KIGOMA: ZAIDI YA WATOTO 600 HUZALIWA KILA MWEZI KTK KAMBI ZA WAKIMBIZI
> Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani humo wameeleza kutishwa na kasi kubwa ya kuzaliana kwa wakimbizi hao na hivyo wameitaka Serikali kuchukua hatua kukabiliana na hali hiyo ili kukabiliana na madhara makubwa siku zijazo ikiwemo baadhi ya wakimbizi hao kudai Taifa lao ndani ya Tanzania
Soma - https://jamii.app/IdadiKuzalianaWakimbizi

INDONESIA: JENGO LA GHOROFA 5 LAPOROMOKA MJINI JAKARTA
> Jengo hilo limeanguka leo asubuhi na mpaka sasa watu 8 wanadaiwa kujeruhiwa huku Mamlaka zikiendelea na zoezi la uokoaji kutokana na baadhi ya Raia kunasa kwenye vifusi
> Bado haijafahamika chanzo cha kuanguka kwake lakini inadhaniwa huenda ikawa imesababishwa na mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita
Soma - https://jamii.app/5StoreyBuildingCollapses

TABORA: MFAMASIA KIZIMBANI KWA KUIBA ARV HOSPITALINI
- Ni Francis Mlesa (33) ambaye ni Mfamasia wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga
- Anadaiwa kuiba chupa 30 za vidonge vya kufubaza Virusi vya UKIMWI (ARV) zenye thamani ya Tsh. 2,116,000
Soma https://jamii.app/MfamasiaKizimbani-TBR

KENYA: WATATU WAFARIKI KATIKA SHAMBULIO LA AL-SHABAAB
- Raia watatu wa Marekani wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa jana kwenye Kambi ya Jeshi iliyopo Lamu
- Pia, ndege 6 za jeshi ziliharibiwa katika tukio hilo
Zaidi, soma https://jamii.app/WamarekaniWauawaLamu

MGOGORO WA MADARAKA VENEZUELA: BUNGE KUONGOZWA NA MASPIKA WAWILI
> Mpinzani wa Rais wa Venezuela, Juan Guaido amechaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge na Wabunge wa Upinzani saa chache baada ya Mbunge mwingine wa upinzani, Luis Parra, kujitangaza kuwa Spika wa Bunge hilo
> Rais Nicolas Maduro amemtambua Luis Parra kama Spika mpya wa Bunge
Soma - https://jamii.app/VenezuelaParliamentaryCoup

CAG: WASIORUDISHA MIKOPO WANAKWAMISHA HESLB KUKOPESHA WANUFAIKA WENGINE
- Kuadimika kwa wanufaika hao kumepelekea uwezo wa Bodi kutoa mikopo kuwa mdogo
- HESLB imeshauriwa kushirikiana na Vyanzo/Taasisi nyingine kuboresha Kanzi Data yake
Soma - https://jamii.app/CAGTril1Mikopo

FAHAMU HISTORIA YA UTANI KATI YA KABILA LA WAHEHE NA WANGONI
> Utani wa kikabila unaaminika kuwa ni matokeo ya vita. Makabila mengi ambayo ni watani inadaiwa yaliwahi kupigana hapo zamani. Inadaiwa Wahehe na Wangoni waliwahi kupigana na hakukupatikana mshindi na ndipo walianza utani kila moja akitamba kuwa bora kuliko mwenzie
> Utani wa makabila haya mawili ni utani wenye heshima ambapo watu wa rika moja ndio ambao hutaniana, hauhusishi matusi kama ulivyo utani wa baadhi ya makabila
Je, unafahamu historia gani ya utani wa kikabila?
Zaidi, soma - https://jamii.app/UtaniKabilaNgoniHehe
#JFHistoria

ARUSHA: OFISI YA NIDA YAIBIWA VIFAA VYOTE VYA KAZI
- Ofisi ndogo za NIDA zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Arusha zimeibiwa vifaa vya kazi
- Vifaa vilivyoibwa ni Kompyuta 4 na Kamera 3 pamoja na vifaa vingine vya kuingiza majina kwenye mfumo
Zaidi, soma https://jamii.app/WiziOfisiNIDA-AR

TRUMP AITISHIA IRAQ IWAPO ITAYAONDOA MAJESHI YA MAREKANI NCHINI MWAO
- Amesema iwapo Iraq itataka Majeshi yaondoke nchini humo wataiwekea vikwazo vya kiuchumi ambavyo havijawahi kutokea
- Amedai wamewekeza Mabilioni ya Dola kwenye Jeshi lililopo Iraq
Zaidi, soma https://jamii.app/IraqVsUSA

