UPDATE: Watu waliofariki kwa #coronavirus Ulimwenguni wamefikia 2,763 huku Watu 80,970 wakiathirika
- Wagonjwa 29,745 wamepona maambukizi hayo nchini China na kuruhusiwa kutoka hospitalini
- Algeria imethibitisha Mgonjwa wake wa kwanza Jana ambaye ni raia wa Italia

ILALA: KUSAIDIA OMBAOMBA MITAANI NI KOSA LA JINAI
> Atakayesaidia atapigwa faini ya Tsh. 200,000 papo hapo
> Ili kuwasaidia ombaomba, wasilisha misaada kwenye kituo cha hifadhi, vituo vya kulelea watoto, wazee au wenye ulemavu au Halmashauri
Soma https://jamii.app/OmbaombaIlala

WACHINA 2 WALIOMHONGA KAMISHNA MKUU WA TRA WAHUKUMIWA
- Wafanyabiashara hao wametakiwa kulipa Tsh. Milioni 1 kila mmoja huku fedha zao za hongo zikitaifishwa
- Walimhonga Mhede Tsh. Milioni 11.5 wakidai walikadiriwa kodi kubwa (Tsh. Bilioni 1.375)
Zaidi, soma https://jamii.app/RushwaWachina

IGUNGA: MWENYEKITI WA MTAA AMFUNGIA MZEE (85) SIKU 3 OFISINI BILA CHAKULA
> Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwamaganga amekiri kufanya hivyo akidai hakuwa na funguo zakufungua mzee huyo
> Inadaiwa Mwenyekiti huyo, Msoba Mligo huwafungia watu na kuwatoa akipewa rushwa
Zaidi, soma https://jamii.app/Mzee85BilaChakula

RUVUMA: ASKARI POLISI WAMCHOMA SINGE MWENYEKITI WA KITONGOJI
- Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mtakuja, Pastorius Mbuya amechomwa na singe mkononi na mguuni
- Inaelezwa ni kwa sababu aliwagongea Askari hao usiku wakati Kituo cha Polisi kimefungwa
Zaidi, soma https://jamii.app/MwenyekitiSingeAskari-RVM

UGONJWA UNAOMFANYA MWANAMKE AZALIWE BILA MFUMO WA UZAZI
> Ugonjwa wa (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa uzazi kwa Mwanamke
> Wenye ugonjwa huu wanaweza kushiriki ngono wakifanyiwa upasuaji ili kufungua njia ya uzazi. Hawawezi kuzaa kwani hawana mfuko wa kizazi
Zaidi, soma https://jamii.app/KuzaliwaBilaUke

MICHEZO: Klabu ya Manchester City imekata rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) kupinga adhabu iliyopewa na Bodi ya Udhibiti wa Fedha
- Klabu hiyo ilifungiwa kushiriki michuano ya UEFA kwa misimu miwili na kupigwa faini ya £24.9m kwa kuvunja Kanuni za Udhibiti wa Fedha (Financial Fair Play)

FAHAMU MAJUKUMU YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NA MUDA WA KUGAWA MIRATHI
> Kifungu cha 108(1) cha Sheria ya Usimamizi na Uendeshaji wa Mirathi, Sura ya 352 kinaeleza kuwa kazi kubwa ya Msimamizi wa mirathi ni kukusanya mali na madeni ya marehemu, kutunza mali hizo, kusimamia gharama za mazishi na msiba, na kugawa mali kwa wanaostahili
Zaidi, soma https://jamii.app/MudaWaKugawaMirathi

FAHAMU KUHUSU HISA NA FAIDA ZAKE
> Hisa ni kumiliki sehemu ya kampuni na hununuliwa kwa madalali waliosajiliwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana ‘CMSA’
> Faida zake ni kupata gawio la faida ya kampuni na kutumia cheti cha hisa kudhamini mkopo
Zaidi, soma https://jamii.app/ElimuHisa

BALOZI MONGELA: MGOMBEA MWANAMKE ASIYEZUNGUMZIA MASUALA YA WANAWAKE HAFAI
- Balozi Getruda Mongela amesema ni heri kumpigia kura Mgombea Mwanaume katika uchaguzi kuliko Mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya Wanawake
Zaidi, soma https://jamii.app/BaloziMongellaUongoziWanawake

