JamiiForums
55.4K subscribers
33.4K photos
2.02K videos
30.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
KENYA: GARI LA MAGEREZA LAPATA AJALI, MTUHUMIWA AFARIKI

> Mtu mmoja amefariki na wengine 7 kujeruhiwa baada ya gari la Magereza kupinduka leo katika eneo la Kathageri karibu na Daraja la Thuci, Wilaya ya Embu

> Watuhumiwa hao walikuwa wakisafirishwa kutoka Gereza la Embu kwenda Mahakama za Meru

Soma zaidi - https://jamii.app/AjaliKifoMfungwa
FAIDA ZA KUTUMIA ILIKI KIAFYA

> Huipa Figo uwezo wa kuondoa takamwili na kusaidia kuweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni

> Iliki inasaidia kuondoa hali ya kiungulia/gesi na tatizo la kukosa choo. Saga kisha tumia unga wake kijiko 1 cha chakula ktk maji moto kwa wiki 2

> Kwa kinywa kinachotoa harufu au vidonda tumia unga uliochanganywa na maji ya uvuguvugu kisha sukutua kila siku kwa wiki 3

Fahamu zaidi - https://jamii.app/FaidaIlikiAfya
#JFAfya
DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA NA KUPATIKANA NA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA RISASI 5
-
Jeshi la Polisi limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi, Mbezi Msakuzi

- Raia wema waliwatonya Polisi kuwa majambazi wamepanga kuvamia SACCOSS ya Msakuzi

Soma > https://jamii.app/MajambaziMsakuzi
KISUTU, DAR: WANAWAKE WAWILI WALIOENDESHA MCHEZO WA UPATU WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA

> Halima Nsubuga na Magdalena Uhwello wametakiwa kulipa kiasi cha milioni 101 kama faini kwa kosa la utakatishaji fedha

> Walikuwa wakiendesha upatu

Zaidi, soma > https://jamii.app/WanawakeJela
DAR: WAFANYAKAZI 9 WA NSSF AKIWEMO KAIMU MKURUGENZI WA FEDHA WAFIKISHWA MAHAKAMANI

- Kaimu Mkurugenzi wa Fedha, Jamila Vullu pamoja na watumishi wengine 8 wamefikishwa Mahakamani wakikabiliwa na mashtaka 5 likiwemo la uhujumu uchumi

Soma > https://jamii.app/WatumishiNSSFKisutu
KENYA: WATANZANIA WALIOKUWA OMBAOMBA KENYA WARUDISHWA NCHINI

> Emmanuel Masabuko pamoja na msaidizi wake Deus Peter baada ya kukamatwa walifikishwa katika Mahakama ya Bomet kujibu tuhuma dhidi yao

Zaidi, soma => https://jamii.app/OmbaombaTzKenya
SERENGETI: TANESCO YAIKATIA UMEME MAMLAKA YA MAJI MUGUMU, WANANCHI WASOTA BILA MAJI SAFI

- Wakazi wa Mugumu wamekosa huduma hiyo baada ya TANESCO kuchukua hatua hiyo tarehe 25, Septemba

- MUGUWASA wanadaiwa na TANESCO Tsh. milioni 31

Zaidi, soma > https://jamii.app/TANESCOVsMUGUWASA
TRA YATANGAZA KUKUSANYA TRILIONI 1.767 KWA MWEZI SEPTEMBA, 2019

> Mamlaka ya Mapato Nchini imesema kiwango hiki hakijawahi kukusanywa tangu TRA ianzishwe

> Makusanyo haya ni sawa na ufanisi wa 97.20%. Lengo lilikuwa kukusanya Tsh. Trilioni 1.817

Zaidi, soma https://jamii.app/TRASeptmberRevenues
UTEUZI: Ikulu imetoa ufafanuzi kuwa;

> Aliyehamishwa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kwenda kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi ni Bw. John Kulwa Magalula

> Na aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala ni Bi. Charangwa Selemani Makwiro
UEFA: REAL MADRID YAILAZIMISHA SARE CLUB BRUGGE

