MGOMBEA URAIS WA ADC AAHIDI KUBORESHA SEKTA ZA MADINI NA AFYA
> Kwenye madini, Queen Sendiga ameahidi kuondoa tozo zisizomsaidia mchimbaji mdogo
> Amesema, ataboresha Mfumo wa Afya kwa kuhakikisha Mtanzania anatibiwa magonjwa yote kwa bima
Soma - https://jamii.app/ADCKampeniHandeni

AFRIKA KUSINI: RAIS RAMAPHOSA AITAKA DUNIA KUISAIDIA AFRIKA
> Ametoa wito kwa mataifa kuliunga mkono Bara hilo ili lijenge upya uchumi ulioathiriwa na #COVID19
> Amesema, Afrika inahitaji msaada kwa ajili ya kusaidia uchumi (Stimulus package)
Soma https://jamii.app/AfrikaMsaadaUchumi

NYAHOZA: UONGO UNAWEZA KUSABABISHA MADHARA KWA CHAMA KINACHOONGELEWA VIBAYA
> Msajili atatakiwa kuonya na kutoa adhabu kwa Chama/Mgombea ikiwa Sheria itakiukwa, na faini ni kati ya Tsh. Mil. 10 na Mil. 50 au kukisimamisha Chama kufanya siasa
Soma https://jamii.app/MsajiliSheriaKampeni

MSAJILI: MUUNGANO YA VYAMA UNAPASWA KUWASILISHWA KWA MSAJILI MIEZI 3 KABLA UCHAGUZI
> Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesisitiza kuwa vyama vinapaswa kuheshimu Sheria vinapoingia ktk ushirikiano ama miungano kabla ya Uchaguzi Mkuu
Soma https://jamii.app/MuunganoVyama
#Uchaguzi2020

MAALIM SEIF: CCM BARA WAMESHAPANGA MIKAKATI YA KUMPA USHINDI MAGUFULI
> Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo amesema anataka kukutana na Tundu Lissu (CHADEMA) ili ampe mikakati ya ushindi na mbinu za kupangua mikakati ya CCM
Soma https://jamii.app/MaalimUshindiLissu

KENYA: FAMILIA ZARUHUSIWA KUZIKA WALIOFARIKI KWA #CORONAVIRUS
> Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mercy Mwangangi amesema familia zinakuwa na nafasi kubwa ktk kuzika wapendwa wao
> Maafisa watasimamia mazishi kuhakikisha taratibu zinazingatiwa
Soma https://jamii.app/MazishiCoronaKE

ILANI YA CCM ISEMAVYO KUHUSU SERIKALI YA MUUNGANO
> CCM itaendelea kudumisha Muungano wa Serikali 2 kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo
> Kutoa elimu ya Muungano kwa Watanzania ili kuulinda, kuutetea, kuuenzi na kuuimarisha
Soma - https://jamii.app/IlaniCCM

KILIMANJARO: RC MGHWIRA AKEMEA VURUGU, ATAKA WAGOMBEA KULINDWA
> Amekemea wapambe wa baadhi ya wagombea kutekwa na kuteswa katika Majimbo ya Hai, Vunjo, Rombo na Moshi Vijijini
> Watuhumiwa zaidi ya 4 wamekamatwa wakihusishwa na matukio hayo
Soma https://jamii.app/RCMghwiraVurugu

ILANI YA ACT-WAZALENDO NA SERIKALI YA MUUNGANO
> Itatekeleza mapendekezo ya Tume ya pamoja ya fedha ikiwemo kuanzishwa kwa Akaunti ya Pamoja
> Itaipatia Zanzibar mgao wake wa 11.02% kama ilivyowekeza ktk uanzishwaji wa BoT
Soma - https://jamii.app/IlaniACT
#TZ2020

VIONGOZI AFRIKA WAPONGEZWA KWA MAPAMBANO DHIDI YA #COVID19
> Ni kutokana na kuunga mkono jitihada za pamoja kukabiliana na janga hilo
> Takwimu zilizotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeonesha maambukizi mapya yamepungua kwa 12%
Soma - https://jamii.app/CoronaAfrika

