JE, UNAZIJUA HAKI ZA MTOTO IKIWA WAZAZI WAKE WAMETENGANA?
Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 kifungu cha 26 (1)
(a) Kuendelea kupata elimu bora aliyokuwa akiipata kabla ya Wazazi wake kutengana au talaka
(b) Kuishi na Mzazi ambaye, kwa maoni ya Mahakama, ana uwezo wa kulea na kumtunza Mtoto katika maslahi bora ya Mtoto; na
(c) Kumtembelea na kukaa na mzazi mwingine wakati wowote Mtoto atapohitaji, isipokuwa mpangilio huo ukiingiliana na ratiba ya shule au mafunzo
Soma > https://jamii.app/HakiMtotoWazazi
#HakiZaWatoto #JamiiForums #CDF #JFLeo

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akizungumza katika Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (#CDF), Jenerali Jacob John Mkunda, amesema kuanzia Januari 2023 hadi Desemba 2023 jumla ya Waomba Hifadhi 138,149 walipokelewa Nchini #Tanzania
Imebainika baadhi ya Waomba Hifadhi au Wakimbizi au Familia zao wameteuliwa Serikalini katika Nafasi zenye Maamuzi
Mkutano huo unafanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024
Soma https://jamii.app/CDFNaMakamanda
#Governance #JamiiForums

๐3๐คจ1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (#CDF), Jenerali Jacob John Mkunda, amesema hali ya Ulinzi na Usalama ni shwari licha ya uwepo wa Matukio ya Kigaidi na Itikadi kali ambapo kuna Vijana wanaochukuliwa na kwenda kujiunga kwenye makundi ya Kigaidi Nchini DR Congo, Msumbiji na Somalia
Amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan wakiwa kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024

๐2