ARUSHA: NG’OMBE AZAA NDAMA MWENYE VICHWA VIWILI
> Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi, Charles Ngiroriti amesema jambo hilo ni kawaida
> Ameongeza kuwa inaweza kutokea endapo chembe zikigawanyika kama zinataka kutengeneza viumbe viwili lakini zikashindwa kugawanyika na kufika mwisho
Soma https://jamii.app/NdamaWaAjabu

MAREKANI: Rais Donald Trump amesema nchi yake imefanikiwa kudhibiti #coronavirus kwa kiasi kikubwa na wanafuatilia kwa karibu afya ya kila raia wao waliopo nchi zenye maambukizi
> Mpaka sasa idadi ya maambukizi imefikia watu 80,147 huku vifo vikifikia 2,669 na waliopona ni 27,621

MKE WA KOBE BRYANT AFUNGUA KESI KUTOKANA NA VIFO VYA MUMEWE NA BINTIYE
> Vanessa Bryant ameishtaki Kampuni inayomiliki Helikopta iliyopata ajali na kusababisha kifo Kobe Bryant na binti yake, Giana kwa madai kuwa ndege hiyo haikutakiwa kuruhusiwa kusafiri kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendana na hali ya hewa ya siku ya ajali (Jan 26)
Soma - https://jamii.app/LawsuitKobeDeath

SERIKALI: MADALALI WANATAKIWA KUWA NA LESENI YA HUDUMA ZAO
> Hii ni kwa madalali wa nyumba, viwanja, mahakama, usafiri, magari na kampuni zinazoendesha minada
> Serikali imejipanga kufanya oparesheni kuwakamata madalali wasiosajiliwa
Soma https://jamii.app/MadalaliLeseni

RC WA MTWARA ATAKA NAMNA BORA YA KUTENGENEZA POMBE YA GONGO
- Gelasius Byakanwa amesema anataka kukutana na Watengenezaji wa pombe hiyo ya kienyeji
- Amesema, lengo ni kuona namna nzuri ya kuiboresha pombe hiyo na kuipelekea TBS na kwa Mkemia
Zaidi, soma https://jamii.app/RC-MTRUtengenezajiGongo

DAR: KUANZIA RAMADHANI BIASHARA KUFANYIKA KWA SAA 24 KARIAKOO
- Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema kuanzia Mwezi wa Ramadhani mwaka huu, biashara katika soko la Kariakoo zitafanyika kwa saa 24 na zitaendelea kufanyika kwa muda huo
Soma https://jamii.app/KariakooSaa24

UMUHIMU WA SHERIA YA ULINZI WA DATA
> Mdau wa JamiiForums anasema: Sheria hii itahakikisha Haki ya Faragha inalindwa
> Sheria hii pia itatumika kutoa majibu kuhusu ufuatiliwaji wa mawasiliano ya watu ambao siyo halali
Zaidi, soma > https://jamii.app/UmuhimuSheriaData
#DataProtection

WAFANYAKAZI WANNE WA KAMPUNI YA ULINZI YA G4S-SECURITY MBARONI KWA WIZI
- Wanatuhumiwa kuiba Tsh. 1,280,000,000 pamoja na USD 402,00 (Tsh. 928,557,690) na Yuro 27,700 (Tsh. 69,320,048)
- Fedha hizo ni za NBC Kariakoo na NBC Samora walizotakiwa wazipeleke NBC Makao Makuu
Zaidi, soma https://jamii.app/WeziG4S-NBCMbaroni

RAIS WA ZAMANI WA MISRI, HOSNI MUBARAK AFARIKI DUNIA
- Rais huyo aliyeiongoza Misri kwa miaka 30 (1981-2011) amefariki leo akiwa na miaka 91
- Amefariki akiwa katika Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) wiki kadhaa baada ya kufanyiwa upasuaji
Zaidi, soma https://jamii.app/HosniMubarakAfariki

TANZANIA YASHINDA TUZO YA KUWA ENEO BORA LA UTALII WA WANYAMAPORI DUNIANI
> Tanzania imeshinda tuzo ya kuwa eneo bora zaidi la utalii wa wanyamapori duniani kwa mwaka 2020 (The Best International Wildlife Destination) kutoka Jarida la kihindi la “Outlook Traveller Magazine”
> Shelisheli na Indonesia zimeshinda tuzo kama maeneo bora zaidi duniani kwenye utalii wa fukwe
Soma - https://jamii.app/TuzoUtaliiTz

