JamiiForums
βœ”
52.7K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
BANGLADESH: WATU TAKRIBAN 41 WADAIWA KUFARIKI KWA MAFURIKO

Ni kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja huku ikiacha mamilioni ya watu bila makazi

> Inaelezwa, baadhi ya Shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa waathirika

Soma - https://jamii.app/MafurikoBangladesh
😒9πŸ‘2πŸ‘Ž1
Marekani imetangaza chanjo ya #COVID19 kwa Watoto Wachanga na wanaosoma katika Shule za Awali kuanzia wiki ijayo

> Hatua ya awali itahusisha dozi ya Watoto milioni 18

Soma - https://jamii.app/ChanjoYaCovid19

#JamiiForums
πŸ‘4😁2πŸ’©1
JUNI 19: SIKU YA UGONJWA WA SELIMUNDU DUNIANI

Ugonjwa wa #SickleCell husababishwa na mabadiliko ya chembe nyekundu za Damu

Kaulimbiu ya Mwaka 2022 ni #ShineTheLightOnSickleCell ikilenga kujenga uelewa na ufahamu ikiwemo kusahihisha fikra potofu

Soma - https://jamii.app/SikuYaSeliMundu

#WorldSickleCellDay
πŸ‘3πŸ‘1
Takwimu za 2021 za Shirika la Afya (WHO) zinaonesha zaidi ya Watoto 1,000 Duniani huzaliwa wakiwa na Selimundu kila siku

Nchini Tanzania, Watoto 11,000 huzaliwa na Ugonjwa huo kila Mwaka, sawa na Watoto 8 kati ya 1,000

Soma - https://jamii.app/TZSelimundu

#WorldSickleCellDay
πŸ‘5πŸ‘Ž2😒1
MDAU: Ikiwa umekopa mtu pesa au chochote ili utatue shida zako kwa makubaliano ya kurudisha, ikifika muda huo lipa na ikitokea umekwama, toa taarifa mapema

> Je, umewahi kumkopesha mtu akachelewa kukulipa?

Mjadala - https://jamii.app/LipaDeniKwaWakati
πŸ‘18πŸ‘Ž1πŸ”₯1
TANZANIA YA 5 DUNIANI KWA WAGONJWA WA SELIMUNDU

Inashika nafasi hiyo ikiwa na watu 200,000 wenye ugonjwa huo. Watu 5 mpaka 7 kati ya 100 chini ya miaka mitano hufariki dunia kwa sababu mbalimbali kutokana na Selimundu

Soma - https://jamii.app/SikoseliTakwimu

#WorldSickleCellDay
πŸ‘7πŸ‘Ž4
SIMBA 3-1 KMC

Simba imeshinda ktk Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, leo Juni 19, 2022 ambapo mchezo huo ni wa mwisho kwa Larry Bwalya wa Simba

> Mabao ya Simba yamefungwa na Kibu Denis, Pape Sakho na Henock Inonga. Bao la KMC limefungwa na Hassan Kabunda

Soma - https://jamii.app/3Simba1KMC
πŸ‘9πŸ‘5
MAAMBUKIZI YA COVID-19 YAPANDA KWA 9.9%

Watu 246 wamekutwa na maambukizi ya #COVID19 kati ya 2,484 waliofanyiwa vipimo ndani ya saa 24 zilizopita Nchini Kenya, huku Wizara ya Afya ikisema kuna ongezeko la 9.9% la maambukizi

Soma > https://jamii.app/KECovid

#JamiiForums
πŸ‘6πŸ‘Ž2
UFARANSA: JITIHADA ZA MACRON KUDHIBITI BUNGE ZAGONGA MWAMBA

Rais Emmanuel Macron na Washirika wake wamekosa udhibiti wa Bunge baada ya kushindwa kupata Viti vya kutosha

Matokeo hayo yanaweza kuathiri mwelekeo wa Nchi ikiwa Macron hatoshirikiana na Vyama vingine

Soma - https://jamii.app/MacronBunge
πŸ‘11
CHELSEA YATAKA KUMSAJILI STERLING WA MAN. CITY

Chelsea ina imani itamsajili Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling, kama ada ya uhamisho itaafikiwa

Inadaiwa Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel anaamini Sterling anafaa zaidi katika mfumo wa Chelsea kuliko Lukaku

Je, unadhani Sterling ataing’arisha safu ya ushambuliaji ya Chelsea?

