MAHAKAMA KUU KUTOA UAMUZI WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI LEO
> Mahakama Kuu Dar inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu zuio la kuapishwa kwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu (CCM)
> Jimbo hilo lilikuwa chini ya Tundu Lissu aliyevuliwa ubunge Juni 28 na Spika Job Ndugai
Soma - https://jamii.app/UamuziKesiJimboLisu
#JFLeo

YEMEN: WATU ZAIDI YA 100 WAFARIKI KWENYE SHAMBULIO LA ANGA
-
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu ICRC limesema, wafungwa takriban 130 wanahofiwa kupoteza maisha katika shambulio la anga lililoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya gereza la Mkoani Dhamar, Yemen
-
Mpaka sasa majeruhi 40 wamepatikana na wapo wakipatiwa matibabu katika hospitali zilizopo mjini huku zoezi la uokoaji likiendelea kwenye vifusi vya gereza hilo

WAKILI WA SERIKALI: NDEGE ILIYOZUIWA AFRIKA KUSINI HUTUMIWA NA RAIS
- Wakili Victor Nkhwashu amedai Rais ameshindwa kusafiri na kutimiza majukumu yake ya Kimataifa
- Amedai ndege hiyo ina vifaa nyeti vya ulinzi vinavyotumiwa na Rais akisafiri
Soma https://jamii.app/NdegeIliyozuiwaSA-RaisTZ

WAZIRI AAGIZA KUONDOLEWA KWENYE NAFASI YAKE MENEJA WA REA MOROGORO
- Dkt. Medard Kalemani ameagiza Seif Abdallah kuondolewa kwenye nafasi ya Umeneja wa REA Mkoani Morogoro
- Ni baada ya kushindwa kumsimamia mkandarasi anayesambaza umeme huo
Soma https://jamii.app/MenejaREA-Moro

MKHITARYAN MBIONI KUJIUNGA NA KLABU YA AS ROMA
- Klabu ya AS Roma inafanya mazungumzo ya kumsajili kwa mkopo Kiungo Mshambuliaji wa Arsenal, Henrikh Mkhitaryan
- Mchezaji huyo alijiunga Arsenal Januari 2018 na amefunga magoli 9 kwenye michezo 56

KENYA: SERIKALI YASITISHA AJIRA KUKABILIANA NA FEDHA ZA MISHAHARA
> Serikali imesitisha kuajiri wafanyakazi wapya wa umma kwa miaka mitatu ijayo katika hatua inayolenga kukabiliana na ongezeko la kiasi cha fedha zinazolipwa kama mishahara
> Mashirika ya Serikali nayo yanakabiliwa na tishio kubwa la kupunguzwa kwa bajeti zao
Soma - https://jamii.app/KEFreezGovtJobs

WANAOWANIWA TUZO ZA FIFA WATANGAZWA
- Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Virgil van Dijk kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume
- Pep Guardiola, Jurgen Klopp na Mauricio Pochettino kuwania tuzo ya Kocha Bora
- Alisson Becker, Ederson na Marc-Andre Ter Stegen kuwania tuzo ya Kipa Bora

PAPA FRANCIS KUANZA ZIARA NCHI ZA AFRIKA JUMATANO
> Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani anatarajiwa kuanza ziara ya wiki 1 kuanzia Septemba 4 akitembelea nchi zilizokumbwa na umasikini, vita na majanga ya asili
> Atatembelea Msumbiji, Madagascar pamoja na Mauritius
Soma - https://jamii.app/PopeVisitsAfrica

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO
> Ni vizuri kupata elimu na ushauri wa mambo yanayotokea wakati wa ujauzito ili kujua dalili zote za hatari wakati wa ujauzito, tahadhari za kuchukua na mahali pa kwenda kupata msaada
> Kuwa makini zaidi na kemikali zote (Dawa, vipodozi, vyakula kutoka kiwandani, dawa za kuua wadudu). Pata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya na mara zote uliza kama hazitakudhuru au kumdhuru mtoto aliyepo tumboni
Fahamu zaidi - https://jamii.app/YaKuzingatiaUjauzito
#JFAfya

