UPDATE: AJALI YA GARI KUZAMA BAHARINI KUTOKA KWENYE KIVUKO
- Mariam Kigenda(35) na mwanae(4) wamefariki baada ya gari lao kuteleza kutoka kwenye kivuko na kuzama baharini katika Feri ya Likoni
- Walikuwa ndani ya gari hilo wakati wakivuka bahari kwa kutumia kivuko cha MV Harambee
Zaidi, soma https://jamii.app/CarSlidoffFerry

IRINGA: VIONGOZI WA KAMATI YA MAJI KUWEKWA RUMANDE KWA UBADHIRIFU
> Waziri Mkuu ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani Viongozi wa Kamati ya Watumiaji Maji wa Mradi wa Matunguru Tungamalenga kwa tuhuma za ubadhirifu wa Tsh. milioni 7
> Ni baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi
Soma - https://jamii.app/KamatiMajiUbadhirifu

NAMNA YA KUPANGILIA MFUMO WA ULAJI BORA KWA AFYA THABITI
> Mlo kamili hutokana na kuchanganya angalau chakula kimoja kutoka katika kila kundi la vyakula na viliwe kwa kiasi cha kutosha
> Ulaji wa mbogamboga na matunda husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini na kujikinga na maradhi mbalimbali
> Epuka vyakula vyenye mafuta mengi kwani husababisha madhara kama vile unene kupita kiasi, magonjwa ya moyo, kisukari na shinikizo la damu
Zaidi, soma - https://jamii.app/AfyaUlajiBora
#JFAfya

CHINA: MOTO WALIPUKA KWENYE KIWANDA NA KUUA WATU 19 NA KUJERUHI WENGINE 9
> Moto ulilipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai
> Majeruhi wamekimbizwa Hospitali kwa ajili ya matibabu na uangalizi
Soma > https://jamii.app/MotoKiwandaChina

WAASI NCHINI SOMALIA WAFANYA MASHAMBULIZI DHIDI YA VITUO VYA WANAJESHI WA MAREKANI
> Shambulio limefanywa dhidi ya eneo la kurushia ndege ktk Mkoa wa Lower Shebelle ambapo mtu wa kujitoa muhanga alilipua gari lililokuwa limesheheni mabomu mbele ya geti la Belidogle
> Kundi la Al-Shabaab limedai kuhusika na shambulio hilo
Soma - https://jamii.app/JihadistsAttackUSMilitaryBase

UGANDA: MWANAUME ATUMA JAMBAZI KWA AJILI YA KUMUUA MTALAKA WAKE
> Miezi mitatu baada ya Hanifa Nakiriowa(37) kuachana na Mumewe alikwenda kuwatembelea Watoto wake akiwa kwa Mwanaume huyo ndipo alikuja kijana asiyemfahamu na kummwagia tindikali
Soma > https://jamii.app/NakiriowaUG

FAIDA ZA KIAFYA ZITOKANAZO NA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA
> Maji husaidia mmeng'enyo au usagaji wa chakula na mara nyingine hutuliza maumivu ya kichwa endapo yametokana na upungufu wa maji mwilini
> Pendezesha ngozi yako kwa kunywa maji ya kutosha kwani maji yanasaidia kuboresha tishu za ngozi na kuongeza unyevu kwenye ngozi
> Uwezekano wa kupata mafua, mawe ya figo, matatizo ya ini na matatizo ya saratani yanaweza kupunguzwa kwa kunywa maji ya kutosha
Tembele - https://jamii.app/FaidaMajiAfya

KILIMANJARO: POLISI WAFIKA KUSIKILIZA MKUTANO WA NDANI WA CHADEMA, WASEMA SIO HARUSI WALA SEND OFF
- Mkutano huo ulikuwa ukiongozwa na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe
- Polisi wamefika kwenye kikao hicho cha ndani kwa maagizo ya DC wa Hai
Soma > https://jamii.app/MboweVsSabayaHai

FAHAMU: KIJIJI CHA WATU WALIOUZA FIGO ZAO
- Kijiji cha Hokse nchini Nepal kimebatizwa jina jipya la ‘Kidney Village’ baada ya Watu karibia wote wanaoishi kwenye kijiji hicho kuwa wameuza Figo zao
- Hali ngumu ya maisha imewasukuma kufanya hivyo
Soma > https://jamii.app/Hokse

UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Dkt. Wilson Mahera kuwa Mkurugenzi mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) akichukua nafasi ya Athuman Kihamia ambaye atapangiwa kazi nyingine
> Kabla ya uteuzi huo Mahera alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Arusha
Soma - https://jamii.app/UteuziMkrgnzNEC
#JFLeo

RAIS AFANYA TEUZI MBALIMBALI ZA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI
> Amemteua Ndaki Stephano Muhuli kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Kilimanjaro
> Rehema Saidi Bwasi Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Wilaya ya Morogoro na Sheillah Edward Lukuba Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Balozi na Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocal) wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
> Ibuge anachukua nafasi ya Balozi Grace A. Martin ambaye atapangiwa majukumu mengine ya Kibalozi

UGANDA: SERIKALI YATANGAZA KUBADILI KOFIA ZA JESHI; ZITAFANANA NA ANAZOVAA BOBI WINE
> Mabadiliko hayo yanamaanisha wananchi hawataruhusiwa kuvaa kofia zinazoendana na za jeshi
> Mabadiliko hayo ni kwa mujibu wa Sheria ya Majeshi ya Uganda ya 2005
Soma > https://jamii.app/KofiaJeshiUganda

KATAVI: LUGOLA AAGIZA ASKARI WOTE WA KITUO CHA MAJIMOTO KUONDOLEWA
> Ni baada ya kero zilizowasilishwa na wananchi, kuonesha askari 15 wa kituo hicho wanajihusisha na rushwa, kupiga wananchi hovyo, kushindwa kudhibiti ulinzi na usalama na kutoshughulikia malalamiko ya wananchi
Soma - https://jamii.app/PolisiWatimuliwaKituoni

SIMU ZENYE iOS CHINI YA 9, ANDROID 2.3.7 NA WINDOW KUTOWEZA KUTUMIA WHATSAPP
> Hadi kufikia Februari 1, 2020, programu ya WhatsApp itakuwa inafanya kazi kwenye simu za iPhone zenye mfumo wa kuanzia iOS 9 na kuendelea
> Aidha hadi kufikia Desemba 2019 itasitisha kabisa upatikanaji wa programu yake kwenye simu za Window zote na Android 2.3 (Gingerbread)
Soma - https://jamii.app/WhatsAppDiscontinueAccess
#JFTeknolojia

MBEYA: ALIYESAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AHUKUMIWA MIAKA 20 KWA UHUJUMU UCHUMI
> Mahakama Kuu imemhukumu Waziri Mizogi kifungo na kulipa faini ya zaidi ya Milioni 270
> Mizogi amekutwa na hatia ya kusafirisha #DawaZaKulevya aina ya Heroin na Cocaine
Soma > https://jamii.app/MizogiJela

ARUSHA: MKURUGENZI ALIYEMPIGA RISASI MENEJA AJISALIMISHA POLISI
> Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ulinzi ya Bonds Security, Frenk Kessy amejikabidhi kituo cha Polisi na kuwekwa mahabusu baada ya kumjeruhi kwa Risasi Meneja wa Kampuni ya Maxshield, Endrew Lubange wakigombea lindo la hoteli
Soma - https://jamii.app/KessyAjisalimishaPolisi

GHANA: WAZAZI WAPINGA MPANGO WA ELIMU YA NGONO KWA WANAFUNZI
> Wanadai kuwa programu hiyo iliyoandaliwa na UNESCO inachochea watoto kujiingiza kwenye mapenzi ya jinsia moja au kuwa wanaharakati wa watu wenye jinsia mbili
> Jumuiya ya Walimu wanapinga somo hilo, kwa kuwa hawakushirikishwa kuandaa somo hilo
Soma - https://jamii.app/SexualityEducationRejected

MOROCCO: MWANDISHI AHUKUMIWA KWA KUFANYA NGONO NA KUTOA MIMBA
> Hajar Raissouni na mpenziwe, Rifaat Al-Amin wamehukumiwa kifungo cha mwaka 1 akidaiwa kufanya ngono kabla ya ndoa na kutoa mimba
> Daktari anayedaiwa kumtoa mimba hiyo amehukumiwa miaka 2
Soma - https://jamii.app/JournalistJailAbortion