JOHN KITIME: HII NI MARA YA 3 KUZUIA MAONESHO YA MUZIKI NCHINI
> Amesema, kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipofariki Sokoine maonesho ya Muziki yalizuiliwa kwa mwezi 1 na alipofariki Mwl. Julius Nyerere yalizuiliwa kwa miezi 3
> Kwa sasa yamezuiliwa kutokana na #CoronaVirus
Soma https://jamii.app/HistoriaZuio
#JFBurudani

BODI YA MIKOPO YAPELEKA TSH. BILIONI 122.8 VYUONI
> Imesema wanaostahili kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ni Wanafunzi 132,119
> Pesa hiyo ni kwa ajili ya ada, Malazi na posho kwa siku 60 kuanzia Juni 1 mpaka Julai 30
Soma https://jamii.app/HESLBVyuo
#JFLeo

KENYA: MAAMBUKIZI YA #COVID19 YAFIKA 1,745
> Maambukizi mapya 127 yamethibitishwa baada ya sampuli 3,831 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita
> Watu 4 zaidi wamefariki na kufanya idadi ya vifo kufikia 62. Waliopona wafikia 438
Soma https://jamii.app/COVID19KE1745
#JFCOVID19_Updates

SERIKALI: TUKO VIZURI KIUCHUMI, MISHAHARA YA WATUMISHI HAIJAPUNGUZWA
> Msemaji Mkuu wa Serikali amesema wagonjwa wa #COVID19 walioko Tanzania hawafiki 60
> Amesema hatua zilizochukuliwa na Tanzania zimeiweka nchi katika nafasi nzuri ya kulinda Uchumi wake
Soma https://jamii.app/UchumiUkoVizuri

MAXENCE: ULINZI WA DATA UTAPUNGUZA WATU KUTUMIWA TAARIFA NA MATANGAZO BILA HIARI ZAO
-
Akiongea kupitia Kituo cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo amesema Sheria ya #UlinziWaData ni muhimu nchini
-
Asisitiza bila sheria madhubuti ya ulinzi wa data, Kampuni za simu, taasisi zinazochakata taarifa za Watanzania hazibanwi vilivyo kuhakikisha usalama wa taarifa za wateja wao
-
Aidha, amekumbushia kuwa kumekuwepo Muswada wa Sheria tangu mwaka 2014 hivyo wadau washirikishwe ili iwepo Sheria rasmi ya kuwahakikishia Watanzania usalama wa data zao

YAJUE MAJUKUMU YA AFISA MTENDAJI WA KATA
> Afisa Mtendaji Kata ni Mtumishi wa Serikali ambaye huwa ni Mtendaji Mkuu wa Kata na humsaidia Mkurugenzi Kuratibu na kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Kata
Soma https://jamii.app/MKitiMajukumu
#Uongozi #Jamiiforums

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI
- Abdalla Khamis Mohammed (Tuba) anashikiliwa kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkazi
- Alisema wananchi wengi katika eneo lao hawajapatiwa kitambulisho kitakachowawezesha kuhakikiwa kwenye daftari la Wapiga kura
Soma https://jamii.app/MbaroniMalalamikoVitambulisho

RAIS TRUMP: MAREKANI INAVUNJA RASMI MAHUSIANO NA WHO
- Asema ni kwa uzembe wa Shirika hilo kushindwa kudhibiti mapema kusambaa kwa #COVID19
- Adai China ilijilinda dhidi ya maambukizi zaidi ya #coronavirus lakini ikaacha mataifa mengine yataabike kwa gharama kubwa
Soma > https://jamii.app/USvWHO

#CORONAVIRUS-MAREKANI: JIMBO LA WASHINGTON KUENDELEA NA SHUGHULI KESHO
> Ni kati ya majimbo ya awali kushambuliwa zaidi na #COVID19 ila Gavana wao amesema sasa wanaendelea vizuri
> Ila ametahadharisha kuwa hiyo haimaanishi kuwa wanarejea kuishi kama ilivyokuwa awali
Soma https://jamii.app/CurfewEnds

ZOOM YAONGEZA USALAMA WA MAWASILIANO KWA WANAOLIPIA HUDUMA
> Zoom ni mtandao unaotumika zaidi kufanya mikutano kwa njia ya video na umekuwa udukuliwa mara kwa mara
> Ulinzi utakaoongezwa utapunguza hatari ya kudukuliwa kwa watakaolipia kupata huduma hiyo
Soma https://jamii.app/ZoomEncryption
#JFLeo #Jamiiforums

MAREKANI: ASKARI ALIYEMUUA 'MTU MWEUSI' ASHTAKIWA. MKEWE ATAKA TALAKA
- Derek Chauvin ameshtakiwa kwa mauaji daraja la 3 na mauaji ya bila kukusudia daraja la 2
- Mkewe Kellie Chauvin ameeleza kufungua jalada akitaka kuachana naye
Soma https://jamii.app/MauajiFloyd
#BlackLivesMatter

