JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.46K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
BIASHARA YA HOSTELI, FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE

> Ni biashara ambayo ili kuifanyia kazi haraka itategemea na wingi wa wanachuo katika chuo unachokilenga katika biashara yako

> Usafi na ubora ni muhimu kuzingatia hasa Huduma za maji na choo, gharama isiwe kubwa sana, na umeme usiwe wa kusumbua

> Changamoto zake ni kama nyumba ya kupanga na pale ambapo unawekeza pesa nyingi halafu chuo kinakuja kujenga hosteli zake

Soma - https://jamii.app/BiasharaHosteli
#JFBiashara
IRAN YAITUHUMU MAREKANI KUTAKA SERIKALI YAKE

> Rais wa Iran, Hassan Rouhani ameituhumu Marekani kwa kupanga njama ya kutumia shinikizo la kiuchumi kuipindua Serikali hiyo

> Amesema Iran haiko katika vita vya kiuchumi na Marekani

Soma - https://jamii.app/USVsIranGovern
#JFInternational
ELIMU YA URAIA: JE, POLISI ANAHAKI YA KUKUPIGA UWAPO KIZUIZINI?

> Hana haki ya kukupiga au kukutisha. Kufanya hivyo ni kinyume cha sheria, na taratibu za Askari Polisi

> Una haki ya kumzuia Polisi kukupiga kama kuna uwezekano

Soma > https://jamii.app/Mambo101Polisi

#JFCivicSpace
BAADA YA RAIS MAGUFULI KUHOJI SAKATA LA MO DEWJI, MAMBOSASA ATOA MAJIBU

> Kamanda wa Polisi Dar, Lazaro Mambosasa amesema yeye alishamaliza kazi yake

> DCI anatakiwa kutoa taarifa za uchunguzi zilizowasilishwa kwake.

Zaidi, soma => https://jamii.app/MambosasaAjibu

#JFLeo
UGANDA: AJUZA WA MIAKA 80 AJIUNGA NA DARASA LA KWANZA

> Mzee huyo wa miaka 80 amesema lengo lake ni kusomea Ualimu

> Amesema ndugu zake wengi wamemtenga hivyo ameazimia kusoma hadi atakapohitimu Chuo Kikuu cha Makelele

Soma > https://jamii.app/80YrsStudentUganda

#JFInternational
KAGAME KUWA NA ZIARA YA SIKU 2 NCHINI

> Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais Paul Kagame wa Rwanda anatarajiwa kuwasili nchini leo Alhamisi kwa ziara ya kikazi

> Ziara hiyo inafanyika kufuatia mwaliko wa Rais Dkt. John Magufuli

Soma - https://jamii.app/KagameVisitsTZ
#JFLeo
INDONESIA: VIFO KWENYE MAPOROMOKO YA MIGODI VYAONGEZEKA

> Idadi ya vifo kufuatia ajali iliyotokea katika machimbo ya migodi Kaskazini mwa Indonesia imeongezeka na kufikia watu 16

> Watu 18 wameokolewa wakiwa na majeraha makubwa

Soma - https://jamii.app/GoldminesTragedy
#JFInternational
KAMATI ZA BUNGE KUANZA VIKAO MACHI 11

> Wabunge watapokea Wasilisho la Mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti 2019/2020

> Pia zitafanya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo iliyotengewa fedha ktk Bajeti ya 2018/2019

Soma - https://jamii.app/VikaoKamatiBunge
#JFLeo
KISUTU: MKURUGENZI WA M HOLDINGS GROUP INAYOMILIKI BANK M AFIKISHWA MAHAKAMANI

> Sanjeev Kumar amefikishwa mbele ya Hakimu Huruma Shaidi na kusomewa mashtaka 29 yakiwemo 12 ya utakatishaji wa fedha

> Akosa dhamana na kupelekwa mahabusu

Soma > https://jamii.app/SanjeevKumarKisutu

#JFLeo
WABUNGE PETER LIJUALIKALI NA SUSAN KIWANGA WAACHIWA KWA DHAMANA

> Uamuzi huo umetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro

> Mahakama imewapa dhamana baada ya kutupilia mbali maombi ya Jamhuri ya kupinga dhamana yao

Soma => https://jamii.app/KiwangaLijualikaliDhamana

#JFLeo
HUAWEI YAPANGA KUFUNGUA KESI DHIDI YA MAREKANI

> Kampuni ya simu ya Huawei ya nchini China itaifungulia kesi Serikali ya Marekani, baada ya kuzuia mashirika yake ya umma kutumia vifaa vyake kwa madai kuwa ni hatari kwa usalama wao

Soma - https://jamii.app/HuaweiCourtUS
#JFInternational
VENEZUELA YAMFUKUZA BALOZI WA UJERUMANI

> Venezuela imemfukuza nchini mwake balozi wa Ujerumani Daniel Kriener, huku ikimpa
saa 48 za kuondoka nchini humo kwa madai ya kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela

Soma - https://jamii.app/BaloziAfukuzwaVenezuela
#JFInternational
KIGOMA NA KAGERA WAONGOZA KWA KUCHAFUA NOTI

> Wakazi wa mikoa hiyo wametajwa kuwa viongozi wa kuchafua noti kuliko mikoa yote nchini

> Kufuatia hali hiyo Benki Kuu imeandaa utaratibu wa kuwafundisha watu jinsi ya kutunza fedha

Soma => https://jamii.app/KigomaKageraKichafuaNoti

#JFLeo
MWILI WA EPHRAIM KIBONDE KUZIKWA JUMAMOSI

> Mwili wa marehemu utawasili leo usiku ktk Uwanja wa ndege wa kimataifa (JKNIA) na utapelekwa Hospitali ya Jeshi, Lugalo

> Taratibu za mazishi zitafanyika nyumbani kwake Mbezi na Jumamosi ataagwa na kuzikwa

#JFLeo #RIPKibonde
JESHI LA POLISI LAUA MAJAMBAZI WATANO DAR ES SALAAM

> Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaua majambazi watano na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wengine wanne, silaha 4 na risasi 59 katika matukio matatu tofauti

Soma - https://jamii.app/MajambaziWauliwaDar
#JFLeo
IMANI: TULITUMIA MBINU HIZI KUJIKINGA NA WACHAWI

> Wapo wanaodai walikuwa wakichukua mkaa uliokolea moto na kuuweka kwenye maji na ukishazima wanauweka chini ya mto wa kulalia

Kwa mjadala zaidi, soma => https://jamii.app/KujikingaWachawi

#JFMaisha
KILI MARATHONI WATAKIWA KULIPA KODI YA MILIONI 536

> Mashindano hayo yalihusisha wakimbiaji zaidi ya 10,000 kutoka mataifa mbalimbali duniani

> TRA Kilimanjaro tayari imewapelekea waandaaji hao ilani ya kuwataka kulipa malimbikizo ya kodi

Soma > https://jamii.app/KodiKiliMarathoni

#JFLeo
LEO NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

> Siku hii hutumika kumsheherekea na kumuenzi Mwanamke na nafasi yake katika jamii na maisha yake ya kila siku

> Kauli mbiu ya mwaka huu imelenga kuhimiza umuhimu wa haki sawa katika jamii

Soma > https://jamii.app/IntlWomensDay

#BalanceForBetter