JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.46K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
LEO NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

> Siku hii hutumika kumsheherekea na kumuenzi Mwanamke na nafasi yake katika jamii na maisha yake ya kila siku

> Kauli mbiu ya mwaka huu imelenga kuhimiza umuhimu wa haki sawa katika jamii

Soma > https://jamii.app/IntlWomensDay

#BalanceForBetter
MPANDA & GEITA: JESHI LA POLISI LAZUIA MAADHIMISHO YA WANAWAKE WA ACT NA CHADEMA

> Wametakiwa kuungana na Wanawake wengine katika maadhimisho ya kiserikali

> Imeelezwa kuwa hatua hiyo itazuia matangazo yenye mlengo wa kisiasa

Soma > https://jamii.app/WanawakeACTCDM

#BalanceForBetter
HIZI NDIO NGUVU 7 ALIZONAZO MWANAMKE

> Kuona ya mbeleni, Nguvu katika kinywa chake, Uwezo wa kuendeleza uumbaji, Nguvu ya ushawishi, Kustahimili na kubeba mazito, Uwezo wa kujadili bei na Uwezo wa kuwaathiri watoto kitabia

Soma > https://jamii.app/NguvuMwanamke

#BalanceForBetter
CHANGAMOTO ZA MWANAMKE WA KITANZANIA KATIKA UJASIRIAMALI

> Ikiwa ni siku ya Wanawake Duniani, ndani ya JamiiForums zimechambuliwa baadhi ya sababu zinazomfanya mjasiriamali wa kike asifanikiwe

Kwa mjadala, fungua > https://jamii.app/MwanamkeUjasiriamaliChangamoto

#BalanceforBetter