Shirika la Fedha la Kimataifa (#IMF) limeonya kuwa Mfumuko wa Bei za Chakula na Nishati kutokana na Vita ya Ukraine na Urusi unaathiri zaidi Nchi Masikini na Shirika hilo limesema mbinu zaidi zinahitajika katika kukabiliana na changamoto hizo
Soma: https://jamii.app/MfumukoWaBei
Soma: https://jamii.app/MfumukoWaBei
Rais wa Senegal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Macky Sall amesema Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelenksy ameomba kuzungumza na Umoja huo
> Aidha, Nchi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya Urusi na Ukraine
Soma - https://jamii.app/AUZelensky
> Aidha, Nchi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya Urusi na Ukraine
Soma - https://jamii.app/AUZelensky
DRC: WATU 30 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI YA SIKU MBILI
Mashambulio hayo yanadaiwa kufanywa kati ya Aprili 11 na 12, 2022, Kaskazini Mashariki mwa DR Congo
> Waasi wa ADF wanadaiwa kushambulia watu katika Vijiji viwili karibu na Komanda na Bunia
Soma - https://jamii.app/Watu30Wauawa

DAR: Latifa Bakari (33), Mkazi wa Mabibo anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumuua Mtoto wa Mdogo wake mwenye miaka miwili aliyeachiwa Aprili 5, 2022 kwa lengo la kumlea
> Latifa aliutupa mwili wa mtoto huyo maeneo ya River Side, Ubungo
Soma - https://jamii.app/AuaMtotoMdogo
> Latifa aliutupa mwili wa mtoto huyo maeneo ya River Side, Ubungo
Soma - https://jamii.app/AuaMtotoMdogo
BUNGENI: Mbunge Judith Kapinga atoa wito kwa Wizara inayosimamia masuala ya Vijana kusaidia Wizara nyingine kuona mambo yenye tija kwa Vijana
Asema masuala yanayohusu Vijana yanahitaji kuchukuliwa kwa umakini kwasababu changamoto ya Ajira ni kubwa
Soma - https://jamii.app/BungeAjiraVijana
Asema masuala yanayohusu Vijana yanahitaji kuchukuliwa kwa umakini kwasababu changamoto ya Ajira ni kubwa
Soma - https://jamii.app/BungeAjiraVijana
Watu sita wamefariki Dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya Coaster yenye Namba za Usajili T833 DMH kuacha njia na kupinduka Wilayani Korogwe leo Aprili 12, 2022
> Mwendo kasi unatajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali hiyo
Soma: https://jamii.app/SitaWafarikiTanga
#JamiiForums
> Mwendo kasi unatajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali hiyo
Soma: https://jamii.app/SitaWafarikiTanga
#JamiiForums
Charles Kichere (CAG): Mashirika ya Kibiashara 14 yalipata hasara kwa miaka miwili mfululizo (2019/20 - 2020/21)
Hali hiyo ilisababishwa na hasara kwenye uwekezaji uliofanywa, ufanisi duni na uthibiti hafifu wa mapato na matumizi
#JamiiForums #CAGReport
Hali hiyo ilisababishwa na hasara kwenye uwekezaji uliofanywa, ufanisi duni na uthibiti hafifu wa mapato na matumizi
#JamiiForums #CAGReport
Charles Kichere (CAG): Katika ujenzi na ukarabati wa Viwanja vya Ndege kuna mwingiliano wa majukumu kati ya TANROADS na TAA kutokana na TANROADS kupewa Mamlaka na majukumu yale yale yanayotekelezwa na TAA
#JamiiForums #CAGReport
#JamiiForums #CAGReport
Baadhi ya aliyozungumza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere kuhusu Ripoti ya Ukaguzi ya Mwaka 2020/21
Kichere amefanya Mkutano na Waandishi wa Habari leo Aprili 12, 2022
#JamiiForums #CAGReport
Kichere amefanya Mkutano na Waandishi wa Habari leo Aprili 12, 2022
#JamiiForums #CAGReport
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Elimu ya Juu Nchini inaporomoka kama ilivyo kwa viwango vya kupata Uprofesa
> Profesa Mkenda ameshauri Mabaraza ya Vyuo Vikuu Tanzania kuzingatia Ubora wa Elimu
Soma - https://jamii.app/ElimuImeshuka
#JamiiForums
> Profesa Mkenda ameshauri Mabaraza ya Vyuo Vikuu Tanzania kuzingatia Ubora wa Elimu
Soma - https://jamii.app/ElimuImeshuka
#JamiiForums
DAR: Madereva toka Chama cha Madereva wa Mtandaoni (TODA) waliopo Jijini Dar es Salaam wameandamana kwenda Makao Makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wakitaka Mamlaka za Uber na Bolt zipandishe bei ya nauli
Soma - https://jamii.app/MaderevaWaandamana
#JamiiForums
Soma - https://jamii.app/MaderevaWaandamana
#JamiiForums
DAR: Watu wanne wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujaribu kuhujumu miundombinu ya TANESCO ikiwemo Nyaya aina ya Shaba kwa lengo la kuziuza
Walikutwa na viroba vinne vya Nyaya za Shaba zilizochunwa baada ya kupekuliwa
Soma - https://jamii.app/WiziWaNyaya
#JamiiForums
Walikutwa na viroba vinne vya Nyaya za Shaba zilizochunwa baada ya kupekuliwa
Soma - https://jamii.app/WiziWaNyaya
#JamiiForums
MDAU: Kijana unapotuma maombi mtandaoni kuwa makini na acha papara ya kupata ajira kwani wezi wanatumia udhaifu wako wa kukosa ajira ili kujinufaisha
> Asema hakikisha unaomba kazi kupitia vyanzo vinavyoeleweka na uliza kwa watu unaowaamini
Soma - https://jamii.app/AjiraUtapeli
> Asema hakikisha unaomba kazi kupitia vyanzo vinavyoeleweka na uliza kwa watu unaowaamini
Soma - https://jamii.app/AjiraUtapeli
PUTIN: URUSI ITAENDELEA KUPAMBANA HADI MALENGO YATIMIE
Ameahidi kuwa #Russia itatimiza kile alichokiita ni "malengo mema" Nchini #Ukraine
Kiongozi huyo amedai "Operesheni maalum ya Kijeshi" ililenga kulinda watu wa Mashariki mwa Ukraine
Soma - https://jamii.app/PutinVitaUkr
#JFLeo

