AFGHANISTAN: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1 kwa kipimo cha Richa, limetikisa maeneo ya Mashariki mwa Nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130
> Mamlaka za Kudhibiti Majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Soma - https://jamii.app/TetemekoAfghanistan
> Mamlaka za Kudhibiti Majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Soma - https://jamii.app/TetemekoAfghanistan
👍6😢6👎1
#UKRAINE: Maafisa wawili wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamekamatwa
Kwa mujibu wa Idara ya Usalama, Urusi iliwalipa kati ya Dola 2,000 - 15,000 kwa kila kazi (Takriban Tsh. 4,665,314 - 34,989,045) kulingana na umuhimu wa taarifa
Soma - https://jamii.app/UkrTaarifaUrusi

👍8👏1😁1
MALAWI: Rais Lazarus Chakwera amemvua Mamlaka Makamu wake, Saulos Chilima baada ya kutajwa ktk kashfa ya ufisadi wa takriban Tsh. 349,499,992,650 uliohusiana na Kandarasi 16 za Serikali
> Chilima hajaongea chochote kuhusiana na tuhuma hizo
Soma - https://jamii.app/MakamuAvuliwaMalawi
> Chilima hajaongea chochote kuhusiana na tuhuma hizo
Soma - https://jamii.app/MakamuAvuliwaMalawi
👍13
SAFARI YA LUKAKU KUREJEA INTER MILAN YAIVA
Chelsea na Inter zimekubaliana juu ya uhamisho wa mkopo wa mshambuliaji Romelu Lukaku kurejea San Siro
Inter italipa ada ya Paundi Milioni 6.9 (Tsh. 19,596,000,000) kwa ajili ya Lukaku aliyesajiliwa na Chelsea msimu uliopita
#JFSports

👍8👏1
RIPOTI: Idadi ya Watoto wanaohitaji msaada katika Elimu Duniani imeongezeka kutoka Milioni 75 iliyokadiriwa mwaka 2016 kufikia Milioni 222. Kati yao, Milioni 78.2 hawapo Shuleni kabisa
85% ya Watoto hao wanatokea Nchi zenye migogoro ya muda mrefu
Soma - https://jamii.app/WatotoElimu
85% ya Watoto hao wanatokea Nchi zenye migogoro ya muda mrefu
Soma - https://jamii.app/WatotoElimu
👍2
KENYA: RAIS AGOMEA MUSWADA WA TEHAMA, AURUDISHA BUNGENI
Wadau waliulalamikia kuwa unalenga kuua ubunifu na kuzuia baadhi ya wataalamu kufanya kazi
Pamoja na mambo mengine, uliwataka wabunifu kuwa na Leseni, Elimu ya Chuo Kikuu n.k
Soma https://jamii.app/ICTBillKE
#DigitalRights

👍18👏1
UPDATE: Tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.1 kwa kipimo cha Richa, lilitikisa maeneo ya Mashariki ya Nchi ya Afghanistan na hadi sasa limesababisha vifo 920 na majeruhi takriban 600
> Mamlaka zimeonya idadi ya vifo inaweza kuongezeka zaidi
Soma - https://jamii.app/TetemekoAfghanistan
> Mamlaka zimeonya idadi ya vifo inaweza kuongezeka zaidi
Soma - https://jamii.app/TetemekoAfghanistan
😢10👍7
TABORA: Treni iliyokuwa na abiria 930 ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam imepata ajali Saa 5:00 Asubuhi eneo la Malolo, leo Juni 22, 2022 na kusababisha vifo vya Watu wanne
> Majeruhi ni 132 na wamepelekwa Hospitali ya Kitete
Soma - https://jamii.app/TreniYaanguka
> Majeruhi ni 132 na wamepelekwa Hospitali ya Kitete
Soma - https://jamii.app/TreniYaanguka
😢21👍3
Mdau ndani ya JamiiForums.com anashauri Vijana wanaotafuta kazi baada ya kuhitimu Chuo:
- Kuwa waadilifu, kutambua hitaji la Jamii inayowazunguka
- Kupata Ushauri ili kuongeza maarifa na kutunza kidogo wanachopata
- Kuwa wavumilivu kwani changamoto zitakuwepo
Msome > https://jamii.app/UshauriMdauSC

