DARASA LA 7 KUANZA MTIHANI KESHO, WAMILIKI WA SHULE WATAKIWA KUTOWAINGILIA WASIMAMIZI
> Wanafunzi 947,221 kutoka shule 17,051 za Tanzania Bara, wanatarajia kufanya mtihani huo wa kumaliza Elimu ya Msingi
> Aidha, watahiniwa wenye mahitaji maalumu wapo 2,678
Soma - https://jamii.app/Mtihani7Kesho

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
CHATO, GEITA: WANANCHI WAPIGA KAMBI MSITUNI KUSHUHUDIA NYOKA WA AJABU, WAMPELEKEA ZAWADI
> Wamempelekea Mbuzi mweupe, maji na mtama ili aweze kuwafungulia baraka katika maisha yao
> Wameapa kukaa porini hadi Nyoka huyo atakapo kula zawadi hizo
Soma > https://jamii.app/NyokaAjabuChato
#JFLeo

SERIKALI YA AFRIKA KUSINI YAITAKA RWANDA KUWAPELEKA WANAOTUHUMIWA KWA MAUAJI YA PATRICK KAREGEYA
> Karegeya, aliyekuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Rwanda na aliuawa Afrika Kusini 2014
> Wanaotuhumiwa hao ni Ismael Gafaranga na Alex Sugira
Soma > https://jamii.app/MauajiKaregeya

SAUDI ARABIA: MKANDA WA SAUTI UNAODAIWA KUWA WA MAUAJI YA JAMAL KASHOGGI WAVUJA
> Gazeti la Sabah nchini Uturuki limeachia mkanda wa sauti uliorekodiwa kati ya Mwandishi wa Habari, Jamal Kashoggi aliyeuawa mwaka 2018 na kikundi kinachosadikiwa kumuua ndani ya Ubalozi wa Saudia mjini Instanbul
> Sauti hizo zinazoaminika kurekodiwa na Shirika la Ujasusi la Uturuki zimeachiwa hadharani jana
Soma - https://jamii.app/AudioTranscriptsKhashoggiMurder

TEKNOLOJIA: VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO UNAPOKUWA MPIGAPICHA
> Ni vyema kuwa na vifaa vya kusafishia vumbi ili kutunza ubora wa Lensi. Tumia vitambaa laini na maji maalum ya kusafishia
-
> Kamba bora: Mara nyingi kamera huja na mikanda ya shingoni ambayo mingi huwa sio imara sana. Tafuta ulio imara
-
> Betri za akiba: Ukiwa na betri la ziada ni vizuri kwasababu unaweza ukaacha chaji na isikuzuie kufanya kazi
> Tripod Imara: Hii ni muhimu na husaidia kupiga picha vizuri bila kutikisika na kutoa picha bora
> Maarifa: Kuna makampuni yanajitolea kufundisha kupitia mtandao lakini pia unaweza kuangalia video mtandaoni na kujifunza
Kufahamu zaidi - https://jamii.app/BasicNeedsPhotography
#JFTeknolojia

KIGOMA: DIWANI WA KATA YA MWANGA NA MWANAMUZIKI BABA LEVO AONGEZEWA KIFUNGO
> Clayton Chipando 'Baba Levo' ameongezewa kifungo kutoka miezi 5 hadi mwaka 1
> Alikata rufaa kupinga hukumu ya awali baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia trafiki
Soma > https://jamii.app/BabaLevoHukumu

WANANCHI WA KAGERA WAPEWA TAHADHARI KUHUSU MABOMU
> Serikali imewataka wananchi hususani Mkoani Kagera kuendelea kuchukua tahadhari ya kuokota vitu vinavyong’ara au vyuma ili wasije wakaokota mabomu
> Hivi karibuni watoto 5 wamefariki na zaidi ya watoto 40 kujeruhiwa katika Shule ya Msingi ya Kihinga
Soma - https://jamii.app/TahadhariMabomuKagera

RUKWA: AHUKUMIWA MIAKA 50 KWA KUMBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI DARASA LA 5
> Mahakama ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa imemuhukumu, Ally Kibwe (20) kwa kumbaka na kumpa mimba Mwanafunzi (12) katika shule ya Mkilingila
> Adaiwa kumbaka mwanafunzi huyo kwa nyakati tofauti tofauti
Soma - https://jamii.app/MbaroniUbakajiMimba

CHEMBA: ALIYEVUJISHA BARUA YA KUZUIA MAKUNDI YA WHATSAPP ASAKWA
> DED ametangaza kumchukulia hatua za kinidhamu aliyevujisha barua inayoagiza kuvunjwa kwa makundi ya WhatsApp ya Walimu
> Tangu Agosti 19, ilisambaa barua ikionekana kuwaelekeza Waratibu Kata kuvunja makundi yote ya mawasiliano kwa Walimu
Soma - https://jamii.app/KuvujaBaruaWhatsapp