- Real Madrid baada ya kuwa nyuma kwa goli 2-0 hadi mapumziko, imefanikiwa kutoka sare ya goli 2-2 na Club Brugge baada ya dakika 90

- Mchezo huo wa Kundi A ulianza mapema muda mmoja na mchezo mwingine wa kundi C ambapo Shakhtar Donetsk imefanikiwa kuifunga Atlanta goli 2-1

- Aidha, Michezo inayofuata katika michuano hiyo ya barani Ulaya ni kama ionekanavyo kwenye picha
TISHIO LA EBOLA: UINGEREZA YAWATAHADHARISHA RAIA WAKE WAENDAO TANZANIA

- Uingereza imewatahadharisha raia wake wanaosafiri kwenda Tanzania juu ya uwezekano wa kuwepo kwa Ebola

- Tahadhari hiyo imekuja baada ya Marekani wiki iliyopita kuwaonya raia wake wajao Nchini

Zaidi, soma https://jamii.app/TahadhariEbolaUK-TZ
SHULE YA BARBRO JOHANSSON KURUDISHA BILIONI 1.6 ILIZOPOKEA KUTOKA KWA RUGEMALIRA

- Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amesema uongozi wa Shule utarejesha fedha hizo ili James Rugemalira aweze kutoka jela

Soma > https://jamii.app/BarbroRugemarila
DAR: LORI LA COCACOLA LAGONGANA NA DALADALA, WATU WAWILI WAJERUHIWA

- Ni katika ajali iliyotokea eneo la Ubungo External baada ya lori la Kampuni ya Cocacola lililokuwa likielekea Tabata kuacha njia na kuigonga daladala iliyokuwa ikielekea Ubungo

Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliLoriCoke-DaladalaDSM
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA MIPANGO-TAKUKURU AANDIKA BARUA KWA DPP

- Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini wa TAKUKURU, Kulthum Mansoor ameandika barua kukiri makosa yake

- Anakabiliwa na mashtaka 8 likiwemo la kutakatisha Tsh. Bilioni 1.477

Zaidi, soma https://jamii.app/MfanyakaziTAKUKURUAandikaDPP
CHADEMA WALIMWA BARUA KWA KUTOFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUU WA CHAMA

- Msajili amefikia hatua hiyo ya kuandika barua baada ya viongozi Wakuu wa CHADEMA kuendelea kuongoza wakati uongozi wao ulikoma tarehe 14 Septemba 2019

Zaidi, soma => https://jamii.app/CHADEMAVsMsajili
ZITTO AJIUNGA KUPINGA KESI YA UKOMO WA URAIS, ASEMA WANALINDA UKUU WA KATIBA

> Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameungana na Serikali dhidi ya Dezydelius Mgoya (mkulima), aliyefungua kesi ya kikatiba kupinga Ibara ya 40 (2)

> Kwenye kesi hiyo, iliyopo Mahakama Kuu Kanda ya Dar, Mgoya ameitaka Mahakama kuondoa Ibara hiyo ili Rais aweze kugombea zaidi ya awamu mbili na akishinda aruhusiwe kuongoza nchi

Soma - https://jamii.app/ACTKesiUkomoUrais
KIGOMA: MGANGA WA KIENYEJI KIZIMBANI AKIDAIWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 8

- Venas Edward(48) anatuhumiwa kumbaka Mtoto aliyepelekwa kwake na Mama yake ili atibiwe

- Alimuagiza Mama wa Mtoto aende kununua wembe na yeye akatenda kosa hilo

Soma > https://jamii.app/MgangaMahamaniKubaka
SPORTPESA YAWAFUTA KAZI WAFANYAKAZI 400 BAADA YA KUSITISHA BIASHARA KENYA

> Kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri imewafukuza kazi wafanyakazi baada ya kusitisha shughuli zake kutokana na mvutano na Serikali baada ya leseni yao kusitishwa kwa tuhuma za kutolipa kodi

Soma - https://jamii.app/SportPesaSacksEmployees