ROMBO: MOTO WATEKETEZA MADUKA NA KUSABABISHA HASARA KUBWA
> Maduka 9 yameteketea kwa moto uliosababishwa na mlipuko wa gesi zilizokuwa katika moja ya maduka, usiku wa kuamkia leo
> Wafanyabiashara hao wamepata hasara kubwa, akiwemo aliyepata hasara ya Milioni 86 na wengine milioni 10
Soma - https://jamii.app/MotoMadukaTarakea

HUAWEI YATANGAZA OFA YA KUUZA TEKNOLOJIA YA 5G
> Kampuni hiyo ya simu imebainisha kuwa inafikiria kutafuta mteja kutoka mataifa ya Magharibi wa kununua teknolojia yake ya 5G ikiwa kama sehemu ya ushirikiano
> Haijatangaza kiasi gani cha pesa kinachohitajika kununua teknolojia hiyo
Soma - https://jamii.app/HuaweiSells5GTech

KENYA YAWA NCHI YA 3 AFRIKA KUZINDUA CHANJO YA MALARIA
> Kulingana na taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya, chanjo hiyo itatolewa katika kaunti nane: Homa Bay Kisumu, Migori, Siaya, Busia, Bungoma, Vihiga na Kakamega
> Zaidi ya watoto 300,000 wanatarajiwa kupewa chanjo miaka 3 ijayo
Soma - https://jamii.app/KELaunchMalariaVaccine

ADHABU YAPITISHWA KWA WOTE WATAKAOSAMBAZA PICHA ZA MAITI
> Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho yanayohusisha kuweka adhabu kwa watu wanaotumia au kusambaza picha za maiti au wahanga wa ajali
> Katika mabadiliko ya sheria, adhabu zimebadilishwa kutoka Tsh. 100 iliyokuwa awali na kufikia Tsh. 50,000 kwa makosa tofauti ambapo watuhumiwa wanaweza kutozwa hadi zaidi ya Tsh. 1,000,000
Soma - https://jamii.app/AdhabuPichaMaiti

SERIKALI YATOA ONYO KWA MUSIBA KUHUSU HARAKATI ANAZOZIFANYA
> Serikali imemuonya Cyprian Musiba kuacha mara moja kufanya harakati zake kwa kuwaaminisha Watanzania kuwa Serikali inamtuma kufanya hivyo
> Ametakiwa kutojishughulisha na mambo ya Serikali
Soma - https://jamii.app/SerikaliOnyoMusiba

KENYA YAZUIA RAIA WA KIGENI KUASILI WATOTO WAZAWA WA NCHI HIYO
> Baraza la Mawaziri limepiga marufuku na kupitisha watoto wa Kenya kutoasiliwa na raia wa kigeni ikiwa ni hatua kushughulikia watu wasio waaminifu/Matapeli
> Itaunda sera mpya itakayodhibiti kuasili watoto
Soma - https://jamii.app/KEBanForeignersAdopting

AJALI YA MOTO MOROGORO: KAMATI YAKAMILISHA UCHUNGUZI, WAHUSIKA KUWAJIBISHWA
> Waziri Mkuu amesema Kamati imekamilisha kuchunguza kuhusu ajali hiyo iliyosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali na mamlaka husika zimeelekezwa kuchukua hatua za kinidhamu kwa wale wote ambao hawakutekeleza majukumu yao ipasavyo
Soma - https://jamii.app/UchunguziAjaliMotoMoro

TCRA YATANGAZA KULETA VING'AMUZI VYENYE UWEZO WA KUONESHA CHANELI ZA KULIPIA NA BURE
> Ving'amuzi hivyo vitakuwa na sehemu ya kuwekea kadi ambapo utaweka kadi ya king'amuzi chochote
> TCRA imesema vitaingia nchini mwezi Desemba mwaka huu
Soma > https://jamii.app/TCRADecoder

MOSHI: MKAZI WA KALOLENI AHUKUMIWA KIFO KWA HATIA YA KULAWITI MTOTO
> Mahakama imempa hukumu hiyo, Mariki Ulomi(50) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumlawiti Mtoto wa miaka 11
> Mtoto huyo alifariki dunia baada ya kutendewa unyama huo
Soma > https://jamii.app/UlomiHukumuKifo

KIBITI: WATU 4 WAJERUHIWA KWENYE MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
> Kumezuka mapigano ya wafugaji na wakulima katika Kijiji cha Lualuki na kusababisha mifugo 12 kujeruhiwa
> Mmoja kati ya majeruhi yupo chumba maalumu cha uangalizi(ICU) kutokana na hali yake kuwa mbaya zaidi
Soma - https://jamii.app/UgomviWakulimaWafugaji

