CAG: Tathmini ya ufanisi ya Miradi iliyokamilika imeonesha ktk Halmashauri 30, miradi yenye thamani ya Tsh. Bilioni 7.68 ilikuwa imekamilika lakini haitumiki
> Hii imehusishwa na sababu kadhaa ikiwemo ukosefu wa Umeme na Wataalamu
Soma https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022

#CAGReport2022: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali alibaini jumla ya Tsh. bilioni 19.72 zilikusanywa na Halmashauri 36 lakini hazikupelekwa benki
> Tsh. Bilioni 10.13 kati ya hizo ni kutoka iliyokuwa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022

Charles Kichere (CAG): Mamlaka 46 za Serikali za Mitaa zilikuwa na dawa zilizoisha muda wake wa matumizi
> Dawa hizo zilizopitiliza Muda wa Matumizi kuanzia miezi mitatu hadi miaka 20 zilikuwa na thamani ya Tsh. bilioni 3.49 na hazikuteketezwa
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022

KILIMANJARO: TAKUKURU imethibitisha kuchunguza sakata la aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu
> Tuhuma zinazomkabili ni pamoja na Matumizi Mabaya ya Ofini, Rushwa na kushiriki Sherehe ya wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja
Soma - https://jamii.app/MoshiTakukuru

SIMBACHAWENE: MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YAMEKUWA 'FASHION'
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene asema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa
Soma - https://jamii.app/DawaMatumiziTZ

CAG: MTU MMOJA APIMWA DAMU MARA 30 KWA SIKU
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema alipokagua taarifa za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa mwaka 2020/21 alibaini kuna mtu mmoja imeonekana katika Nyaraka zake za Hospitali kuwa amefanyiwa vipimo vya damu (Full Blood Picture) mara 30 kwa siku moja

CAG: MASHIRIKA 16 YANA MADENI ZAIDI YA MTAJI
Miongoni mwa Mashirika hayo ni Benki ya Maendeleo, Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Shirika la Umeme Tanzania, Mamlaka ya Bandari, Shirika la Madini la Taifa na Bohari Kuu ya Dawa
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG

CAG: MALIPO YA BILIONI 2.44 HAYAKUIDHINISHWA
Ukaguzi umebaini Taasisi 9 zilifanya Malipo hayo bila kuidhinishwa na Maafisa husika
Ikiwa hakuna Mifumo Imara ya uidhinishaji malipo, kuna hatari ya Watumishi wasio waaminifu kutumia vibaya Fedha za Umma
Soma - https://jamii.app/DawaMatumiziTZ
#RipotiCAG
Ukaguzi umebaini Taasisi 9 zilifanya Malipo hayo bila kuidhinishwa na Maafisa husika
Ikiwa hakuna Mifumo Imara ya uidhinishaji malipo, kuna hatari ya Watumishi wasio waaminifu kutumia vibaya Fedha za Umma
Soma - https://jamii.app/DawaMatumiziTZ
#RipotiCAG
SUDAN KUSINI: RAIS AUNDA JESHI LINALOJUMUISHA PANDE HASIMU
Hatua hiyo ni kipengele muhimu cha Makubaliano ya Amani
Taifa hilo lilipata changamoto ya kumaliza vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Majeshi ya Rais Kiir na Makamu Rais, Riek Machar
Soma - https://jamii.app/SudanKusini

WAZIRI MKUU WA IVORY COAST AJIUZULU
Patrick Achi amewasilisha barua ya kujiuzulu kwake na kwa Serikali yake. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tatu katika kipindi cha miaka mitatu
Rais Alassane Outtara amekubali ombi hilo
Soma - https://jamii.app/WaziriAjiuzulu
#JFLeo

CAG: HALI YA MAGEREZA NI MBAYA, WAFUNGWA WANALALA VYUMBA VYA MABATI
Pia, Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali imesema nyumba za Watumishi wa magereza hazina Maji safi na ya kutosha, na mifumo ya majitaka ni chakavu
Soma - https://jamii.app/MagerezaTZ

Je, wewe ungeongeza Sheria gani?
Mjadala zaidi > https://jamii.app/SheriaSokaMdau
#JamiiForums #Michezo

UBER YASITISHA HUDUMA ZAKE NCHINI TANZANIA
Kampuni ya #Uber imetangaza kusitisha huduma za UberX, UberXL na UberX Saver, ikizitaja nauli elekezi za LATRA kama sababu
Katika ujumbe wao kwa wateja, wameahidi kurejesha huduma pindi kanuni zikibadilishwa
Soma https://jamii.app/UberSitishaHuduma
#JamiiForums #UberTZ

TANZIA: MSANII MAUNDA ZORRO AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, #Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamisi ya Aprili 14, 2022) kufuatia ajali ya gari Kigamboni, Dar
Mwili wa marehemu upo Hospitali ya #Kigamboni
Soma https://jamii.app/MaundaZorroAfariki
#JamiiForums

AFRIKA KUSINI: MAFURIKO YAUA TAKRIBAN WATU 306
Mvua zimesababisha maporomoko ya udongo na kusomba makazi ya watu
Idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka wakati zoezi la utafutaji na uokoaji likiendelea katika Jimbo la KwaZulu-Natal
Soma - https://jamii.app/MafurikoSauzi

CAG: Mamlaka 22 za Serikali za Mitaa hazikuwa na programu iliyohuishwa ya kuzuia Virusi katika Kompyuta kwa ajili ya kulinda Taarifa zake
Mamlaka 23 hazikuwa na mpango wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi katika Usalama wa Taarifa
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG
Mamlaka 23 hazikuwa na mpango wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi katika Usalama wa Taarifa
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG
CAG: Malimbikizo ya mishahara na madeni ya Watumishi wa Mashirika na Taasisi za Umma ni Tsh. Bilioni 2.72 na hii ni kuanzia mwaka 1 hadi miaka 7
> Mashirika hayo ni kama Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Chuo Kikuu Mzumbe
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
> Mashirika hayo ni kama Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Chuo Kikuu Mzumbe
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
👍2
CAG: Tathmini imeonesha Mamlaka 10 za Serikali za Mitaa zilitekeleza Miradi ya Ujenzi yenye viwango duni vya ubora iliyo na thamani ya Tsh. Bilioni 6.06
Baadhi ya mapungufu ni nyufa kwenye Majengo, huku mengine yakiwa na Misingi iliyotitia
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG
Baadhi ya mapungufu ni nyufa kwenye Majengo, huku mengine yakiwa na Misingi iliyotitia
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG
SERIKALI YATENGA TSH. BILIONI 10 UJENZI SOKO LA KARIAKOO
Waziri Innocent Bashungwa asema Fedha hizo ni kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa soko jipya na kukarabati Soko kuu lililoungua
Pia, Wizara hiyo imeomba kuidhinishiwa Trilioni 8.76 na Bunge
Soma - https://jamii.app/UjenziKariakoo

#COVID19: UINGEREZA YAIDHINISHA CHANJO MPYA YA VALNEVA
Ni chanjo ya sita kupewa idhini ya kupambana na Virusi vya Corona. Itatolewa kwa dozi mbili kwa watu wenye miaka 18 - 50
Tofauti kati ya dozi ya kwanza na ya pili inashauriwa kuwa siku 28
Soma - https://jamii.app/uingerezachanjo