ENGLAND: Hatimaye Mshambuliaji, #MohamedSalah amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 (Tsh. Bilioni 1.2) kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao ulitarajiwa kumalizika Juni 2025
Baada ya kusaini amesema “Nimefurahi, tuna timu nzuri, tuna nafasi ya kushinda mataji mengine, nimecheza hapa kwa Miaka Nane, naamini nitatimiza Miaka 10.”
Salah (31) amefunga Magoli 243 katika mechi 394 alizoichezea Liverpool, msimu huu katika #PremierLeague amefunga Magoli 27 na Asisti 17
Soma https://jamii.app/SalahContract
#JFSports #JamiiForums

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Naibu Katibu Mkuu Bara – (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 akiwa Makao Makuu ya Chama Mikocheni amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka kuipindua Serikali wala kutishia maisha ya Rais
Soma https://jamii.app/CHADEMAAprili11
Video Credits: Ipanda Online TV
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimehoji ukimya wa Mamlaka za Serikali kuhusu kauli iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya #CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla aliyedai CHADEMA inachangisha fedha kwenda kununua Virusi vya Ebola na Mpox
Hoja hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA, Amani Golugwa leo, Aprili 11, 2025 alipozungumza na Wanahabari, akizitaka Mamlaka kuchukua hatua kwa kuwa kauli hiyo inaichafua Nchi katika Sekta mbalimbali
Soma https://jamii.app/CHADEMAAprili11
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Hoja hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA, Amani Golugwa leo, Aprili 11, 2025 alipozungumza na Wanahabari, akizitaka Mamlaka kuchukua hatua kwa kuwa kauli hiyo inaichafua Nchi katika Sekta mbalimbali
Soma https://jamii.app/CHADEMAAprili11
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuelewa lugha za Kisiasa zinazotumika kwa kuwa nyingine hazimaanishi vile zinavyotamkwa, amesema hayo leo Aprili 11, 2025 alipozungumza na Wanahabari
Soma https://jamii.app/CHADEMAAprili11
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Soma https://jamii.app/CHADEMAAprili11
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Hii ni moja ya 'comments' kwenye Mjadala uliopo JamiiForums.com ambao unasema Watanzania wengi wanaishi kwa mazoea kwa kuendelea kuwachekea Viongozi wanaolitia Taifa hasara bila kutambua kuna kundi la Wachache wanaotumia Nguvu ya wengi kujifaidisha
Nawe unaweza kushiriki Mjadala huu hapa https://jamii.app/WatzTuacheMazoea
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Democracy #KuraYakoSautiYako

👍2
Mdau wa JamiiForums.com anasema Katiba mpya, Tanzania mpya, Watu wenye mtazamo chanya, Mtazamo wa Haki, Utu na Uwajibikaji ni tamanio la kila Mtanzania na sio Upinzani peke yao
Unakubaliana naye?
Shiriki Mjadala huu zaidi https://jamii.app/WatzMabadiliko
#JamiiForums #UchaguziMkuu2025 #KuelekeaUchaguzi2025

❤2
Sheria zinapotungwa au kutumika kwa nia ya kukandamiza taarifa au kuogopesha Waandishi, zinaathiri #Haki ya raia kupata taarifa sahihi
Haki ya Kujieleza ni Haki ya msingi inayohitaji kulindwa na kuheshimiwa na kila Mtu, hasa kupitia Vyombo vya Habari
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia

DODOMA: Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema hatakuwepo katika kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niaba yake
Aidha, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche, ameandika "Chama chetu hakitashiriki kusaini maadili ya Tume isiyo na Maadili. Tume kupitia Watumishi wake inashiriki kuiba kura, wanawaengua Wagombea wetu kwa uongo, wanahujumu na kuzuia Mawakala wetu kuingia kwenye vituo"
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa na Serikali wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi leo Aprili 12, 2025, yatakayotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, huku ikielezwa Chama cha Siasa ambacho hakitasaini Maadili hayo hakitaruhusiwa kushiriki kwenye Uchaguzi
Soma https://jamii.app/MnyikaMaadiliUchaguzi
#Siasa #UchaguziMkuu2025 #Kuelekea2025 #JamiiForums

👍5
Hebu mpe mbinu Mdau huyu ili asipoteze Wateja kwasababu ya tabia ya kukopwa
Mjadala zaidi https://jamii.app/WatejaKukopa
#JamiiForums #JFStories #JFChitchats #Biashara #Uchumi

👍1
DODOMA: Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, amesema Vyama 18 vya Siasa vimeridhia na kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa Mwaka 2025
Zoezi hilo limefanyika leo Aprili 12, 2025 ambapo imeelezwa Vyama vya Siasa ambavyo havijasaini au vimekataa kusaini Kanuni hizo havitaruhusiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025
Soma https://jamii.app/VyamaMaadili18
#JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Demokrasia

Mdau wa JamiiForums.com anasema Upendo kwa Mazingira ni kielelezo cha Utu na ukitaka kujua Moyo wa Mtu, angalia anavyotendea Viumbe wasio na Sauti ya kujitetea
Unakubaliana na Mdau?
Soma https://jamii.app/UnyamaMitiWanyama
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji