KILIMANJARO: TAKUKURU YABAINI UFISADI WA BILIONI 1.5
> Ufisadi huo umefanyika katika mradi unaoendelea wa ujenzi wa majengo 6 ya Hospitali ya wilaya ya Siha
> Vifaa vilivyonunuliwa kwa ajili ya mradi viko chini ya kiwango
Soma > https://jamii.app/UfisadiSiha

MAREKANI: WAZIRI WA USALAMA WA NDANI AJIUZULU
> Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani, Kirstjen Nielsen (46), alijiuzulu Jumapili jioni baada ga mkutano aliofanya na Rais Donald Trump Ikulu mjini Washington DC
> Kamishna wa forodha na ulinzi wa mipakani, Kevin McAleenan, atakaimu nafasi iliyoachwa wazi na Nielsen
Soma - https://jamii.app/KujiuzuluWaziriUsalama

RPC DODOMA: ATAKAYEANDAMANA KESHO ATAPIGWA MPAKA ATACHAKAA
> Kamanda Muroto ametoa kauli hiyo baada ya vijana wa ACT-Wazalendo kutangaza maandamano ya kulishinikiza Bunge kufuta azimio lake la kutofanya kazi na CAG, Profesa Assad
Zaidi, soma => https://jamii.app/RPCDodomaVsACT

BABA MBARONI KWA KUMBAKA MTOTO WAKE
> Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mkazi wa Kata ya Nyankumbu, Selemani Mathis (35), kwa tuhuma za kumbaka binti yake (4)
> Mtoto huyo alikuwa akiishi na baba yake baada ya wazazi wake kutengana
Soma - https://jamii.app/BabaUbakajiMtoto

UZALISHAJI MIFUKO YA PLASTIKI KUSITISHWA JULAI 2019
> Serikali imesema iwapo watakubaliana na taasisi mbalimbali wanazotarajia kukutana nazo wiki hii wanaweza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Julai mwaka huu
> Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 8 Bungeni, na Waziri January Makamba wakati akijibu swali la Mbunge Magdalena Sakaya
Soma - https://jamii.app/ZuioMifukoPlastiki

LUSINDE: 2020 TUFANYE UCHAGUZI WA MADIWANI NA WABUNGE, RAIS AENDELEE
> Mbunge wa Jimbo la Mtera(CCM), Livingstone Lusinde amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza gharama kubwa ambazo taifa itazitumia katika uchaguzi huo
Soma > https://jamii.app/KauliLusinde

POLISI WAUA WATU 5 WANAODHANIWA KUWA MAJAMBAZI
> Watu 5 wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi Wilayani Korogwe mkoani Tanga walipofanya jaribio la uporaji kwenye mashamba ya Mkonge
Soma https://jamii.app/PolisiMajambaziKorogwe

MACHAKOS, KENYA: WATUHUMIWA WATATU WA UTEKAJI WA AFISA WA UMOJA WA MATAIFA WAUAWA
> Walikutwa ktk barabara ya Kitui wakijifanya maafisa wa usalama barabarani na kusimamisha magari ndipo walipowekwa chini ya ulinzi na Askari Polisi
Soma > https://jamii.app/WatekajiKenya

MABOMU YARINDIMA SUDAN, ASKARI WA JESHI WATOA HIFADHI KWA RAIA
> Askari wa Jeshi la Sudan wamechukua hatua ya kuwalinda waandamanaji mjini Khartoum baada ya vikosi vya usalama kufyatua mabomu ya gesi ya kutoa machozi ili kuwatawanya
> Wanajeshi hao waliyafukuza magari yaliyokuwa yakifyatua mabomu
Soma - https://jamii.app/SudanCrisis

AFRIKA KUSINI: ALIYEIGIZA TUKIO LA KUFUFULIWA AFARIKI
> Ni Brighton Moyo, aliyepata umaarufu baada ya kuonekana ktk tukio la kufufuliwa na Mchungaji Lukau
> Yaelezwa alikuwa akiishi na VVU. Aidha, Figo na mapafu pia vilishindwa kufanya kazi
Soma https://jamii.app/AliyefufuliwaAfariki