MASLAHI YA WAFANYAKAZI: VYAMA VYA WAFANYAKAZI BADO VINA TIJA?
> Mdau wa JamiiForums.com anadai kwamba, Serikali iliongeza makato na imeunganisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii bila ushirikishwaji wa wachangiaji
> Watumishi hawapandishwi vyeo na mishahara, vyama vimekuwa kimya huku vikiendelea kukata ada
Soma https://jamii.app/VyamaWafanyakazi

KENYA YAPIGA MARUFUKU UCHINJAJI NA USAFIRISHAJI WA NYAMA YA PUNDA
- Serikali imeagiza kufungwa kwa machinjio ya Punda na kuwataka wamiliki kuchinja Wanyama wengine
- Kuna hofu kuwa kwa miaka 10 ijayo Punda wanaweza kuisha uchinjaji ukiendelea
Zaidi, soma https://jamii.app/UchichajiPundaMarufuku-KE

NJOMBE: MSIMAMIZI WA MRADI KIZUIZINI KWA KUCHELEWESHA MRADI WA MAJI
> Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameagiza Erick Mlema kuwekwa kizuizini
> Mradi ulianza Oktoba 2018, ulitakiwa kukamilika Oktoba 2019 lakini hadi sasa umekamilika kwa asilimia 17
Zaidi, soma https://jamii.app/MkandarasiKizuizini

IRAN: NAIBU WAZIRI WA AFYA AAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
- Iraj Harirchi amegundulika kuambukizwa #coronavirus na amewekwa sehemu maalumu ya uangalizi
- Hivi karibuni alipinga taarifa kuwa Watu 50 wamefariki kwa virusi hivyo nchini humo
Zaidi, soma https://jamii.app/NWaziriIranCorona

SANAA: Albamu mpya ya 'Changes' kutoka kwa Msanii wa Marekani, Justin Bieber (25) imeshika namba moja kwenye chati za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka Mkongwe Elvis Presley
> Justin Bieber (25) ameweka rekodi ya kuwa msanii mwenye umri mdogo zaidi kuongoza chati hizo ambapo Elvis Presley aliweka rekodi kama hii na albamu yake ya 'Blue Hawaii' akiwa na miaka 26

WACHINA 2 WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA TSH. MILIONI 11.5 KWA KAMISHNA MKUU WA TRA
> Walikutana na Dkt. Edwin Mhede Februari 24, 2020 kulalamika kuhusu makadirio ya kodi waliyodai ni makubwa na wakatoa hela hizo kama zawadi ambazo Dkt. Mhede alizikataa
Zaidi, soma https://jamii.app/RushwaWachina

UGANDA: MCHUNGAJI AKUTWA NA SILAHA NA SARE ZA JESHI
> Polisi wamesema wamemkamata Mchungaji huyo akiwa na sare za Jeshi na vifaa vingine vya Kijeshi
> Mchungaji huyo alianza kutafutwa baada ya kujipiga picha na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii
Zaidi, soma https://jamii.app/MchungajiSareJeshi

MPWAPWA: WANAFUNZI 47 WAPATA MIMBA KIPINDI CHA JANUARI – DESEMBA 2019
> Waliopata ujauzito walidai kuwa, baadhi ya viongozi wa dini, vijana wa bodaboda na watumishi wa Serikali wamekuwa wakiwarubuni kwa kuwaahidi vitu vingi kama simu na nguo
Soma https://jamii.app/MpwapwaWanafunzi

NJOMBE: MWALIMU JELA KWA KUMSABABISHIA MWANAFUNZI ULEMAVU WA KUDUMU
> Focus Mbilinyi wa Shule ya Msingi Madeke alimuadhibu Hosea Manga kwa kumningi’iniza miguu juu ya dirisha hali iliyompelekea kuanguka na kuvunjika kwa visahani vya uti wa mgongo
Soma https://jamii.app/NjombeMtotoUlemavu

TABORA: AMUUA MKEWE KWA KUTUMIA MKUKI
- Hawa Juma (35) ameuawa akiwa amelala kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kinachodaiwa ni mkuki na mumewe, Omari Mkuyu
- Inadaiwa ni baada ya kuibuka mzozo baina yao unaohusishwa na wivu wa mapenzi
Je, nini kifanyike kupunguza matukio ya Wapenzi kuuana au kujeruhiana kutokana na vyanzo kama wivu?
Zaidi, tembelea https://jamii.app/AmuuaMkewe-Mkuki-TBR