BUNGENI: Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amempa onyo Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kwa kudharau na kuvunja Kanuni ya 84 ya Bunge
> Inadaiwa Waitara hakufuata utaratibu wa kuwasilisha maoni ya kutoridhishwa na maamuzi ya Spika
Soma - https://jamii.app/WaitaraAonywa
#JFSiasa

π11
Dkt. Mwigulu Nchemba: Hadi Aprili 2022, Deni la Serikali lilikuwa Tsh. Trilioni 69.44 ikilinganishwa na Trilioni 60.72 za kipindi kama hicho mwaka 2021, sawa na ongezeko la 14%. Katika kiasi hicho, deni la nje lilikuwa Trilioni 47.07 na la ndani lilikuwa Trilioni 22.37
> Ongezeko la deni la Serikali limetokana na kupokelewa kwa mikopo kutoka vyanzo vyenye masharti nafuu na ya kibiashara kwa ajili ya kugharamia shughuli za maendeleo hapa nchini
#JamiiForums

π12π5π3β€2
MWANZA: WAKAZI WA MILIMANI KUHAMISHWA KUPISHA UWEKEZAJI
Wakazi hao watahamishwa kupisha uboreshaji wa miundombinu ili kukuza Sekta ya Utalii ktk mradi utakaogharimu Tsh. Bilioni 150
> Baadhi ya maeneo yatakayoguswa ni Igogo, Isamilo na Kegoto
Soma - https://jamii.app/MilimaYaMwanza

π19π15π4
ZANZIBAR: Baraka Mohamed Shamte amefukuzwa Uanachama wa CCM kwa madai ya kauli za kumkashifu Rais Mwinyi alizotoa Juni 12, 2022
> Juni 12, 2022, Shamte alishambuliwa na Watu wasiojulikana. Serikali imelaani vikali tukio hilo na kuahidi kulichunguza
Soma - https://jamii.app/AfukuzwaCCM

π€9π7π1
ALIYEVULIWA UASKOFU AKUBALI KUREJESHA MALI ZA KANISA
Dkt. Mwaikali, Askofu wa zamani wa KKKT Dayosisi ya Konde amekubali kurejesha mali za Kanisa baada ya RPC wa Mbeya, Ulrich Matei kukutana na uongozi wa zamani na mpya kwa pamoja
Soma - https://jamii.app/KKKTMgogoro

π8π2
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kusoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, 2022
> Matarajio ni ongezeko la Bajeti ya Kilimo na ongezeko la Kima cha Chini cha Mishahara
Fuatilia - https://jamii.app/BajetiKuuTz

π7
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anasoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23
> Serikali ilitarajia kukusanya Tsh. Trilioni 37.99 katika mwaka wa fedha 2021/22 kutoka vyanzo vyote vya nje
Tazama - https://www.youtube.com/watch?v=xfltawldMG4

YouTube
BAJETI KUU YA SERIKALI 2022/2023
π4
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2022/23 itatilia mkazo Sera za Mapato, Matumizi, Kujali Ufanisi, Mapambano ya vitendo vya Rushwa na kuwekeza kwenye Sekta za Uzalishaji ili kuweza kutengeneza Ajira
#BajetiKuu #Bajeti2022
#BajetiKuu #Bajeti2022
π6π₯°1
TUTAWAFUKUZA WAHUJUMU UCHUMI
Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Watumishi watakaobainika kula rushwa na kuhujumu Uchumi hawatahamishwa Vituo bali watafukuzwa kazi
Ameongeza kwenye suala la Uadilifu tunao uwezo wa kufukuza hata ofisi nzima na kuajiri Watu upya. Anayetaka kumjaribu "Mama" na amjaribuβ
Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
#BajetiKuu #Bajeti2022 #BajetiKuu2022

π8π1π₯1
MAPATO YA SERIKALI YANAINGIA MIFUKONI KWA WATU
Waziri Mwigulu amesema hii inatokana na suala la makadirio ya juu, ambapo kichoongezeka huingia kwenye mifuko binafsi ambapo wasiotoa rushwa ndio hukadiriwa makadirio ya juu na kutishiwa kufilisiwa
Pia, Wafanyabiashara sio waaminifu kwa kuwa na bei ya risiti na bei isiyo ya risiti ambapo bei isiyo ya risiti huwa nafuu Zaidi

π5π5π1
Kwa mwaka 2022/23 vipaumbele vitawekwa kwenye Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Nishati na Biashara
Fuatilia Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2022/23 hapa > https://www.youtube.com/watch?v=xfltawldMG4
#BajetiKuu #Bajeti2022
Fuatilia Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2022/23 hapa > https://www.youtube.com/watch?v=xfltawldMG4
#BajetiKuu #Bajeti2022
π8
TANePS KUBORESHWA
Serikali itaachana na Mfumo wa Ununuzi wa Umma ambao umeshindwa kuleta tija kwa kuwa msingi wake mkubwa ni ulinganishaji wa zabuni zilizofunguliwa badala ya bei za bidhaa
Waziri Mwigulu amesema "Manunuzi yatafuata mchakato ili kudhibiti matumizi, bei za manunuzi zitakuwa na ukomo ili mfumo wa TANEPS usiwe na bei iliyozidi bei ya soko kwenye kupata Zabuni"
#JamiiForums #Bajeti2022