HOJA: KUCHUKUA MKOPO BENKI ILI KUJENGEA NYUMBA KUNA HASARA KUBWA SANA
> Mdau wa JamiiForums.com anasema mikopo ya Benki ina riba kubwa sana na wengi hukimbilia kununua kiwanja na kuanza kujenga nyumba, kisha huishi maisha ya shida sana kwa kipindi cha miaka 4-5
> Anashauri ni bora ujiwekee mkakati binafsi wa kila mwezi kujiwekea kiasi fulani ambacho unatumia kwa ajili ya ujenzi, utafanya hivyo bila riba wala hasara yoyote
Una maoni gani juu ya hoja ya mdau?
Kujadili, tembelea https://jamii.app/MikopoUjenziNyumba

MICHEZO: WAAMUZI WAFUNGIWA MIEZI MITATU. KOCHA WA YANGA APIGWA FAINI
- Waamuzi Abel Willium na Martin Mwalyaje waliosimamia mchezo kati ya Polisi Tanzania na Yanga SC, wamefungiwa miezi mitatu kwa kushindwa kutafsiri sheria za mchezo huo
- Kocha wa Yanga, Luc Eymael ametozwa faini ya Tsh. 500,000 kwa kukataa kufanya mahojiano na Mdhamini wa Ligi Kuu, Azam Media
Zaidi, soma https://jamii.app/AdhabuTFF-Feb2020

KILIMANJARO: BIDHAA ZA MAGENDO ZAKAMATWA
- TRA imekamata mapipa 50 yenye lita 12,500 za Kemikali yenye thamani ya Tsh. Milioni 15.5 yaliyokuwa yakipelekwa Kenya
- Pia imekamata simu 1,076 za mkononi zilizokuwa zikiingizwa nchini kinyemela
Zaidi, soma https://jamii.app/MagendoBidhaa-TZ-KE

BURUDANI: Watu wengi hasa Vijana wanapenda kuangalia filamu (movies). Filamu hizi huburudisha, huchangamsha na kutoa mafunzo mbalimbali katika jamii
- Kila mtu ana filamu iliyoukonga moyo wake kuliko zote alizowahi kuangalia na filamu hiyo anaweza kuirudia hata zaidi ya mara tano
Je, ni filamu gani uliyowahi kuangalia zaidi ya mara moja na bado huichoki kuiangalia?
Kujadili, tembelea https://jamii.app/FilamuBurudani

HOJA: UMESHAWAHI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO KIMASIHARA?
> Mdau wa JamiiForums anadai mara nyingi hutokea Mwanamke anapoumizwa na kutaka kulipiza kisasi
> Anadai kwa visasi wengi wanajimai bila kutarajia. Anahoji umeshawahi kushiriki tendo la ndoa kimasihara? Je, Mlidumu baada ya kukutana kimwili?
Kujadili, tembelea https://jamii.app/KulaTundaKimasihara

ARUSHA: KATIBU WA CCM MBARONI KWA TUHUMA ZA UBAKAJI
- Katibu wa CCM Tawi la Jamhuri Kata ya Daraja mbili, Aron Sanare Kivuyo (56) anashikiliwa Polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumpa ujauzito Mwanafunzi wa Kituo cha Compassion mwenye miaka 15
Zaidi, soma https://jamii.app/KatibuCCMUbakaji-AR

HOJA: JIFUNZE USTOA ‘STOICISM’ KUEPUKA MSONGO WA MAWAZO
> Ulianza miaka ya 300 BCE, ulianzishwa na Zeno. Ulifundisha kutoisumbua akili dhidi ya vitu usivyoweza kuvibadili
> 'Stoics' unaoweza kuwasoma ni Seneca, Epictetus na Marcus Aurelius
Zaidi, soma https://jamii.app/StoicismSchoolofThought

SOMALIA: MAREKANI YAMUUA MMOJA WA VIONGOZI WA AL-SHABAAB
- Kiongozi huyo anayehusishwa kupanga shambulio kwenye Kambi Jeshi ya Manda ameuawa katika shambulio lililofanywa kwa ndege
- Ameuawa pamoja na mkewe ambaye ni Mwanachama wa Al-Shabaab
Zaidi, soma https://jamii.app/KiongoziAl-ShabaabAuawa

WADAU WAHOJI; AJIRA ZITATOKA WAPI WAFUNGWA WAKITUMIKA KUFANYA KAZI?
- RC Iringa, Ally Hapi ametoa wito kwa Magereza Iringa kuruhusu Wafungwa kuchimba mitaro ya miradi ya maji ili kupunguza deni la zaidi ya Tsh. Milioni 300 wanazodaiwa na IRUWASA
- Wadau wanasema Wafungwa wakifanya kazi hiyo, watu wa mtaani ambao wangeweza kuwa vibarua hawatopata kazi hiyo na ugumu wa maisha kwao unaweza kuongezeka
Kujadili, tembelea https://jamii.app/WafungwaKutumikaMadeni