FAHAMU KUHUSU UKOMO WA HEDHI KWA MWANAMKE
> Umri wa mwanamke kufikia ukomo wa hedhi huwa kati ya miaka 45-55, jambo hili linaweza pia kutokea mapema au linaweza isitokee hadi miaka 60 na zaidi
> Matatizo ya kawaida yanayohusiana na kipindi hicho ni kupata joto la ghafla mwilini, kuhisi baridi, kukosa usingizi na kuishiwa nguvu
> Mabadiliko ya homoni hasa kupungua kwa Estrogen huchangia kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa, kutokufika kileleni mapema na kupata maumivu wakati wa tendo kutokana na uke kuwa mkavu/kusinyaa
Fahamu zaidi - https://jamii.app/AfyaUkomoHedhi

KUKATIKA KWA UMEME DAR: MUONGOZA MIFUMO ASIMAMISHWA KAZI
> Waziri Kalemani amemsimamisha kazi muongoza mifumo wa kituo cha kupoza umeme cha Ubungo, Samson Mwangalume baada ya umeme kukatika usiku wa kuamkia leo huku chanzo kikielezwa kuwa ni uzembe
Soma - https://jamii.app/SimamishoKaziUmeme

MBEYA: MKUU WA MKOA AWACHARAZA VIBOKO WANAFUNZI WALIOKAMATWA WAKIWA NA SIMU
> RC Albert Chalamila amewachapa viboko vitatu kila mmoja, Wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari Kiwanja
> Wanafunzi kumiliki simu kumetajwa kuwa chanzo cha mabweni kuteketea kwa moto Oktoba 1, 2019
Soma > https://jamii.app/RCMbyWanafunzi

MICHEZO: Klabu ya Ligi ya Kuu Soka nchini Ufaransa, Nice imemfuta kazi mchezaji wake, Lamine Diaby – Fadiga (18) baada ya kukiri kuiba saa ya mchezaji mwenzake, Kasper Dolberg yenye thamani ya paundi 62,000
-
Dolberg (21) aliibiwa saa yake katika chumba cha maandalizi mnamo Septemba 16, na kuripoti kisa hicho kwa maafisa wa Polisi
-
Fadiga anawakilisha Ufaransa katika kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18

KAMPUNI 209 ZA UJENZI ZAFUTIWA USAJILI NA CRB
> Bodi ya Usajili wa Wakandarasi imezifutia usajili Kampuni hizo baada ya kushindwa kuendana na vigezo vya Bodi ikiwemo kushindwa kulipia ada ya leseni kwa miaka 2 mfululizo
> Kampuni zote hizo ni za wazawa
Soma - https://jamii.app/SitishoUsajiliKampuniUjenzi

BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOROGORO YAVUNJWA
> Hatua hiyo imechukuliwa na Waziri wa Maji, Prof. Mbarawa kwa niaba ya Serikali
>Bodi hiyo inatuhumiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake
Zaidi, soma => https://jamii.app/BodiMORUWASA

KENYA: UGONJWA USIOTAMBULIKA WAIBUKA KATIKA SHULE YA STAREHE
> Shule hiyo ya Wasichana imefungwa baada ya kugundulika kwa visa vya dalili za ugonjwa ambao bado haujatambulika
> Wanafunzi 52 wametengwa baada ya kukohoa sana, kupiga chafya na kupata homa kwa kiwango cha chini
Soma - https://jamii.app/StareheSchoolMysteryDisease

UGANDA: MWANAMKE AAZIMA MTOTO KUMLAGHAI MPENZI WAKE KUWA AMEJIFUNGUA
> Polisi wanamshikilia Annet Kabalisa aliyemgawa Mtoto wake wa miezi 3 kwa Annet Kobusinge ili amlaghai mpenzi wake Moses Musinguzi ili aendelee kutoa huduma
Soma > https://jamii.app/PolisiVsWomanUG

HONG KONG: WATUMISHI 2 WA SHIRIKA LA NDEGE LA AFRIKA KUSINI WAKAMATWA KWA KUSAFIRISHA #DAWAZAKUELEVYA
> Walikamatwa kwa tuhuma hizo kati ya tarehe 23 na 24, Septemba 2019
> Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 6.8
Soma > https://jamii.app/SAAHongKong

TUNDU LISSU AINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA HUDUMA ZA SHERIA KWA AJILI YA KULINDA HAKI ZAKE
> Lissu ameingia mkataba na Kampuni ya Amsterdam and Partners LLP itakayomsaidia kumsimamia katika masuala ya kisheria na Mahakama za Kimataifa
Soma >https://jamii.app/LissuLLP

