Ungependa Mwanao afanye Kazi/Shughuli unazozifanya kwa sasa, au unatamani iwe tofauti?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MtotoKaziKamaYako
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFStories #JFChitChats #Maisha

❤1
Mabaraza yote ya Madiwani Nchini yanavunjwa rasmi leo Juni 20, 2025 ikiwa ni Siku Saba kabla ya Bunge kuvunjwa (Juni 27, 2025) kuelekea Uchaguzi Mkuu ambapo shughuli zote za Kamati za Halmashauri zitasitishwa hadi Uchaguzi mpya wa Madiwani utakapofanyika
Katika kipindi cha mpito, Majukumu yote ya Halmashauri yatasimamiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri akisaidiwa na Wakuu wa Idara kama Wajumbe wa Kamati
Mkurugenzi hataruhusiwa kuanzisha Miradi au Uwekezaji mpya, wala kufanya mabadiliko katika uamuzi au Miradi iliyopitishwa kabla ya kuvunjwa kwa Baraza, pia, atatakiwa kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa vikao vya Menejimenti vilivyofanyika katika kipindi cha mpito kwenye kikao cha kwanza cha Baraza jipya la Madiwani.
Soma https://jamii.app/UkomoMadiwani2025
#JamiiForums #Governance #JamiiAfrica #Democracy #UchaguziMkuu2025 #KuelekeaUchaguzi2025

❤3
Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums.com kwa nyakati tofauti (Mwaka 2009 - 2025) wamependekeza kuwe na ukomo kwa nafasi za Wabunge na Udiwani
Mfano, Juni 2021, Mdau alisema “Ili tupate Maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha, kuna Watu wamekuwa 'Monopoly' wa majimbo yao Miaka nenda rudi.”
Septemba 2018, Mdau akasema “Ubunge na Udiwani uwe vipindi Viwili kama Urais, wakikaa muda mrefu wanakosa ari ya kuwaletea maendeleo Wananchi.”
Una maoni gani kuhusu Mapendekezo haya?
Mjadala https://jamii.app/UkomoWaUbunge
#JamiiForums #Kuelekea2025 #Democracy #JamiiAfrica #UchaguziMkuu2025

❤2
DAR: Kupitia Ukurasa wa X wa Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa Chama cha ACT - Wazalendo, Shangwe Ayo, amesema Polisi wamefika katika Ofisi za Chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe, kwa agizo la Afisa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO)
Soma https://jamii.app/PolisiACTWazalendoJaneth
#JamiiForums #Governance #JamiiAfrica

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akizungumza #Bungeni leo, Juni 20, 2025 amesema wanaoendela kutukana waachwe waendelee kutukana
Soma https://jamii.app/ZunguWatukane
#JamiiForums #JamiiAfrica #Governance
Soma https://jamii.app/ZunguWatukane
#JamiiForums #JamiiAfrica #Governance
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa taarifa ya wito wa kufanyika kwa Sala na mfungo wa kuombea Haki na Amani nchini Agosti 23, 2025 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025
Taarifa iliyotolewa na Baraza hilo leo Juni 20, 2025, imesema kuwa kila Jimbo, Parokia, Jumuiya za Kitawa na Taasisi wataweka utaratibu utakaowawezesha kusali na kutubu kwa masaa 12 au 24 kulingana na uwezo wa Mazingira
Soma https://jamii.app/SalaKatolikiTZ
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KuelekeaUchaguzi2025