vya kuchezea havimpi Ushirikiano anaoutaka

Kama Mzazi/Mlezi jitahidi nawe usilipuke kwa Hasira pale Mtoto wako anapofanya fujo sababu ya Hasira, jitahidi kuelewa kilichomkasirisha na umfundishe namna nzuri ya kuhimili jambo hilo

Jifunze zaidi https://jamii.app/HasiraMtoto

#JamiiForums #ParentingTips
👍2