JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
NJOMBE: MKUU WA WILAYA AWAOMBEA RUHUSA WATUMISHI ILI WASHIRIKI KUMPOKEA RAIS MAGUFULI

> Barua rasmi imewataarifu watumishi wote kuwa Rais Magufuli atawasili leo mchana

> Wananchi wametakiwa kumsubiri Rais barabarani ili wamlaki

Zaidi, soma > https://jamii.app/WatumishiNjombe
WANASAYANSI WAGUNDUA MTI MREFU DUNIANI

> Wanasayansi nchini Uingereza na Malaysia wanasema kuwa wamegundua mti mrefu zaidi duniani wenye urefu wa zaidi ya mita 100

> Mti huo wa kitropiki aina ya meranti ulipatikana katika msitu wa Borneo katika eneo la uhifadhi la Danum Valley huko Sabah na umepewa jina Menara linalomaanisha jumba refu

Soma https://jamii.app/WorldTallestTree
WAZIRI WA MAMBO YA NJE AWAHUTUBIA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI AKIWA DODOMA

> Prof. Kabudi amewahimiza Watanzania waishio nje ya nchi kukumbuka kuja kuwekeza Tanzania

> Awasisitiza kuitakia mema nchi yao na kuizungumza kwa wema

Soma > https://jamii.app/WatanzaniaSweden
JIFUNZE JINSI YA KUFANYA MANUNUZI MTANDAONI

> Tovuti za Manunuzi mtandaoni ni masoko ambapo wauzaji(Seller) na wanunuaji(Buyer) wanakutana bila kuonana ana kwa ana

> Katika zoezi la malipo ili kulinda pesa zako unatakiwa kutumia mfumo wa manunuzi salama kama Paypal unaokuwa kama mlinzi kati ya akaunti yako na ile ya muuzaji

Zaidi, tembelea - https://jamii.app/ManunuziMtandaoniEbay
#JFTeknolojia
NDEGE VITA YA JAPAN YATOWEKA KWENYE RADA IKIWA PACIFIC

> Ndege hiyo imeripotiwa kutoweka kwenye rada wakati ikiwa inatumika kwenye mafunzo katika anga la bahari ya Pacific

> Mawasiliano ya redio ya ndege hiyo pia yamekatika

Soma > https://jamii.app/JapaneseJet

#JFInternational
ALGERIA WACHAGUA RAIS WA MPITO. RAIA WATAKA MFUMO MPYA KISIASA

> Bunge limefanya uchaguzi wa Rais wa mpito na wabunge wote wamemchagua Spika Abdelkader Bensalah kuwa Rais wa mpito kufuatia kujiuzulu kwa Rais Abdelaziz Bouteflika(82)

Soma https://jamii.app/AlgeriaRaisMpito
#JFInternational
UGANDA: MJERUMANI AGEUZA KITUO CHA WATOTO YATIMA KUWA DANGURO

> Bernhard Bery Glaser amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda kwa tuhuma za kuwatumia kingono zaidi ya watoto 30 waliokuwa wakilelewa kwenye kituo alichokianzisha cha Ssese Humanitarian Services & Bery’s place

Soma - https://jamii.app/KituoYatimaDanguro
#JFInternational
AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI ZATAKIWA KUDHIBITI FEDHA HARAMU

> Kamishna Mkuu wa Udhibiti wa Fedha Haramu Tanzania, Onesmo Makombe amezitaka nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika kuhakikisha zinabuni mbinu mbadala kukabiliana na tatizo la fedha haramu linalozidi kushika kasi katika nchi hizo

Soma - https://jamii.app/FedhaHaramuEAC
#JFLeo
WATUHUMIWA 5 WA KUWEKA PICHA ZA NGONO WHATSAPP WAFIKISHWA MAHAKAMANI

> Washtakiwa ni William Kimaro, Oscar Mariselian, Don Godfrey, Feisal Mohammed, Abdulrahman Muhidin

> Wote kwa pamoja wamekana mashtaka na kuachiwa kwa dhamana

Soma https://jamii.app/NgonoWhatsApp

#JFLeo
UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KUFANYIKA MEI 19

> Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata za halmashauri 6 katika mikoa 6 ya Tanzania Bara

> Uchaguzi katika kata hizo, utafanyika sambamba na uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki

Soma - https://jamii.app/UchaguziMadiwani2019
#JFLeo
RAIS MAGUFULI: BAADHI YA WATENDAJI SERIKALINI WAMEKUWA VICHWA VIGUMU KAMA KAMONGO

> Wamekuwa wakimuona mwekezaji kama adui badala ya rafiki

> Wapo waliokuja kuwekeza lakini wakapigwa mikwara hadi wakaenda nchi jirani

Soma > https://jamii.app/WatendajiKamongo

#JFLeo
BUNGENI, DODOMA: SERIKALI KUWASILISHA RIPOTI YA CAG

> Ripoti hii inawasilishwa Bungeni huku kukiwa na vuguvugu la Bunge kutangaza azimio la kutofanya kazi na CAG, Prof. Assad

Zaidi, soma => https://jamii.app/RipotiCAGBungeni

#JFLeo
NIGERIA: WATU 21 WAUAWA KWENYE SHAMBULIZI LA RISASI

> Shambulizi hilo limefanywa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha katika jimbo la Kaduna, Kaskazini mwa nchi hiyo

> Watu 3 wamejeruhiwa, nyumba 10 zimechomwa moto na Ngo'mbe 50 wameibwa

Soma - https://jamii.app/21DeadKadunaAttack
#JFInternational
UCHAGUZI ISRAEL: 95% YA KURA ZAHESABIWA, CHAMA CHA NETANYAHU CHAONGOZA

> Chama cha Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu cha Likud kinaongoza kwa kupata viti vingi vya Wabunge

> Chama cha 'Blue and White’ kinachoongozwa na Benny Gantz kinafuata

Soma > https://jamii.app/IsraelElection
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI 2017/18

> Ripoti hii imesheheni mambo muhimu yanayohitajika kufahamika kwa Umma, Serikali, Bunge na Menejimenti za Mamlaka za Serikali za Mitaa

Kwa nakala za ripoti, fungua > https://jamii.app/RipotiCAG

#RipotiYaCAG2018
RIPOTI YA CAG YABAINISHA MATUKIO YA UDANGANYIFU WA SHILINGI MILIONI 321

> CAG amesema wakati wa ukaguzi, alibaini matukio matatu ya udanganyifu wa Shilingi 321,377,067 ambayo yanahitaji uchunguzi zaidi

Soma => https://jamii.app/RipotiCAG

#RipotiYaCAG2018
CAG: CHADEMA WALINUNUA GARI NA KULISAJILI KWA JINA LA MWANACHAMA

> Gari hilo lilinunuliwa kwa Tsh.147 lilipaswa kusajiliwa chini ya Bodi ya Wadhamini

> NEC ilinunua mashine za BVR 8,000 kati ya hizo 5,000 hazikukidhi vigezo

Soma > https://jamii.app/RipotiCAG

#RipotiYaCAG2018
UGANDA YAMTAKA RAIS TRUMP KUTOINGILIA MASUALA YA NCHI YAO

> Msemaji wa Serikali ya Uganda, Ofwno Opondo amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapaswa kutatua na kurekebisha matatizo ya Taifa lake badala ya kuingilia masuala ya nchi ya Uganda

> Trump aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa watu hawataona Uganda ni sehemu salama hadi pale watekaji nyara wa raia wa Marekani Kim Sue Endicott pamoja na Jean-Paul Mirenge raia wa Congo watakapokamatwa

Soma - https://jamii.app/TrumpSafetyUG
#JFInternational