KENYA: WATU 4 WAKAMATWA KWA TUHUMA KUZICHUNGUZA KAMBI ZA JESHI
> Watu 3 wamekamatwa kwa kujaribu kuingia ndani ya Kambi ya Jeshi la Uingereza mjini Nanyuki, Kaunti ya Laikipia huku mtu mwingine akidaiwa kukutwa akipiga picha za Kambi ya KDF(Kenya Air Force Moi Air Base)
> Watatu hao ni Wakenya na mpiga picha Raia wa Canada
Soma - https://jamii.app/SuspectsSpyingMilitaryBases

MJUE BONDIA ALIYEKUWA ANAPIGANA KAMA KALEWA MAARUFU 'THE DRUNKEN MASTER'
> Emanuel Augustus/Emanuel Burton alianza mapambano kama bondia mwaka 1990 hadi mwaka 2011 ambapo watu wengi walikuwa hawaipendi tabia yake ya kujifanya kalewa akiwa ulingoni
> Alinyimwa ushindi mara nyingi na katika rekodi ya mapambano 78 aliyopigana, alishinda mapambano 38 pekee, huku mapambano 20 akishinda kwa Knock Out
Soma - https://jamii.app/HistoriaBondiaDrunkenMaster

AUSTRALIA: MOTO KATIKA MISITU WAUA WATU 20, WANYAMA 500 NA KUTEKETEZA EKARI MILIONI 15
> Huu ni moto mkali kuwahi kutokea na mpaka sasa zaidi ya tani 250 za 'Carbondioxide' zimezalishwa
> Moto huo unatabiriwa kuendelea kuwaka kwa wiki 1 zaidi
Soma https://jamii.app/BushFiresAustralia

POLISI YAMKAMATA BOBI WINE, YASIMAMISHA MKUTANO WA UPINZANI
- Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine na viongozi wengine wa upinzani wamekamatwa leo
- Walikuwa wakienda kuhudhuria mkutano ambapo Bobi angeeleza mipango yake ya Uchaguzi mwaka 2021
Soma https://jamii.app/BobiWineArrestedJan2020

KENYA: MTOTO WA MIAKA 10 AJITAHIRI KWA KISU
> Afanya kitendo hicho akihofia kutengwa na wenzake ambao tayari wametahiriwa
> Hali yake sio nzuri na wazazi wamelazimika kumrudisha nyumbani baada ya kushindwa kugharamia matibabu hospitalini
Soma - https://jamii.app/MtotoAjitahiriKisu

HOSPITALI YA MLOGANZILA YAJIBU TUHUMA ZA WAGONJWA WENGI KUFARIKI HOSPITALINI HAPO
> Taarifa ya hospitali imetaja kupungua kwa vifo vya wagonjwa kutoka 14.9% katika kipindi cha Julai - Septemba 2018 hadi 10.4% kipindi kama hicho 2019
> Pia, imekanusha madai ya kuwepo kwa madaktari wanafunzi na kusema kuna madaktari bingwa 52, madaktari wa kawaida 50 na madaktari tarajali 53
Soma - https://jamii.app/MloganzilaYajibuShutuma

HOJA: UTEGEMEZI NA WATOTO NDIYO SABABU ZA WANAWAKE KUVUMILIA MATESO KWENYE NDOA
> Mdau wa JamiiForums.com anasema Watoto ni sababu inayofanya mwanamke avumilie shida/mateso kwenye ndoa na mwishowe hupelekea kupata madhara zaidi ikiwemo kifo, magonjwa au hata ulemavu kutokana na unyanyasaji wa kijinsia
> Anaongeza kwa kusema, mara nyingi wanawake ambao ni tegemezi kwa wanaume ndiyo wanaongoza kuvumilia mateso mazito kwenye ndoa zao kwa kuamini kuwa bila hao wanaume wao hawawezi kuishi
Maoni yako ni yapi
Tembelea mjadala - https://jamii.app/UvumilivuMatesoNdoa
#JFMahusiano

TETESI ZA SOKA: CHELSEA KUMSAJILI ALABA? MADDISON KUTIMKIA MAN UTD?
- Manchester United inahusishwa na kutaka kumsajili Mchezaji wa Leicester City, James Maddison pamoja na Kiungo Ruben Neves na Mshambuliaji Raul Jimenez wa Wolverhampton
- Chelsea inadaiwa kujiandaa kutoa kitita cha Paundi Milioni 60 ili kumsajili beki wa pembeni wa Bayern Munich, David Alaba (27) huku Real Madrid ikidaiwa kuanza kupanga usajili wa Mshambuliaji wa RB Leipzig, Timo Werner

UJUMBE WA LEO TOKA TAKUKURU: Rushwa ni adui wa Haki na Maendeleo kwa jamii yoyote ile. Jukumu la kupambana na Rushwa ni letu sote!
#KemeaRushwa
#KemeaRushwa