UTAFITI: IDADI YA VIJANA WANAOPATA KIHARUSI YAONGEZEKA
> Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umebaini wagonjwa 123 kati ya 369 waliogundulika kuwa na kiharusi ni vijana na watu wazima wenye umri chini ya miaka 45
> Aidha, vitu vinavyowafanya vijana kuwa katika hatari zaidi ya kupata kiharusi ni ulevi, Virusi Vya UKIMWI na ugonjwa wa moyo
Soma - https://jamii.app/HatariVijanaKiharusi

MAREKANI YATHIBITISHA KUUAWA KWA MTOTO WA OSAMA BIN LADEN
> Rais Trump amethibitisha wanajeshi wa Marekani kumuua Hamza bin Laden mtoto wa mwanzilishi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda
> Hamza aliuawa wakati wa operesheni ya kukabiliana na magaidi katika mpaka wa Afghanistan na Pakistan
Soma - https://jamii.app/USKillsHamzaLaden
#JFLeo

SEPTEMBA 15: SIKU YA KUAZIMISHA DEMOKRASIA DUNIANI
> Katibu Mkuu wa UN, António Guterres amesema demokrasia ni jiwe la msingi la ujenzi wa amani, maendeleo na haki za binadamu
> Demokrasia inahusisha usawa, ushiriki na ushirikishaji katika ngazi za maamuzi
Soma > https://jamii.app/DemocracyDay

SAUDI ARABIA YASITISHA UCHIMBAJI MAFUTA BAADA YA VITUO KUSHAMBULIWA
> Imesitisha kwa muda uchimbaji katika vituo 2 vinavyomilikiwa na kampuni ya Saudi Aramco, vilivyoshambuliwa jana kwa mabomu
> Waziri wa Nishati amesema kufuatia mashambulio hayo, uchimbaji mafuta katika vituo hivyo umepungua kwa 50%
Soma - https://jamii.app/SaudiaStopsOilProduction

KENYA: AFOJI CHETI CHA KIFO CHA MKEWE ILI AWEZE KUOA MWANAMKE MWINGINE
> Muuguzi mmoja Jijini Nairobi ambaye pia ni Mama wa Watoto 4 amekikuta cheti cha kifo chake ndani ya gari la Mumewe
> Pia, amekuta cheti cha ndoa mpya ya Mumewe
Soma https://jamii.app/MumeAfijiKifoMke

UGANDA: WATU 8 WAFARIKI BAADA YA LORI KUGONGA BASI LA ABIRIA
> Ajali hiyo iliyohusisha basi la Modern Coast(KBU 651Q) na Lori(ZE 2344) imetokea kwenye barabara kuu ya Jinja-Tororo
> Idadi ya majeruhi haijafahamika na basi lilikuwa na abiri 40
Soma > https://jamii.app/ModernCoastUG

COPENHAGEN, DENMARK: GEOFFREY KAMWOROR AWEKA REKODI MPYA MBIO ZA KILOMITA 20
> Raia huyo wa Kenya mwenye umri wa miaka 26 amemaliza mbio hizo ndefu kwa kutumia dakika 58.01 pekee ikiwa ni sekunde 17 pungufu ya rekodi ya awali
Zaidi, soma => https://jamii.app/KamwororIAAF

ARUSHA: MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MKEWE
- Polisi inamshikilia Amir Hassan kwa mahojiano juu ya tuhuma zinazomkabili za kumuua mkewe, Lidya Kiwale
- Anadaiwa baada ya kumuua mkewe, aliutupa mwili kwenye migomba iliyopo jirani na makazi yake
Zaidi, soma https://jamii.app/AmuuaMkeweArusha

AFRIKA KUSINI: WENYEJI WAOMBA RADHI WAGENI
> Raia wa Taifa hilo wamefanya maandamano ya amani kuwaomba radhi wahamiaji wa kigeni kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika, waliobaguliwa na kushambuliwa nchini humo
> Mashambulio hayo ya kibaguzi dhidi ya wageni yanayojulikana kwa jina la #xenophobia yamesababisha vifo, majeruhi na hasara kwa wageni kutoka Mataifa mengine ya Afrika wanaofanya kazi na biashara nchini humo
#XenophobicAttack #XenophobiaInSouthAfrica

SOMALIA: ZAIDI YA ASKARI 12 WA JESHI LA BURUNDI WAUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO LA KUSHTUKIZA
> Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali shambulio hilo limetekelezwa na Al Shabaab
> Limetokea wakiwa wanarejea kambini
Soma > https://jamii.app/WanajeshiBurundiAMISOM

MUSOMA: WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA KUKUTWA NA HATIA YA KUUA
- Musiba Maregeba, Abeid Casimil na Ndaro Sumuni wamehukumiwa kwa kumchinja Tabu Makanya(58)
- Awali, walihukumiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ila walikata rufaa Musoma
Zaidi, soma https://jamii.app/WahukumiwaKifo-Musoma

DAR: UZINDUZI WA RADA YA KUONGOZEA NDEGE JNIA
> Rais Magufuli anazindua Rada ya kuongozea ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere
> Viongozi mbalimbali akiwemo Spika Ndugai wamehudhuria
Fuatilia yaliyojiri, hapa > https://jamii.app/UzinduziRada

TRUMP: MAREKANI IPO TAYARI KUJIBU MASHAMBULIO YALIYOFANYWA SAUDI ARABIA
- Amesema hayo huku akiendelea kuilaumu Iran kwa mashambulio hayo yaliyofanywa kwenye visima vya mafuta
- Mashambulio hayo yamepandisha bei ya mafuta kwa kiwango kikubwa
Soma https://jamii.app/TrumpKulipaKisasi-SA

CHAN: KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOPAMBANA NA SUDAN CHATANGAZWA
- Kaimu Kocha Mkuu Ettiene Ndairagije ametagaza kikosi cha timu ya Taifa #TaifaStars kinachoingia kambini kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani(CHAN)

ASKOFU RUWAI’CHI ATOLEWA ICU, AWEKWA WODI YA KAWAIDA
- Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwai’chi ametolewa katika Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) baada ya Wataalamu kujiridhisha na maendeleo ya afya yake
Soma https://jamii.app/RuwaichiAtolewaICU

HABARI KATIKA PICHA: Mtiririko wa safari ya mwanamke aliyedaiwa kufariki nchini kwa kuambukizwa virusi vya ugonjwa wa Ebola(EVD). Mkasa huo ulikuwa ukichunguzwa na kufuatiliwa na Shirika la Afya Duniani(WHO)
> Kwa mujibu wa mchoro inaonekana alitembelea Kilimanjaro, Kampala-Uganda, Mwanza na hatimaye Dar es Salaam
> Hata hivyo Serikali kupitia Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ilikanusha taarifa kuwa Mwanamke huyo alifariki kwa Ebola

ZIMBABWE: DAKTARI ALIYEKUWA AKIONGOZA MGOMO WA KUDAI NYONGEZA YA MSHAHARA ATOWEKA
> Dtk. Magombey aliyekuwa akiongoza mgomo wa kupinga malipo kidogo atoweka ktk mazingira tatanishi
> Daktari anayeanza kazi nchini humo analipwa Tsh. 229,900/=
Soma > https://jamii.app/DrMagombey