PAKISTAN: Waziri Mkuu mpya, Shebaz Sharif amesema Nchi yake inapendelea zaidi Amani na uhusiano wa kushirikiana na India, mtazamo ulioonesha kuchaguliwa kwake huenda kukatoa nafasi mpya ya kuwepo Maelewano ya Kidiplomasia kati ya Nchi hizo
Soma - https://jamii.app/PakistanIndia
Soma - https://jamii.app/PakistanIndia
CAG: MIRADI YA BILIONI 195.65 HAIJAKAMILIKA
Ripoti ya 2020/21 inaonesha Miradi ya Tsh. Bilioni 195.65 katika Mamlaka 128 za Serikali za Mitaa ilikuwa haijakamilika hadi kufikia muda wa Ukaguzi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukosa michango ya Wananchi
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG

Idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya ardhi na mafuriko ya tarehe 12 Aprili 2022 nchini Ufilipino imefikia 58 huku juhudi za uokoaji zikiendelea
Soma - https://jamii.app/MafurikoUfilipino
#JFLeo
Soma - https://jamii.app/MafurikoUfilipino
#JFLeo
Charles Kichere (CAG): Fedha za Mfuko wa Dhamana kwa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (Tsh. bilioni 7) zilizopelekwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo hazikutumika kwa malengo ya kutoa dhamana kwa wahusika, zilitumika kibiashara
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022