NIGERIA: Polisi wamewaokoa Watoto 26, Vijana 8 na Watu wazima 43 kutoka Kanisa la Bible Believers, walimokuwa wamefungiwa kusubiri Ujio wa Kristo, kama Mchungaji wao alivyoahidi
> Baadhi yao wanaaminika kuwa huko tokea mwezi Aprili
Soma - https://jamii.app/WauminiNigeria
> Baadhi yao wanaaminika kuwa huko tokea mwezi Aprili
Soma - https://jamii.app/WauminiNigeria
😁20🤯4👍2👎1
MSUMBIJI: Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa nchi hiyo zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha Watoto zaidi ya 30,000 kukimbia makazi yao ndani ya mwezi Juni, 2022
> Mashambulizi mengi yalitokea Jimbo la Cabo Delgado
Soma - https://jamii.app/WatotoMsumbiji
> Mashambulizi mengi yalitokea Jimbo la Cabo Delgado
Soma - https://jamii.app/WatotoMsumbiji
👎8👍3
HAJI MANARA AFUNGULIWA MASHTAKA TFF
Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya Kamati ya Maadili dhidi ya Haji Manara kutokana na ukiukwaji wa maadili
Manara alionekana akizozana na Rais wa TFF, Wallace Karia Julai 2, 2022
Soma > https://jamii.app/ManaraKaria

👍11👎8👏1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
UCHAGUZI KENYA: Rais Uhuru Kenyatta amesema Naibu wake, William Ruto kama ameshindwa kufanya kazi akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi anapoomba nafasi ya Urais
> Uhuru ameongeza kuwa Ruto hafanyi kazi, anapiga mdomo tu
Soma - https://jamii.app/KenyattaRutoMdomo
> Uhuru ameongeza kuwa Ruto hafanyi kazi, anapiga mdomo tu
Soma - https://jamii.app/KenyattaRutoMdomo
👍20👏5
MDAU: DUNIA INAOGOPESHA UKIISHI MAISHA YA WENGINE
Anasema dunia imekuwa uwanja wa vita kwasababu watu hutafuta kwa ajili ya watu wengine
Anashauri kama utatafuta pesa, zitafute kwa ajili yako na sio ili uwe kama fulani. Anasema Heshima ya mtu haijengwi kwa kuwapendeza wengine
Msome - https://jamii.app/MdauMaisha2

👍19
DODOMA: Watu saba wanahofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari ndogo kugonga na mkokoteni uliokuwa unavutwa na ng’ombe Kijiji cha Lugala-Chamwino leo Jumapili Julai 3, 2022
Soma - https://jamii.app/GariMkokoteni
#JamiiForums
Soma - https://jamii.app/GariMkokoteni
#JamiiForums
👍6👎4😢4
UCHAGUZI KENYA: Raila Odinga amemwambia Naibu Rais, William Ruto kuwa yeye haitaji nguvu ya Rais Uhuru Kenyatta kushinda nafasi ya Urais
Amesema hivyo baada ya Ruto kumwambia Kenyatta amuache Raila apambane mwenyewe wakati wa kampeni
Soma - https://jamii.app/KenyaElection
Amesema hivyo baada ya Ruto kumwambia Kenyatta amuache Raila apambane mwenyewe wakati wa kampeni
Soma - https://jamii.app/KenyaElection
👍12😁9
IRAMBA, SINGIDA: Askari wa Kituo cha Polisi Misigiri wanadaiwa kukataa kuchunguza tukio la Stella Jingu (38) kupotea la mwaka 2020 wakitaka wapewe Tsh. 45,000 na ndugu wa Mwanamke huyo
> Mkuu wa Mkoa wa Singida ameagiza Uchunguzi wa madai hayo
Soma - https://jamii.app/PolisiSingida
> Mkuu wa Mkoa wa Singida ameagiza Uchunguzi wa madai hayo
Soma - https://jamii.app/PolisiSingida
👎14😁3👍2🥰2
KOREA KASKAZINI: Mkataba wa Ushirikiano wa Kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini una lengo la kuiongezea nguvu Marekani dhidi ya wapinzani wake
> Nchi hiyo imesema Umoja huo ni kama NATO ya Barani Asia
Soma - https://jamii.app/KoreaUS
> Nchi hiyo imesema Umoja huo ni kama NATO ya Barani Asia
Soma - https://jamii.app/KoreaUS
👍12👎4
ECOWAS imeondoa Vikwazo vya Kiuchumi dhidi ya Mali baada ya Watawala wa Kijeshi kupendekeza miezi 24 ya mabadiliko ya Demokrasia na Sheria ya Uchaguzi
> Nchi hiyo itaendelea kusitishiwa Uanachama wa ECOWAS hadi kurejeshwa kwa Utawala wa Kikatiba
Soma - https://jamii.app/MaliSanctions
> Nchi hiyo itaendelea kusitishiwa Uanachama wa ECOWAS hadi kurejeshwa kwa Utawala wa Kikatiba
Soma - https://jamii.app/MaliSanctions
👍10
UKRAINE: Jeshi limethibitisha kuondoka katika Mji wa #Lysychansk unaoripotiwa kuwa mikononi mwa Wanajeshi wa Urusi
Rais Volodymyr Zelensky amesema Vikosi vya #Ukraine vitarejea, na silaha za masafa marefu zitawawezesha kudhibiti eneo hilo
Soma - https://jamii.app/VikosiUrusi
Rais Volodymyr Zelensky amesema Vikosi vya #Ukraine vitarejea, na silaha za masafa marefu zitawawezesha kudhibiti eneo hilo
Soma - https://jamii.app/VikosiUrusi
👍12😁5
RAIS SAMIA: SHERIA ZA 'PPP' NA MANUNUZI ZIANGALIWE
Amemuelekeza Mwanasheria Mkuu kuziangalia upya akisema, "Hizo Sheria kazitazameni, badala ya kutupeleka mbele zinaturudisha nyuma"
Amehoji, "Sheria tumezitunga wenyewe kwanini tunakuwa watumwa?"
Soma - https://jamii.app/RaisIkuluDar