π10π₯1
Waziri wa Fedha amesema "Tuna Fursa ya kuilisha Afrika, Ulaya, Asia na Nchi nyingine kwenye baadhi ya Mazao. Tunakusudia kuongeza idadi ya mashamba makubwa kufanya mwelekeo wa uzalishaji wa kilimo kuwa wa kibiashara"
#Bajeti2022 #BajetiKuu
#Bajeti2022 #BajetiKuu
π8π4
MATUMIZI YA TEHAMA YAHIMIZWA
Serikali imehimiza TEHAMA iwe chaguo namba moja ili kubana matumizi na kuokoa muda. Kumbi za mikoa ziwe na mifumo ya kimtandao ili kuweza kufanya vikao 'virtually'
Waziri Mwigulu amesema "Mtu anasafiri siku 4, anaacha kuhudumia Wananchi kwa jambo ambalo anaweza kulifanya kwa nusu saa, kwa karne hii jambo hilo sio muafaka"
Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
#BajetiKuu #Bajeti2022
Serikali imehimiza TEHAMA iwe chaguo namba moja ili kubana matumizi na kuokoa muda. Kumbi za mikoa ziwe na mifumo ya kimtandao ili kuweza kufanya vikao 'virtually'
Waziri Mwigulu amesema "Mtu anasafiri siku 4, anaacha kuhudumia Wananchi kwa jambo ambalo anaweza kulifanya kwa nusu saa, kwa karne hii jambo hilo sio muafaka"
Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
#BajetiKuu #Bajeti2022
π10π5
MAPATO TRA 2021/22 YALIKUWA CHINI YA LENGO
Mwaka 2021/22 Mapato yaliyokusanywa na TRA ni Tsh. Trilioni 17.20 huku lengo likiwa ni Tsh. Trilioni 21.78
Mapato yasiyo ya Kodi yalikuwa Tsh. Trilioni 2.3 huku lengo likiwa ni Tsh. Trilioni 3.05. Aidha, Mapato ya Halmashauri yalikuwa Tsh. Bilioni 759 huku lengo likiwa ni Tsh. Bilioni 863.9
#JamiiForums #Bajeti2022 #BajetiKuu

π€2π1
MINADA IFUATILIWE, KUNA WATUMISHI WASIO WAAMINIFU
Waziri wa Fedha ameagiza vyombo vya usalama kufuatilia minada inapofanyika
Amesema, βKuna Watumishi wa Benki sio waaminifu, wanapenda kutafuta Wateja haraka ili kuuza dhamana za Wateja, wanauza kwa thamani ambayo haihusiani, hili linawatia umasikini Watanzaniaβ
Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
Waziri wa Fedha ameagiza vyombo vya usalama kufuatilia minada inapofanyika
Amesema, βKuna Watumishi wa Benki sio waaminifu, wanapenda kutafuta Wateja haraka ili kuuza dhamana za Wateja, wanauza kwa thamani ambayo haihusiani, hili linawatia umasikini Watanzaniaβ
Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
π2π1
ADA KIDATO CHA 5 NA 6 KUFUTWA
Dkt. Mwigulu amependekeza ada za Elimu ya Kidato cha 5 na 6 kufutwa kwa kuwa kuna vijana wa vijijini wanapata shida kuendelea na masomo kutokana na gharama
Aidha, amependekeza kutenga Tsh. bilioni 8 kwa ajili ya Watoto wanaotoka katika familia masikini, ambapo kwa sasa Madiwani, Wabunge na Watu wengine wamekuwa wakifuatwa kuombwa misaada

π19π9β€4
WAKUU WA MASHIRIKA YA UMMA WASITEULIWE
Waziri wa Fedha ameshauri Wakuu wa mashirika wa umma wafanyiwe usaili kwa ushindani badala ya teuzi kama ilivyo sasa
#BajetiKuu2022 #Bajeti2022

π25π3π€2
KISWAHILI KUTUMIKA KATIKA USAILI
Waziri Mwigulu ahoji sababu ya kufanya usaili wa Watumishi wa Umma kwa Kiingereza na kushauri lugha ya Kiswahili kutumika kwa kuwa Kiswahili kinatambulika SADC na Umoja wa Afrika
Amesema "Napendekeza usaili uwe unafanyika kwa Lugha ya Kiswahili, kumbi zote na Ofisi za Serikali ziwe na vifaa vya tafsiri ya Kiswahili ili tuenzi lugha yetu"
Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
#Bajeti2022 #BajetiKuu
Waziri Mwigulu ahoji sababu ya kufanya usaili wa Watumishi wa Umma kwa Kiingereza na kushauri lugha ya Kiswahili kutumika kwa kuwa Kiswahili kinatambulika SADC na Umoja wa Afrika
Amesema "Napendekeza usaili uwe unafanyika kwa Lugha ya Kiswahili, kumbi zote na Ofisi za Serikali ziwe na vifaa vya tafsiri ya Kiswahili ili tuenzi lugha yetu"
Soma - https://jamii.app/BajetiKuuTz
#Bajeti2022 #BajetiKuu
π20β€3π±2
SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI, MALIPO YA MKUPUO YA WASTAAFU KUONGEZEKA
Dkt. Mwigulu amesema kuwa Rais Samia ameongeza Kima cha Chini cha Mshahara kwa 23% na ameboresha Viwango vya Posho hivyo Serikali itaendelea kulipa madeni ya Watumishi
Pia, Serikali imeridhia kuongeza malipo ya mkupuo kwa Wastaafu kwa 33% badala ya 25% iliyopendekeza mwaka 2018

π12π’1