FATMA KARUME AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA MAWAKILI
> Kamati ya Maadili ya Mawakili imemkuta na hatia ya kukiuka maadili kwa kiwango cha juu na kuamuru jina lake liondolewe (Permanent Removal) ktk orodha ya Mawakili Tanganyika
Soma - https://jamii.app/BanUwakiliFatma

FAHAMU UTARATIBU WA KISHERIA KATIKA KUFANYA KIPIMO CHA DNA
> Hakimu, Wakili, Afisa Ustawi wa Jamii, Afisa Polisi mwenye cheo zaidi ya Inspekta, Daktari na Mkuu wa Wilaya ndio wenye mamlaka (Requesting Authority) ya kutuma maombi ya kupima DNA
> Kifungu cha 26(1) kinasema maombi yatakuwa ktk maandishi. Yataeleza mwombaji na cheo chake, wanaopimwa na sahihi zao, DNA ipimwe ktk nini na sababu za kupima DNA
Fahamu zaidi - https://jamii.app/SheriaDNA

WALIOOMBA NAFASI ZA UDAKTARI WATAKIWA KURIPOTI KAZINI KUANZIA LEO
> Serikali imesema mchakato wa kuchambua maombi ya nafasi zilizotangazwa Agosti umekamilika
> Imewataka waliokidhi vigezo na kupangiwa vituo kuripoti hadi kufikia Septemba 30
Soma https://jamii.app/SerikaliMadaktariKazini

ILANI YA CHADEMA ISEMAVYO KUHUSU SERIKALI YA MUUNGANO
> Itabadili Muundo wa Muungano kutoka Serikali 2 kwenda Serikali 3; kutakuwa na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Muungano, Serikali ya Tanganyika na Serikali kamili ya Zanzibar
Soma https://jamii.app/IlaniCDM

BELARUS: RAIS LUKASHENKO AAPISHWA BILA HAFLA KUTANGAZWA
> Uchaguzi Mkuu ulifanyika Agosti na Kiongozi huyo aliyedumu kwa miaka 26 amedai ameshinda kwa kishindo
> Upinzani unamshutumu kuiba kura, umeandaa maandamano kushinikiza ajiuzulu
Soma - https://jamii.app/RaisKiapoBelarus

HOJA/MALEZI: NI KWELI MZAZI HUMPENDA MTOTO MMOJA ZAIDI KULIKO MWINGINE?
> Mdau wa JamiiForums.com anasema mara nyingi inatokea kwenye familia Mzazi/Mlezi anaonekana akizidisha upendo kwa maneno ama kwa vitendo kwa Mtoto mmoja au baadhi
> Baadhi ya wadau wanasema hakuna Mzazi anayempenda Mtoto 1 kuliko mwingine ila Mzazi humpenda kila Mtoto kutokana na tabia zake
Je, una mtazamo gani kuhusu hili?
Mjadala zaidi - https://jamii.app/FavouriteChild
#JamiiForums #Malezi #Familia

TLS: KAMATI YA MAADILI HAIJAHUSIKA KUMUONDOA FATMA KARUME KWENYE ORODHA YA MAWAKILI
> Baraza la Uongozi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Tanzania Bara limesema uamuzi huo umetolewa na Kamati ya Mawakili kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili
Soma https://jamii.app/TLSFatmaKarume

SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI NAMBA 6 (2010)
> Mgombea hatokuwa na hatia na vitendo vilivyokatazwa kwenye Sheria hii viliyofanywa na chama chake cha siasa bila matakwa yake au kuridhia kwake yeye mgombea iwe moja kwa moja au la
Zaidi, soma > https://jamii.app/UchaguziGharama
#KemeaRushwa #Uchaguzi2020

PROF. JANABI: UKUAJI UCHUMI UTAONGEZA MAGONJWA YA MOYO
> Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete amesema watu wanakuwa hatarini kupata magonjwa hayo kwasababu wanakuwa na fedha za kununua vyakula vingi, na wanatumia usafiri binafsi
Soma - https://jamii.app/UchumiMagonjwaMoyo

PROF. KABUDI: SERIKALI HAIKUWA NA LENGO LA KUVIZUIA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA
> Amesema, lengo ni kutambua vyombo hivyo vinashirikiana na vyombo gani nchini
> Amesema, vyombo vyote vya kimataifa vimetekeleza agizo hilo na kupata leseni
Soma - https://jamii.app/SerikaliLeseni