KIBORILONI, MOSHI: WATU WANAKUNYWA BIA KWA KUTUMIA VIKOMBE VYA CHAI
> Mdau wa JamiiForums anaripoti kuwa ameshuhudia bia ikiuzwa kwenye vikombe vya plastiki
> Anadai, wanywaji wanatumia mbinu hiyo kukwepa mkono wa Serikali
Kwa hoja hii, soma > https://jamii.app/PombeVikombe

HONDURAS: WAFUNGWA 16 WAUAWA BAADA YA KUZUKA KWA GHASIA NDANI YA GEREZA
> Wafungwa hao wameuawa baada ya makundi 2 ya kihalifu ktk Gereza la El Porvenir kuingia kwenye mapigano
> Walitumia visu na silaha za moto
Zaidi, soma > https://jamii.app/MauajiWafungwaHonduras
#JamiiForums

DRC: MILA NA DESTURI ZATAJWA KUWA KIKWAZO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA EBOLA
> Jinsi shughuli za mazishi zinavyofanyika DRC, kulala na maiti, kumuogesha na kumvika nguo marehemu, ni baadhi ya mila zinazosababisha kuenea kwa ugonjwa huo katika maeneo ya Mashariki mwa nchi hiyo ambapo zaidi ya watu 2300 wamefariki
Soma - https://jamii.app/MilaDesturiEbola

IJUE SHERIA: Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura Namba 20 Marejeo ya mwaka 2002 - Haki za Raia wa Tanzania
#IjueSheria
#IjueSheria
RAIS PIERRE NKURUNZIZA ATANGAZA KUONDOKA MADARAKANI 2020
> Rais wa Burundi amebainisha kutogombea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza Raia wengi huku wapinzani wake wakijiuliza kama kauli yake itakuwa na ukweli
> Kuna uvumi kwamba kiongozi huyo ana nia ya kuwania Kiti cha Urais katika uchaguzi ujao
Soma - https://jamii.app/NkurunzizaKutogombea2020

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
POLISI: HATUNA TAARIFA ZA KUKAMATWA TITO MAGOTI
> Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema hawana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati, Tito Magoti
> Jana, Kamanda Mambosasa alisema leo wangetoa maelezo kuhusu kukamatwa kwa Ofisa huyo wa Kituo cha Haki za Binadamu pamoja na wenzake watatu
#JFLeo

MATUMIZI YA SIMUJANJA KUONGEZEKA KWA KASI IFIKAPO 2024
> Utumiaji wa Simujanja (Smartphones) unakadiriwa kuongezeka kufuatia kuongezeka kwa matumizi ya intaneti katika kiwango cha (3G) na mtandao wa 4G
> Usajili wa Simujanja utakua kwa haraka kila mwaka kwa 19% ambapo utahitajika usajili wa zaidi ya watumiaji milioni 30 ifikapo mwishoni mwa 2024
Soma - https://jamii.app/SmartphoneSubscriptionsGrowth

RAIS MAGUFULI AAGIZA VIJANA 800 WA JKT KUAJIRIWA
> Ameagiza vijana 800 wenye Shahada waliojitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka 2 kuajiriwa Serikalini kuanzia Februari 2020
> Katika kipindi cha 2019/20 Serikali imetangaza nafasi 40,000 na ajira ambazo zinaanza Februari
Soma - https://jamii.app/AjiraSerikaliVijanaJKT

VIWANJA VYA NDEGE 208 VYAFUNGIWA KWA KUSHINDWA KUFUATA KANUNI ZA USAFIRI
> Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzani (TCAA) imetangaza kuvifunga viwanja hivyo vidogo baada ya kubainika kushindwa kufuata Kanuni za Usafiri wa Anga
> Kanuni zinakataza uendeshaji wa viwanja vya ndege bila kupata usajili au leseni inayotolewa na TCAA
Soma - https://jamii.app/ViwanjaNdege208Vyafutwa

Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo akifanya ufunguzi wa Choo kilichojengwa kwa Ufadhili wa Shirika la ADD International
> Ufunguzi huu umefanyika siku ya jana Desemba 22, 2019

MPYA: MWANDISHI BOLLEN NGETTI ADAIWA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA
Ikiwa ni siku 4 tangu Afisa wa Program na Elimu kwa Umma wa LHRC, Tito Magoti “atekwe” na watu wasiojulikana, zipo taarifa za hivi punde kwamba mwandishi wa Habari Bollen Ngetti naye ametekwa na wasiojulikana muda mfupi uliopita maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam
Watekaji wanadaiwa kutokomea na mwandishi huyo kusikojulikana
Tunaendelea kufuatilia ukweli wa taarifa hizi na tutawajuza kadri tutakavyopata taarifa zaidi
#FreeBollenNgetti #FreeTitoMagoti

UFILIPINO: WATU 11 WAFARIKI NA 300 KULAZWA BAADA YA KUNYWA POMBE YA MNAZI
> Takriban watu 11 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 300 kulazwa baada ya Kunywa Pombe ya mnazi walipokuwa kwenye sherehe za maandalizi ya Sikukuu ya Krismasi
> Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Laguna na Quezon, Kusini mwa Mji wa Manila ambapo kinywaji hicho hutumiwa sana kipindi cha sherehe na sikukuu
Soma - https://jamii.app/DeathCoconutAlcohol

IRINGA: MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ABDUL NONDO KATIKA RUFAA ILIYOFUNGULIWA NA SERIKALI DHIDI YAKE
> Rufaa iliyokuwa imefunguliwa na Jamhuri dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Omary Nondo imetolewa hukumu ambapo Jamhuri imeshindwa kuithibitishia Mahakama Kuu kulingana na sababu za rufaa zilizoletwa
Soma - https://jamii.app/NondoAachiwaMahakama

MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA BOEING ATANGAZA KUJIUZULU
> Dennis Muilenburg ajiuzulu baada ya Boeing kusitisha kwa muda uzalishaji wa ndege aina ya Boeing 737 Max
> Boeing walichukua uamuzi huo baada ya ndege 2 aina kupata ajali na kuua watu zaidi ya 300
Soma https://jamii.app/BoengCEOAjiuzulu

SAUDI ARABIA: MAHAKAMA YAWAHUKUMU KIFO WATU 5 KWA MAUAJI WA JAMAL KHASHOGGI
> Mahakama imesema hakukuwa na ushahidi wa kuhusika kwa Maafisa wa juu wa Serikali ktk mauaji hayo
> Mwana Mfalme, Mohammed bin Salman alikuwa akituhumiwa husika
Soma > https://jamii.app/WauajiKhashoggi

SHERIA: OFISI YA MSAJILI INAWAJIBIKA KUHAKIKISHA MAWASILIANO MAZURI KATI VYAMA NA SERIKALI
> Kusimamia Chaguzi za ndani za Vyama vya Siasa na kuhakikisha ziko Huru na Haki
> Kutoa muongozo na taratibu za mapato na matumizi ya fedha ndani ya Vyama vya Siasa
Soma > https://jamii.app/AheriaVyamaSiasa

CHINA YATANGAZA KUPUNGUZA USHURU KWA BIDHAA ZA KIGENI
> Itapunguza ushuru kuanzia Januari 2020 kwenye zaidi ya bidhaa 850 ikiwemo Nyama ya Nguruwe, Dawa za Pumu na baadhi ya Vifaa vya Teknolojia
> Tangazo hilo linafuatia makubaliano ya muda ya kibiashara na Marekani katika Vita vya Ushuru wa Bidhaa
Soma - https://jamii.app/ChinaUshuruBidhaaNje