👍12
RAIS SAMIA: NIKIENDA NJE NAENDA KUTAFUTA FEDHA. MKOANI NAJENGA SIASA YA NDANI
Akiwa Ikulu - Dar, Rais Samia Suluhu amesema ni rahisi kwa wale wenye akili za kawaida kulaumu "Rais anasafiri tu, hakai na badala ya kutembelea Mikoa anatembelea Nje"
Soma > https://jamii.app/RaisIkuluDar

👍16🤮7👎5😱1
RAIS SAMIA: Wale tuliowakabidhi uendeshaji wa Bandari wafanye kazi kwa kasi mno, kwani siridhishwi kabisa na kazi za Bandari, Siasa na longolongo zilizopo
> Bandari ya Dar es Salaam ikifanya kazi vizuri nusu ya Bajeti itatokana na bandari hiyo
Soma - https://jamii.app/RaisIkuluDar
> Bandari ya Dar es Salaam ikifanya kazi vizuri nusu ya Bajeti itatokana na bandari hiyo
Soma - https://jamii.app/RaisIkuluDar
👍2
RAIS SAMIA: MWANZA, TABORA KUWA VITOVU VYA BIASHARA
Rais amesema Lengo ni kuifanya Dar es Salaam kuwa Kitovu Kikuu cha Biashara Afrika, baada ya hapo Mwanza itafuata katika Kanda ya Ziwa Victoria, pia Tabora kuna Reli, Bomba la Mafuta na Barabara
Soma - https://jamii.app/RaisIkuluDar
Rais amesema Lengo ni kuifanya Dar es Salaam kuwa Kitovu Kikuu cha Biashara Afrika, baada ya hapo Mwanza itafuata katika Kanda ya Ziwa Victoria, pia Tabora kuna Reli, Bomba la Mafuta na Barabara
Soma - https://jamii.app/RaisIkuluDar
🤔10👍4
DKT. MWINYI (RAIS WA ZANZIBAR): Serikali imeamua kukodisha Visiwa vidogo 52 na mpaka sasa tayari Visiwa 10 vimeshapata Wawekezaji
> Asema tumewekeza kwa kuangalia Uwezo wa Mwekezaji, Kiasi atakachotanguliza kwa Serikali na mtaji alionao
Soma - https://jamii.app/ZanzibarKukodishaVisiwa
> Asema tumewekeza kwa kuangalia Uwezo wa Mwekezaji, Kiasi atakachotanguliza kwa Serikali na mtaji alionao
Soma - https://jamii.app/ZanzibarKukodishaVisiwa
👍14🤔2
MAN. CITY YAZIDI KUJIDHATITI, YAMSAJILI KALVIN PHILLIPS
Imemsajili Kiungo Phillips (26) kutoka Leeds Utd kwa £45m (Tsh. 126,900,000,000) kwa mkataba wa miaka 6
Mchezaji huyo ni wa 3 kuwasili Etihad ktk Dirisha hili la Usajili baada ya Erling Haaland na Stefan Ortega
#JFSports

👍13
UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU TPA WATENGULIWA
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Eric Hamissi
Nafasi yake inachukuliwa na Plasduce Mkeli Mbossa ambaye awali alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu
Soma - https://jamii.app/UtenguziTPA

👍5🥰3😁1
DAR: Mama wa Pacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa Hospitali ya Muhimbili, Amina Amos (17) amesema Watoto wanaendelea vizuri
> Ameongeza kuwa aliambiwa amezaa laana, ameleta mkosi kwenye Jamii. Baba Watoto naye aliwatelekeza
Soma- https://jamii.app/MamaWaPacha
> Ameongeza kuwa aliambiwa amezaa laana, ameleta mkosi kwenye Jamii. Baba Watoto naye aliwatelekeza
Soma- https://jamii.app/MamaWaPacha
👍13❤1🔥1