JamiiForums
52.7K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
YANGA KUMALIZA MSIMU BILA KUPOTEZA MECHI

Kocha wa Yanga, Mohamed Nabi amesema anataka timu yake isipoteze mechi 3 zilizosalia Ligi Kuu hata kama wameshatwaa ubingwa

Ikiwa hivyo, Yanga itamaliza ligi bila kupoteza mechi hata moja

Soma > https://jamii.app/KochaYanga

#JamiiForums
🔥27👍8👎3💩3
SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Licha ya jitihada za kutokomeza ukatili dhidi ya Watoto, Kamati ya Wataalamu wa Haki na Ustawi wa Mtoto Afrika (ACERWC) inasema vitendo hivyo vinaendelea kushamiri

Maadhimisho ya Mwaka 2022 yanaangazia vitendo vya kikatili vinavyowakabili Watoto, na hatua zilizofikiwa kuhakikisha wanalindwa

Soma - https://jamii.app/MtotoAfrika

#DayOfTheAfricanChild #DAC2022
👍7🥰4🔥1
#DIGITALSECURITY: Wataalamu wa Mitandao wanahimiza kutumia Nywila (Password) tofauti tofauti katika mitandao

> Hii italinda akaunti zako nyingine ikitokea mtu amejua Nywila yako ya akaunti moja

Soma - https://jamii.app/UlinziWaAkaunti

#DataProtections #JamiiForums
👍11
UKATILI DHIDI YA WATOTO: Ndoa za Utotoni, Utumikishwaji Watoto, Ukeketeji, Usafirishaji Haramu wa Watoto ni baadhi ya vitendo vinavyotajwa kuathiri Watoto

Wito umetolewa kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuchukua hatua stakihi kukabiliana na vitendo hivyo

Soma - https://jamii.app/MtotoAfrika

#DayOfTheAfricanChild #DAC2022
👍4
LIGI KUU ENGLAND 2022/23 KUANZA AGOSTI 5

- Ligi hiyo itafunguliwa kwa Crystal Palace kuivaa Arsenal

- Manchester City itaanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham

Je, unaipa timu gani nafasi ya kutwaa ubingwa msimu wa 2022/23?

Zaidi - https://jamii.app/RatibaEPL-22-23

#JFSports
👍14🔥4🤮2👏1
MDAU: Shiriki Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kuchangia na kutembelea Vituo vya Kulelea Watoto waishio katika Mazingira Duni au Yatima

> Jifunze Changamoto zinazowakabili Watoto hao ili kuwa sehemu ya kuleta mabadiliko

Soma - https://jamii.app/DayOfAfricanChild

#DAC2022
👍101👏1
MDAU: Madereva wa Bodaboda wanafahamu mambo mengi na siri za Wateja wao, kama wasipokuwa makini na kuzingatia Maadili ya Kazi zao wanaweza kusababisha matatizo makubwa ktk Jamii

> Je, ni kweli ukitaka siri yako ifichuke basi umwambie 'Bodaboda'?

Soma - https://jamii.app/SiriZaBodaboda
👍1
NIGERIA: Wasichana wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo moja Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa Watoto kwa ajili ya kuuzwa

> Mamlaka zimesema Wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari Wajawazito

Soma - https://jamii.app/NigeriaBabyFactory

#HumanTrafficking
😢12👍7🤔2
IRINGA: Dereva wa Bajaji, John Umbo amehukumiwa kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. milioni 7 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa kike (10)

> Pia, Mtuhumiwa amewahi kuwa na kesi kadhaa za ukatili wa kijinsia lakini hakukutwa na hatia

Soma - https://jamii.app/UkatiliIringa
👍19😱4😢1
LIGI KUU: SIMBA 3-0 MBEYA CITY

Magoli ya Pape Sakho na Peter Banda yameipa Simba ushindi huo katika Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam

Simba ipo nafasi ya pili kwa pointi 54, Mbeya City nafasi ya 10 kwa pointi 32

Soma > https://jamii.app/SimbaMbeyaCity

#JamiiForums
👍18🤮8💩6👏2
#MONKEYPOX: Afrika imeripotiwa kuwa na Maambukizi 1,597 tangu mwaka 2022 kuanza, na Watu 66 wamefariki dunia

Nchi zilizoripoti Visa vya MonkeyPox ni Cameroon, Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), DRC, Nigeria, Morocco, Ghana, Liberia na Sierra Leone

Soma - https://jamii.app/AfrikaMonkeyPox
😢6👎3👍2🤮21
SUDAN: Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo

Inahofiwa Watoto takriban 375,000 wanaweza kupoteza maisha kutokana na Utapiamlo

Soma - https://jamii.app/UhabaChakSud
👍6😢2👎1
KENYATTA AHIMIZA JESHI LA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI KUPELEKWA DR CONGO

Ametoa wito huo kukabiliana na hali ya ghasia Mashariki mwa Taifa hilo

Rais Kenyatta ambaye ni Mwenyekiti wa EAC amehimiza jitihada zaidi ili Amani ya kudumu iwepo DR Congo

Soma - https://jamii.app/KenyattaDRC
👍17
HANDENI, TANGA: Baadhi ya Wananchi wa Kaya 20 kati ya 290 waliohama kupisha shughuli za uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wamewasili Kijiji cha Msomera

> Waziri wa Utalii amesema hiyo ni hatua ya awali na zoezi litaendelea

Soma - https://jamii.app/KuhamiaHandeni
👍10😢6👏3🥰2
MAREKANI: Timu ya Golden State Warriors imeshinda kwa pointi 103-90 dhidi ya Boston Celtics katika Fainali ya 6

> Imeshinda kwa michezo 4-2, Stephen Curry amebeba Tuzo ya Mchezaji Bora wa Fainali (MVP)

Soma - https://jamii.app/NBABingwa

#JamiiForums #JFSports
👍12👏2
ARSENAL YAANZA MAZUNGUMZO YA KUMSAJILI JESUS WA MAN. CITY

Arsenal ni moja ya Klabu zinazoonesha nia ya kutaka kumsajili Mchezaji Gabriel Jesus (25) kutoka Manchester City

Ujio wa Erling Haaland na Julian Alvarez katika Klabu ya Man. City unaweza kumnyima nafasi Jesus

#JFSports
👍11😁1
ARSENAL MBIONI KUKAMILISHA USAJILI WA VIEIRA KUTOKA PORTO

Fabio Vieira (22) anakaribia kusajiliwa kwa ada inayoweza kufika Paundi Milioni 35 (Tsh. 98,000,000,000)

Usajili huo utakamilika mara tu Kiungo huyo atakapofaulu vipimo vya afya. Inadaiwa anawasili London leo

#JFSports
👍12
GEITA: Polisi inawashikilia Watu 3 kwa tuhuma za mauaji ya Watoto 2 (miaka 2 na miaka 7) ambao wamefariki kwa kuchinjwa ktk Kata ya Shabaka na kisha miili yao kutupwa shambani

> Waliokamatwa ni Mganga wa Kienyeji, Mfanyabiashara na Mzee mmoja

Soma - https://jamii.app/GeitaMauaji
👍8😢2
TABORA: Issa Selemani anadaiwa kumuua mke wake Mariam Nassoro kwa kumchoma visu na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe uliosomeka “Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja, mtuzike pamoja"

> Chanzo cha mauaji hayo bado kinachunguzwa

Soma - https://jamii.app/WanandoaWauana
👍5🤔3👎1🤯1