JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.46K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MAARIFA: FAHAMU KUHUSU FALSAFA YA USTOA (USTOIC PHILOSOPHY)

> Ustoa ni falsafa inayowapa watu maarifa na namna sahihi ya kuishi, namna ya kwenda na sheria za asili na kuwa na maisha yenye furaha

> Moja ya mambo yanayosisitizwa kwenye falsafa hii ni kujua mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako na yale ambayo yapo nje ya uwezo wako

> Ukishajua hivyo, jambo lolote linapokutokea, kama lipo ndani ya uwezo wako chukua hatua, na kama lipo nje ya uwezo wako basi achana nalo au kama huwezi kuachana nalo angalia namna ya kuishi nalo

Fahamu zaidi - https://jamii.app/StiocimPhilosophy
#JFKnowledge
Katika Usaili wa kazi (Interview) mara nyingi kunakuwa na maswali ya mtego kwa Waombaji yanayolenga kubaini malengo yao endapo watapata nafasi ya kazi

Moja ya maswali hayo ni iwapo Muombaji anaweza kuacha kazi hiyo endapo atapata kazi au fursa nyingine yenye maslahi bora zaidi

Ungekuwa wewe ungejibu vipi Swali hili?

Mjadala https://jamii.app/SwaliMtego

#JamiiForums #JFChitChats #JFKnowledge
👍4