#JFSports
πŸ‘15πŸ‘Ž4πŸ‘4😁4πŸ’©1
VIONGOZI EAC KUJADILI MZOZO WA DRC, RWANDA

Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanakutana leo Juni 20, 2022, Jijini Nairobi kutafuta utatuzi wa mgogoro wa DRC na Rwanda

> Kumekuwa na mapigano makali mpakani mwa nchi hizo

Soma - https://jamii.app/RwaDRC

#JamiiForums
πŸ‘14πŸ‘Ž3πŸ”₯1
Siku ya Wakimbizi Duniani huadhimishwa kila Juni 20. Mwaka 2022, Maadhimisho yake yamejikita katika Haki ya kutafuta usalama

Wakati wowote Watu wanapolazimika kukimbia Makazi yao kutokana na vita au vurugu, wana Haki ya kulindwa

Soma - https://jamii.app/WRD2022

#WorldRefugeeDay
πŸ‘6
Bajeti ya Serikali ya 2022/23, imeonesha kuwa Bunge limeongezewa kiasi cha Tsh. 5,000,000,000 kwa ajili ya β€œMatumizi Mengineyo” ili kuwezesha utekelezaji wa majukumu yake, ikiwemo kuwajengea uwezo Wabunge ili waweze kuisimamia vizuri Serikali

Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
πŸ‘Ž28🀬6πŸ‘4πŸ’©1
MBUNGE: TUNAFANYA MCHEZO NA MRADI WA LIGANGA-MCHUCHUMA

Deodatus Mwanyika amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote kwani hakuna taarifa zinazotolewa kuhusu mazungumzo yalipofikia

Ameeleza, "Sisi Watanzania ni watu wa ajabu. Tuna Makaa ya Mawe ambayo bei yake ni nzuri lakini bado tunafanya mchezo"

Soma - https://jamii.app/MradiMbunge
πŸ‘13
#UKRAINE: Bunge limepiga kura 303 kuunga mkono kupiga marufuku baadhi ya muziki wa Urusi kwenye Vyombo vya Habari na maeneo ya Umma Nchini humo

> Marufuku hiyo itahusisha Wanamuziki na Watunzi ambao ni au walikuwa raia wa Urusi baada ya 1991

Soma - https://jamii.app/RussiaMusicBan
πŸ‘10πŸ’©1
Takwimu za UNHCR zinaonesha kuna idadi ya Wakimbizi duniani ni milioni 89.3, kati yao Wakimbizi milioni 27.1 wapo kwenye Vituo Rasmi vya Wakimbizi

> Nusu ya Wakimbizi walio katika Vituo Rasmi wana umri chini ya miaka 18

Soma - https://jamii.app/SikuYaWakimbizi

#WorldRefugeeDay
πŸ‘5πŸ₯°1
TARIMBA: SERIKALI IANGALIE UTARATIBU MZURI WA KUPANUA WIGO WA WALIPAKODI

Mbunge wa Kinondoni amesema, "Tatizo lililopo hasa upande wa Serikali, wanamlenga Mlipakodi wanayemuona kama njia ya kupandisha Mapato"

Asema utaratibu huo ni mbaya, akishauri Mamlaka kuweka Kima kidogo ili watu wengi waweze kulipa Kodi

Soma - https://jamii.app/WigoKodi
πŸ‘15
Bajeti Kuu imeonesha ongezeko la Tsh. 20,000,000,000 kwenye bajeti ya Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali kwa ajili kugharamia Mashahidi wa Makosa ya Jinai na ujenzi wa Vituo Jumuishi 64 vya utoaji Haki na kutafsiri Sheria nchini

Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
πŸ€”4
#KENYA: SERIKALI YAREJESHA KANUNI YA UVAAJI BARAKOA

Wakenya wamehimizwa kuvaa barakoa wakiwa katika mazingira mbalimbali ikiwemo Usafiri wa Umma, Ofisini na Nyumba za Ibada

Hivi karibuni Ripoti ya CDC Afrika ilitaja Kenya kuwa miongoni mwa Nchi zinazokabiliwa na Wimbi la Sita la #COVID19

Soma - https://jamii.app/MasksKenya
πŸ‘9😁1
#ZIMBABWE: Mamia ya Watumishi wa Umma wa Sekta ya #Afya wamefanya Mgomo kutokana na mishahara midogo na mazingira duni ya Kazi

> Inaelezwa Serikali imetangaza kuongeza mishahara kufikia Mwezi Julai, kiwango ambacho bado wanadai hakiridhishi

Soma - https://jamii.app/MgomoZimbabwe

#JFLeo
πŸ‘10πŸ”₯1