SERIKALI YATAJA MAENEO YENYE VIASHIRIA VYA KUWA NA MAFUTA
> Maeneo hayo ni Ukanda wa Ziwa Rukwa, Ziwa Tanganyika na Kitalu cha Eyasi Wembere chenye ukubwa wa Kilometa za mraba 19.2
> Mafuta hayo yanategemewa kuja kulinufaisha Taifa siku za usoni
Soma > https://jamii.app/ShehenaMafutaTz

MFAHAMU DKT. SHRIKANT JICHKAR RAIA WA INDIA ALIYEKUWA NA SHAHADA ZIPATAZO 20 ZA TAALUMA MBALIMBALI
> Marehemu Dkt. Shrikant Jichkar anatajwa kuwa ndiye alikuwa msomi wa kwanza duniani kuwa na maktaba yake binafsi yenye vitabu takriban 52,000
> Shrikant Jichkar mpaka anafariki alikuwa ana jumla ya shahada (Degrees) 20 alizozipata katika vyuo 42 alivyowahi kusoma
Zaidi, soma => https://jamii.app/ShrikantJichkar

UFARANSA: ASKARI 4 WAUAWA KWA KUSHAMBULIWA NA KISU NA ALIYEVAMIA MAKAO MAKUU YA POLISI
> Mtu huyo aliuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuanza kuwashambulia askari hao ambao ofisi zao ziko karibu na Jengo la Kanisa la Kihistoria la Notre Dame
Soma > https://jamii.app/ShambuliziPolisiParis

TAARIFA YA MAGONJWA YA MLIPUKO: MAAMBUKIZI YA DENGUE YAPUNGUA
> Kwa Kipindi cha Mwezi Septemba 2019, jumla ya wagonjwa 10 walithibitishwa kuwa na Homa ya Dengue na hakukuwa na kifo
> Takwimu za Julai - Septemba zimeonesha kupungua kwa ugonjwa huu kwa kuwa na wagonjwa 732 Julai, Agosti wagonjwa 92 na Septemba wagonjwa 10
Soma - https://jamii.app/RipotiMagonjwaMlipuko

CHADEMA YASEMA KAMATI ILIBADILISHA RATIBA YA UCHAGUZI
> Taarifa ya chama hicho inaeleza kuwa Kamati Kuu ya Chama ilikaa kikao Julai 27 na 28, 2019, na kurekebisha ratiba ya uchaguzi ambapo utakamilika mwezi Desemba kwa ngazi ya Taifa
> Aidha, kinaifanyia kazi barua ya Msajili wa Vyama ndani ya muda husika uliotajwa
Soma - https://jamii.app/TaarifaCDMUchaguzi

KILIMANJARO YAZINDUA ATM YA KWANZA YA MAZIWA
> RC wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi yenye uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha
> Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya ambapo wameweka ATM 3, moja ikiwa Moshi, Hai na nyingine ipo Arusha
Soma - https://jamii.app/UzinduziATMMaziwa

KENYA: WATU 13 WAFARIKI NA 35 KUJERUHIWA KATIKA AJALI
- Ajali imetokea usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Kisumu-Kericho karibu na eneo la Awasi
- Basi la abiria la Eldoret Express kutoka Kisumu limegongana uso kwa uso na Lori
Zaidi, soma https://jamii.app/13KilledRoadAccident-KE

MAAFISA WA POLISI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA RUSHWA
> Maafisa upelelezi wa Polisi kituo cha Kawe, Dar wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 9 likiwemo la kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 200 na kupokea zaidi ya Tsh. Milioni 15
> Washtakiwa hao ni Shaban Shillah, Joyce Kita, Ulimwengu Rashid na Emmanuel Njegele
Soma - https://jamii.app/PolisiKizambaniRushwa

TANZANIA YAWAREJESHA WAKIMBIZI 600 BURUNDI
> Mabasi yaliyokuwa yamebeba wakimbizi hao waliorudishwa kwa hiari yao yaliwasili jana kwenye mpaka wa Gisuru, Mashariki mwa Burundi
> Bado kuna wakimbizi wa Burundi 225,000 nchini Tanzania
Soma - https://jamii.app/UrejeshoWakimbiziBRN

TETESI SOKA: Kocha wa zamani wa Juventus, Max Allegri ameripotiwa kwamba ameanza kujifunza lugha ya Kingereza ikielezwa ni mwanzo wa maandalizi yake ya kwenda kuinoa Klabu ya Manchester United
-
Kocha wa sasa wa timu hiyo, Ole Gunnar Solskjaer amekuwa kwenye presha kubwa baada ya kikosi chake kuanza msimu vibaya, ambapo kwa sasa timu inashika nafasi ya 10 Ligi Kuu England
-
Kumekuwa na orodha ya makocha kadhaa wanaohusishwa na kibarua cha Man United, ambapo ukimweka kando Allegri wengine ni Mauricio Pochettino na Brendan Rodgers