KERO 11 KATI YA 15 KUHUSU MUUNGANO ZIMETATULIWA
> Serikali imeeleza kwamba, changamoto na kero za muungano ambazo zimetatuliwa mpaka sasa ni 11 kati ya 15 zilizowasilishwa
> Changamoto nne zilizobaki zinaendelea kutafutiwa ufumbuzi na hakuna changamoto iliyoshindikana kupatiwa ufumbuzi
Soma - https://jamii.app/UtatuziKeroMuungano

ZIJUE TOFAUTI KATI YA 2G, 3G, 4G NA 5G
> G kwenye tarakimu hizi inawakilisha Generation, yaani kizazi fulani cha teknolojia ya mawasiliano kwa kuangazia zaidi uwezo wa simu
> Kumekuwa na mabadiliko ya teknolojia kuanzia 1G mpaka 5G
Soma > https://jamii.app/TeknolojiaSimu
#JFTeknolojia

UTASA WAPELEKEA AIBE MTOTO WA MIEZI 6
> Jeshi la Polisi Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga linamshikilia mkazi wa Matejoo Mkoani Arusha, Teddy Stephano (26), ambaye anatuhumiwa kuiba mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi sita
Soma - https://jamii.app/MbaroniWiziMtoto

WAZUNGU WALIOCHUKULIWA MASHAMBA YAO KULIPWA
> Serikali ya Zimbabwe hivi karibuni itawalipa malipo ya awali waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi
> Tathmini inafanyika ili kujua kiasi cha fidia itakayolipwa
Soma https://jamii.app/FidiaWazunguArdhi

MTANDAO WA TWITTER WAPUNGUZA IDADI YA AKAUNTI UNAZOWEZA KUZIFUATA KWA SIKU
> Idadi imepunguzwa kutoka akaunti 1,000 hadi 400
> Wamebaini kuna akaunti zinazoendeshwa na roboti na kufuata watu wengi kwa lengo la kutangaza biashara
Soma => https://jamii.app/TwitterVsBots

WAZAZI WAJIUA BAADA YA KUUGUZA MTOTO WAO KWA MUDA MREFU
> Wanandoa, Amina Juma na Kanuno Tano wakazi wa Mkoani Tabora wamefanya uamuzi wa kujiua baada ya kumuuguza mtoto wao, Chiku Kudona (miezi tisa) ambaye amekuwa akiugua kwa muda mrefu na kichwa chake kuongezeka ukubwa
> Amina alikatisha uhai wake kwa kunywa vidonge na mumewe alijiua kwa kujinyonga
Soma - https://jamii.app/WazaziKifoMtoto

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA WILAYA YA NYASA, RUKWA
> Aliyetenguliwa ni Dkt. Oscar Albano Mbyuzi
> Wakati huo huo, Jimson Mhagama ameteuliwa kuchukua nafasi yake
Zaidi, soma => https://jamii.app/MkurugenziNyasa

SERIKALI: HATUWEZI KUWAINGILIA POLISI, WANANCHI WAFUATE SHERIA
> Waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo amesema vyombo vya dola vinaendeshwa kwa kanuni na sheria zake, hivyo Serikali haiwezi kuviingilia na kuwataka wananchi kufuata sheria ili kuepuka migogoro
> Alikuwa akijibu swali la Devotha Minja, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), kuhusu kauli ya RPC kwa wananchi kwamba wakiandamana wanapigwa hadi wachakazwe
Soma - https://jamii.app/SerikaliVitishoPolisi

CANADA: MAUAJI YA RWANDA KUADHIMISHWA KIMATAIFA
> Wabunge wapitisha hoja ya kuitambua tarehe 7 Aprili kama siku ya kimataifa ya kukumbuka mauaji ya kimbari nchini Rwanda
> Mauaji hayo yalitokea Aprili 7 mpaka Julai mwaka 1994
Zaidi, soma => https://jamii.app/RwandaGenocideCA