CHAMWINO: UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA IKULU
- Rais Magufuli ameshiriki uwekwaji wa jiwe la msingi katika Ikulu ya Chamwino , Dodoma
- Marais Wastaafu; Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mama Maria Nyerere pia wamehudhuria
Fuatilia https://jamii.app/UzinduziIkuluChamwino

RAIS MAGUFULI: SIKUWA NA UHAKIKA KAMA NDANI YA MIAKA MITANO TUTAKUWA TUMEHAMIA DODOMA
- Amesema wakati anapokea Uenyekiti wa CCM, Julai 2016 aliahidi kwa kipindi cha miaka mitano angehakikisha Serikali yote inahamia Dodoma
- Amesema hakuwa na uhakika kama kwa muda huo angefanikiwa na ila anafaraja sana kwani ametekeleza ahadi hiyo
Soma https://jamii.app/UzinduziIkuluChamwino

RAIS MAGUFULI: WAKULIMA UZENI MAZAO YENU KWA BEI YA JUU. WATWANGENI SANA
- Amewatahadharisha Wakulima kuuza mazao yao kwa bei ya kutupa kwa Walanguzi kwani mwaka huu au ujao mambo yanaweza yasiwe mazuri sana
- Amesisitiza hakuna chakula cha bure hivyo Wakulima wasubiri muda muafaka wa kuuza au kama wanauza basi wauze bei ya juu
Soma https://jamii.app/UzinduziIkuluChamwino
- Amewatahadharisha Wakulima kuuza mazao yao kwa bei ya kutupa kwa Walanguzi kwani mwaka huu au ujao mambo yanaweza yasiwe mazuri sana
- Amesisitiza hakuna chakula cha bure hivyo Wakulima wasubiri muda muafaka wa kuuza au kama wanauza basi wauze bei ya juu
Soma https://jamii.app/UzinduziIkuluChamwino
UTAFITI: MWAMKO WA WANAWAKE KUJIFUNZA ‘CODING’ NI MDOGO SANA
> Utafiti uliofanywa na Free Code Camp kwa Watu 65,000 ulibaini Wanawake (7.7%) walikuwa wanajifunza 'coding'
> Pia, umeonesha Watanzania wachache hujifunza kuhusu Mtandao
Soma https://jamii.app/CodeLearning

LWAKATARE ARUDI CUF, KUTUMIKA KUIANGAMIZA CHADEMA
> Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amesema ametengua kauli yake ya kustaafu siasa baada ya CUF kumuomba arudi
> CUF imesema itamtumia Mbunge huyo kuviangamiza vyama vya upinzani hususan CHADEMA katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
Soma https://jamii.app/LwakatareArudiCUF
#JFSiasa

SERIKALI: MCHAKATO MAHABUSU KUFANYA KAZI KAMA WAFUNGWA WAANDALIWA
- Waziri Simbachawene amesema lengo sio kuwafanyisha kazi za sulubu au kazi zinazotweza utu wao
- Amesisitiza kuwa wanataka kuwatumia kwa nia njema tu ya kuongeza uzalishaji
Soma https://jamii.app/MahabusuKaziGerezani

KENYA: VISA VIPYA 143 VYA #COVID19 VYAREKODIWA AKIWEMO MTOTO WA MWEZI 1
- Ni baada ya sampuli 2,959 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Visa vyafikia 1,888
- Katika visa vipya; Wanaume 110 na Wanawake 33 na umri ni kati ya mwezi 1 na miaka 88
Soma https://jamii.app/COVID19KE-1888
#JFCOVID19_Updates
- Ni baada ya sampuli 2,959 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Visa vyafikia 1,888
- Katika visa vipya; Wanaume 110 na Wanawake 33 na umri ni kati ya mwezi 1 na miaka 88
Soma https://jamii.app/COVID19KE-1888
#JFCOVID19_Updates
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MSAMVU, MOROGORO: VIBANDA 8 VYA BIASHARA VYATEKETEA KWA MOTO
- Vibanda hivyo katika eneo la stendi ya Msamvu vimeteketea kwa Moto ambao haujafahamika chanzo chake, usiku wa kuamkia leo
- Kamanda wa Zimamoto mkoani humo, Godluck Zerote amesema hakuna mtu aliyedhurika bali mali pekee
Soma https://jamii.app/MotoMsamvuMoro

#CORONAVIRUS: BRAZIL IMERIPOTI VISA VIPYA 33,274 NDANI YA SAA 24
- Jumla ya visa imefikia 499,966 ikiwa ni nchi ya pili kwa visa vingi nyuma ya Marekani (2,036,110)
- Pia, imerekodi vifo vipya 956 na kuwa na jumla ya vifo 28,849
Soma https://jamii.app/COVID19Updates