DOLA TRILIONI 1.8 ZAHITAJIKA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
> Tume ya Kimataifa imetoa wito kwa nchi zote duniani kuwekeza kwa ajili ya kuzikabili athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi
> Imesema fedha zinahitajika haraka kwa ajili ya kulipia mifumo ya kutoa tahadhari za mapema, kujenga miundombinu inayoweza kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi na kwa ajili ya kuhifadhi maji
Soma - https://jamii.app/FedhaTabiaNchi

MAREKANI: MSHAURI WA MASUALA YA USALAMA WA TAIFA AFUTWA KAZI
> Rais wa Marekani, Donald Trump amemuachisha kazi John Bolton, huku akidai sababu ni kutokana na kutokubaliana naye katika mambo mengi
> Bolton ni mshauri wa tatu wa usalama wa Taifa ambaye anafukuzwa kazi katika kipindi cha miaka miwili na nusu
Soma - https://jamii.app/TrumpFiresBolton

MAREKANI: KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA SHAMBULIO LA 'SEPTEMBA 11'
> Septemba 11, 2001 ni tarehe ya shambulizi baya kuwahi kufanyika Marekani na kusababisha vifo vya watu takribani 3,000 na kujeruhi wengine 6,000 baada ya kundi la kigaidi la Al-Qaeda kuteka ndege nne
> Ndege ya kwanza iliyokuwa ikitokea Boston, ililazwa kwenye mnara wa Kaskazini wa Kituo cha Biashara Ulimwenguni jijini New York na Ndege ya pili, pia kutoka Boston, iligonga mnara wa Kusini
Fahamu tukio lote - https://jamii.app/Sept11Anniversary
#JFHistoria

MWANZA: MZEE AJINYONGA KWA MTANDIO BAADA YA KUNYANG'ANYWA SHAMBA
> Mkazi wa Wilayani Ukerewe, Masatu Kezirahabi (94), amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia mtandio ikiwa ni siku sita tangu sehemu ya shamba lake litwaliwe na Serikali ya kijiji kwa madai kwamba alimiliki ardhi hiyo kinyume cha utaratibu
Soma - https://jamii.app/KifoKujinyongaShamba

IRAQ: MKANYAGANO WATOKEA MSIKITINI WAKATI WA IBADA NA KUSABABISHA VIFO
> Takriban Mahujaji 36 wa Shia wamefariki na wengine 100 kujeruhiwa kutokana na mkanyagano uliotokea Msikitini wakati wa ibada ya Ashura mjini Karbala
> Walikuwa wamekusanyika katika ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Imam Hussein, Mjukuu wa Mtume Muhammad
Soma - https://jamii.app/ShiitePilgrimsKilled

SHINYANGA: AMKATA MPENZI WAKE MAPANGA WAKIWA NJIANI KWENDA UKWENI
> Joseph Msafiri anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumkata mapanga Neema Kabulu (19), wakiwa Gesti akisubiri kesho yake kwenda kutambulishwa ukweni
Soma - https://jamii.app/MapangaWivuMapenzi

KILIMO: FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA VITUNGUU SAUMU
> Vitunguu Saumu ni zao ambalo lipo katika jamii ya vitunguu, linatumika kama kiungo cha chakula na pia, hutumika kama dawa na harufu yake hufukuza wadudu waharibifu shambani
> Mbegu yake ni ile punje inayokuwa imebanguliwa kutoka kwenye tunguu iliyokomaa kabisa na kiasi cha Kilo 300 – 500 hutumika kwa hekari moja
> Hulimwa kiasi cha Mita 1800 kutoka usawa wa Bahari, Mvua kiasi cha MM 1000, Joto kiasi, Udongo tifutifu, mnyevunyevu na usiotuamisha maji
Tembelea - https://jamii.app/KilimoKitunguuSaumu
#JFKilimo

MADAI YA WIZI WA ADA CHUO CHA UALIMU MOSHI: WAHASIBU WAWEKWA RUMANDE
> Mkuu wa Wilaya ya Hai amekutana na wadau wote waliotajwa kuhusika katika upotevu wa fedha za ada za wanafunzi pamoja na kuwatia ndani Wahasibu waliohusika katika mchakato ambao pesa hizo zilipitia
> Wanachuo hao zaidi ya 400 wanashinikiza kulipwa fedha zao zaidi ya Tsh. milioni 72
Soma - https://jamii.app/WahasibuRumandeWiziAda

TANZIA: ALIYEWAHI KUWA WAZIRI WA UCHUKUZI NA MWENYEKITI WA BODI YA TTCL, OMARY NUNDU AFARIKI
> Omary Nundu(71), alifikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili akitokea nyumbani kwa gari binafsi la wagonjwa akiwa tayari ameshafariki
Soma > https://jamii.app/RIPNundu

DANGOTE NA BAKHRESA WAPEWA SIKU 30 KULIPA USHURU WA FORODHA
> Kampuni ya Saruji ya Dangote, Salim Bakhresa pamoja na kampuni zingine zimepewa siku 30 na TRA kulipia ushuru wa forodha kwenye mizigo yao kabla haijapigwa mnada
> Wadaiwa wengine ni Hospitali ya Kairuki, Kampuni ya simu Airtel na Hospitali ya Muhimbili
Soma - https://jamii.app/DangoteBakheraUshuru