👍12💩1
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar imetupilia mbali maombi ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na CHADEMA, kupinga uamuzi huo wa Chama
Halima Mdee na wenzake 18 walipinga kuvuliwa Uanachama wakisema uamuzi huo haukuwa halali na haukuzingatia Haki ya kuwasikiliza
Soma - https://jamii.app/Wabunge19Uamuzi
Halima Mdee na wenzake 18 walipinga kuvuliwa Uanachama wakisema uamuzi huo haukuwa halali na haukuzingatia Haki ya kuwasikiliza
Soma - https://jamii.app/Wabunge19Uamuzi
👍24👏2🤔2💩2🥰1
SHINYANGA: Dereva wa Basi la Shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) mbaroni kwa kusababisha kifo cha Mwanafunzi wa Shule hiyo, Godlight Chisawilo (4) kwa kumgonga na gari
> Tukio limetokea wakati mtoto anavuka kuelekea upande wa pili wa basi
Soma - https://jamii.app/ShyAjali
> Tukio limetokea wakati mtoto anavuka kuelekea upande wa pili wa basi
Soma - https://jamii.app/ShyAjali
😢16👍2👎1
FIFA YAIFUNGIA BIASHARA UNITED KUSAJILI MADIRISHA MAWILI
Adhabu hii imetokana na Klabu ya Biashara United ya Mara kutotii maamuzi ya awali ya kulipa madai ya aliyekuwa mchezaji wao, Timoth Omwenga
Soma - https://jamii.app/BiasharaBanned
#JamiiForums #JFSports

👍11
MOROGORO: Kibwana Musa, mkazi wa Kijiji cha Kiziwa amekutwa ameuawa leo Juni 22, 2022 kwa kukatwa panga nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake
> Inadaiwa ameuawa na mume wa Mwanamke huyo anayedaiwa kuwa mpenzi wake
Soma - https://jamii.app/KifoChaPanga
> Inadaiwa ameuawa na mume wa Mwanamke huyo anayedaiwa kuwa mpenzi wake
Soma - https://jamii.app/KifoChaPanga
😢6🤔3
CCM YAISHAURI SERIKALI KUFUFUA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Wito umetolewa kwa Serikali kuangalia namna bora ya kukwamua na kukamilisha Mchakato wa upatikanaji #KatibaMpya kwa maslahi ya Taifa
Nini maoni yako kuhusu Mchakato wa kupata Katiba Mpya?
Soma - https://jamii.app/KatibaTanzania

👍35
NIGERIA: Baraza la Utabibu na Matibabu ya Meno limetangaza kutozitambua Shahada kutoka Vyuo vya Ukraine zilizopatikana tangu kuanza kwa vita
> Hii ni kutokana na kubadilishwa kwa Mfumo wa Kufundisha toka ana kwa ana na kuwa wa Mtandao
Soma - https://jamii.app/UkraineDegrees
> Hii ni kutokana na kubadilishwa kwa Mfumo wa Kufundisha toka ana kwa ana na kuwa wa Mtandao
Soma - https://jamii.app/UkraineDegrees
👍21😢1
UPDATE: AJALI YA TRENI YA TABORA
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuna kipande cha reli kiliondolewa na kisha kurudishwa kwa kuegeshwa katika reli ndicho kilisababisha ajali
Soma - https://jamii.app/TreniHujuma
#JamiiForums

😢6👍4👎4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Simamia kile unachoamini, jifunze kupitia makosa, usijihukumu kwa yaliyopita na fanya maamuzi bora zaidi
Tunawatakia siku njema!
#JamiiForums
Tunawatakia siku njema!
#JamiiForums
👍23👏2
UMOJA WA MATAIFA: Watu 105 wamenyongwa Nchini Iran ndani ya miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2022
> Takwimu zinaonesha Watu 260 walinyongwa mwaka 2020 huku mwaka 2021 wakiwa Watu 301 (Wanawake 14). Kuna uwezekano mwaka huu idadi ikawa kubwa zaidi
Soma - https://jamii.app/100Wanyongwa
> Takwimu zinaonesha Watu 260 walinyongwa mwaka 2020 huku mwaka 2021 wakiwa Watu 301 (Wanawake 14). Kuna uwezekano mwaka huu idadi ikawa kubwa zaidi
Soma - https://jamii.app/100Wanyongwa
👍5👎5😁1
#JFTECHNOLOGY: Mtandao wa Kijamii wa Twitter ambao una kikomo cha herufi 280 umeamua kufanya idadi kuwa 2,500 ikidaiwa ni katika kuboresha huduma kwa Wateja wake
> Mwaka 2017, #Twitter iliongeza idadi ya herufi kutoka 140 na kufikia 280
Soma - https://jamii.app/TwitterNewFeature
> Mwaka 2017, #Twitter iliongeza idadi ya herufi kutoka 140 na kufikia 280
Soma - https://jamii.app/TwitterNewFeature
👍14👏2
SIMBACHAWENE: HAKUNA MPANGO WA KUREJESHA MAKAO MAKUU DAR
Amesema Rais Samia hana makusudio ya kurejesha Makao Makuu ya Nchi Dar es Salaam, na wanaofikiria hapendi Dodoma wanamsingizia
Asema Taasisi muhimu zinakamilisha ujenzi wa majengo yake
Soma - https://jamii.app/SerikaliDodoma

👍7👎3