UGANDA: JENERALI KAYIHURA AWEKEWA VIKWAZO KUINGIA MAREKANI
> Serikali ya Marekani imempiga marufuku kuingia nchini humo aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Uganda, Jenerali Edward Kalekezi Kayihura na familia yake kwa kuhusika katika kuwatesa raia wa Uganda na kuunda kikosi maalumu cha Polisi cha kuwadhulumu raia hao wakati wa uongozi wake
> Alikuwa Mkuu wa Polisi kati ya mwaka 2005 na 2018
Soma - https://jamii.app/USBansKayihura

MICHEZO: Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Swedi Mkwabi, amejiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa Klabu hiyo
-
Katika barua yake aliyoandika kwenda kwa Bodi ya Wakurugenzi kupitia Mwenyekiti wa Bodi amesema sababu kuu ya kijiuzulu nafasi hiyo ni kuhitaji muda zaidi kusimamia shughuli zake binafsi
-
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo inasema machakato wa kumpata mrithi wake utatangazwa hapo baadae

ZIMBABWE: BAADA YA MABISHANO SERIKALI NA FAMILIA YA MUGABE WAAFIKIANA KUJENGA KABURI KWA SIKU 30
> Familia, viongozi wa jadi na Serikali wamekubaliana Mugabe azikwe kitaifa Jijini Harare
> Kaburi lake litakamilika baada ya siku 30
Soma > https://jamii.app/MugabeMausoleum
#RIPMugabe

KIGOMA: POLISI WAUA WATU 12 WANAODHANIWA KUWA MAJAMBAZI
> Inadaiwa walikuwa katika mpango wa kuteka magari katika kijiji cha Kilemba Wilayani Kibondo
> Walikutwa na bunduki 3 aina ya AK 47, risasi 107, mapanga, visu na mabomu 3 ya kurusha kwa mkono
Soma - https://jamii.app/Vifo12UjambaziKGM

ZIMBABWE: RAIS WA AFRIKA KUSINI AOMBA MSAMAHA KWA VURUGU ZILIZOTOKEA DHIDI YA WAGENI
> Rais Cyril Ramaphosa amewaomba waafrika msamaha kufuatia mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni yaliyotokea siku za hivi karibuni Afrika Kusini na kusema hali hiyo haitotokea tena
> Ni baada ya raia wa Zimbabwe kuanza kupiga mayowe, punde tu alipokaribishwa kutoa hotuba yake fupi
Soma - https://jamii.app/RamaphosaApologyXenophobia

MICHEZO: YANGA SC YALAZIMISHWA SARE NA KLABU YA ZESCO KUTOKA ZAMBIA
> Bao la Yanga SC limefungwa na Patrick Sibomana na huku lile la Zesco likifungwa na kiungo wa zamani wa Yanga SC, Thabani Kamusoko
> Timu hizo zitarudiana Septemba, 27, Zambia
Zaidi, soma > https://jamii.app/YangaVsZesco

MAREKANI: MKUU WA HUDUMA ZA USHAURI NA SAIKOLOJIA WA CHUO KIKUU CHA PENNSYLVANIA AJIUA
> Dkt. Gregory Eells amejiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya 17 ya jengo alilokuwa akiishi
> Kwa miaka 20 amekuwa akiwasaidia watu kuhusu masuala ya saikolojia
Soma > https://jamii.app/RIPEells

MAARIFA: FAHAMU KUHUSU FALSAFA YA USTOA (USTOIC PHILOSOPHY)
> Ustoa ni falsafa inayowapa watu maarifa na namna sahihi ya kuishi, namna ya kwenda na sheria za asili na kuwa na maisha yenye furaha
> Moja ya mambo yanayosisitizwa kwenye falsafa hii ni kujua mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako na yale ambayo yapo nje ya uwezo wako
> Ukishajua hivyo, jambo lolote linapokutokea, kama lipo ndani ya uwezo wako chukua hatua, na kama lipo nje ya uwezo wako basi achana nalo au kama huwezi kuachana nalo angalia namna ya kuishi nalo
Fahamu zaidi - https://jamii.app/StiocimPhilosophy
#JFKnowledge

MAKUENI, KENYA: OMBA OMBA 6 KUTOKA TANZANIA WAKAMATWA
- Baadhi yao walikuwa kwenye viti vya magurudumu vya walemavu, walipokuwa wakikamatwa walisimama na kujaribu kutoroka
- Kati yao Mwanaume ni mmoja na Wanawake 5 waliokuwa na Watoto
Soma > https://jamii.app/OmbaombaWatanzaniaKe