KIMBUNGA DORIAN CHATUA #BAHAMAS CHALETA UHARIBIFU MKUBWA
- Kimeharibu takribani nyumba 13,000 na miundombinu ya umeme huku maji yakizidi kuongezeka kina
- Hakuna idadi rasmi ya vifo iliyotolewa ila kifo kimoja kimeripotiwa
Soma https://jamii.app/HurricaneDorianBahamas
#JFLeo #HurricaneDorian

KILIMO: FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA TANGAWIZI
> Mdau wa JamiiForums anasema zao la tangawizi hupandwa kwa kutumia vipande vya tunguu(mizizi) na nafasi inayotumika kupanda ni Sm 23-30 kwa 15-23 na kina Sm 5-10 katika matuta
> Wiki 1-2 kabla ya kupanda weka mbolea na tandaza nyasi shambani kuhifadhi unyevunyevu
> Tangawizi huweza kuwa tayari kwa kuvunwa kati ya miezi 9-10 baada ya kupanda, majani yake yanapogeuka kuwa njano
Fahamu zaidi - https://jamii.app/KilimoTangawizi
#JFKilimo

RAIS MAGUFULI AMTEUA MKURUGENZI MKUU WA TEMDO
- Amemteua Prof. Fredrick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania(TEMDO)
- Awali, Prof. Kahimba alikuwa Naibu Makamu Mkuu (Utawala wa Fedha) wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA)
Zaidi, soma https://jamii.app/MkurugenziMkuuTEMDO

MAWAKALA SHIRIKA LA NDEGE WAHUKUMIWA KWA KULISABABISHIA SHIRIKA HASARA
> Mahakama ya Kisutu, imewahukumu mawakala 12 wa Shirika la Ndege Tanzania kulipa faini ya Tsh. Millioni 1 kila mmoja au kwenda jela miaka 20 kwa kulisababishia Shirika hilo hasara ya zaidi ya Tsh. Milioni 10
> Pia, Mahakama imeamuru zana ambazo walizitumia ambazo ni simu 13 na Laptop 6 zitaifishwe
Soma - https://jamii.app/JelaWakalaATCL

VIKAO VYA BUNGE VYAANZA LEO. MTATURU AAPISHWA KUONGOZA SINGIDA MASHARIKI
> Mkutano wa 16 wa Bunge la Tanzania umeanza leo, Septemba 3 jijini Dodoma ambapo Miraji Mtaturu (CCM) ameapishwa kuwa Mbunge wa Singida Mashariki
> Wabunge wa Upinzani waligoma kuingia kwenye ukumbi wa Bunge kushuhudia tukio hilo la uapisho wa Mtatutu
> Aidha, kutakuwa na azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa SADC
Soma - https://jamii.app/BungeKiapoMtaturu

AFRIKA KUSINI: WATU 41 WAKAMATWA KWA KUPORA NA KUCHOMA MOTO MADUKA YA WAGENI
- Ghasia zilianza katika eneo la Jeppestown lenye shughuli nyingi za biashara
- Zilisambaa katika maeneo ya Denver, Malvern, Turffontein na Tembisa huko Johannesburg
Zaidi, soma https://jamii.app/UporajiUchomajiMadukaWageni-SA

CARLIFONIA: MELI YATEKETEA KWA MOTO, WATU TAKRIBAN 10 WAPOTEZA MAISHA
> Meli iliyokuwa imebeba watalii 39 imeteketea kwa moto katika Bahari kwenye pwani ya California, Marekani jana asubuhi
> Watu wengine 26 hawajulikani waliko
Soma zaidi https://jamii.app/AjaliMotoMeli

LINDI: AMSHAMBULIA MPENZI WA ZAMANI BAADA YA KUMKUTA AKIPANGA MIPANGO YA NDOA
- Abdallah Shaibu Nyuki (30) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara kwenda jela miaka 8
- Aliwashambulia Hashimu Mnocho na Zakia Kindumba (Mpenzi wa zamani)
Soma https://jamii.app/AmjeruhiMpenziwaZamani-LND