TANAPA YATANGAZA KIFO CHA FARU RAJABU (MTOTO WA FARU JOHN)
Imetangazwa kifo cha Faru Rajabu (43) leo Machi 21, 2022 katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti chanzo kikitajwa ni uzee
Rajabu alikuwa Mtoto wa Faru John aliyekufa Mwaka 2015
Soma > https://jamii.app/FaruRajabu
#JamiiForums

Chombo cha Habari cha #China (CCTV) kimeripoti kuanguka kwa Ndege ya #Boeing737 ktk Milima ya #Guangxi na kuwaka Moto
Ndege hiyo ilikuwa na Abiria wapatao 133. Bado haijajulikana madhara yaliyotokana na ajali hiyo
Soma - https://jamii.app/Boeing737Crash
#JFLeo

CAG alibaini Mamlaka za Maji 21 kati ya 23 zina kiwango kikubwa cha upotevu wa Maji ikilinganishwa na kiwango kinachokubalika kisichozidi 20% kutokana na Miundombinu chakavu
Mwaka 2019/20, upotevu wa Maji ulikuwa wa Tsh. Bilioni 74.29 sawa na 47% ikilinganishwa na Mwaka 2018/19 ambapo ulikuwa Tsh. Bilioni 65.45 sawa na 42%
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #WAJIBU

IRINGA: Mtoto (miaka 15) anayetuhumiwa kuwalawiti watoto (miaka 4-14) anatarajiwa kufikishwa Mahakamani wiki hii
> Mtuhumiwa anadaiwa kuwarubuni watoto wenzake kwa kuwapa pipi na pesa, kisha kuwaruhusu kuangalia Televisheni na ndipo alitimiza azma yake
Soma > https://jamii.app/Iringa

UTAFITI: Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Uingereza (BGS) limebaini Afrika ina maji chini ya ardhi yanayoweza tumika hadi miaka 50 ijayo
> Hayo yamesemwa katika mkesha wa kuamkia Machi 22 ambayo ni Siku ya Maji Duniani
Soma https://jamii.app/UndergroundWater

UINGEREZA YAPONGEZA UHURU WA HABARI TANZANIA
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania asema Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania
Pia, asema ushirikishwaji wa demokrasia ya Vyama vya Upinzani ni matumaini mema
Soma > https://jamii.app/UKTZ

MACHI 22: SIKU YA MAJI DUNIANI
Takwimu zinaonesha Mtu 1 kati ya 3 anaishi bila Maji salama ya kunywa huku Watu bilioni 2.2 wanaishi bila kupata Maji salama
Ifikapo 2025, nusu ya Watu Duniani wataishi ktk maeneo yenye uhaba wa Maji
Soma https://jamii.app/WaterDay22
#WoldWaterDay2022

Idara ya Taifa ya kusimamia Maafa haikuweza kutumia Tsh. Bilioni 4.31 ambazo zilichangwa na Wadau mbalimbali ili kukabiliana na janga la #CoronaVirus kwa kuwa haikupata maelekezo kutoka Mamlaka zinazohusika
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #WAJIBU
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #WAJIBU
URUSI: MAHAKAMA YASITISHA SHUGHULI ZA FACEBOOK NA INSTAGRAM
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka imesema kumekuwa na machapisho makali kwenye Mitandao hiyo ya Kijamii, yakitoa wito wa vurugu dhidi ya raia wa Urusi na Wanajeshi wake walioko #Ukraine
Soma https://jamii.app/FBIGBanRussia
#DigitalRights

Waziri wa Utamaduni, #Sanaa na #Michezo, Mohamed Mchengerwa amelitaka BASATA kuwaita Viongozi wa Shirikisho la Muziki kushughulikia mgogoro unaoendelea baada ya Steven Mengele (Steve Nyerere) kuteuliwa kuwa Msemaji
Aidha, Steve amesema hawezi kujiuzulu nafasi hiyo bila utaratibu au kutokana na mashinikizo kutoka kwa Wasanii
Soma - https://jamii.app/BasataVsSteve

Kuingilia Vyombo vya Habari kunaweza kuzuia Uhuru wa Kujieleza unaotolewa na Demokrasia. Hatua hizi zinaweza kuchochea rushwa na kukosekana kwa Uwajibikaji
Kwa mujibu wa Corruption Perceptions Index (CPI) ya Mwaka 2021 ni kuwa licha ya ahadi kwenye karatasi Nchi 131 hazijapiga hatua kubwa dhidi ya Rushwa/Ufisadi katika muongo uliopita
Soma - https://jamii.app/UwaziKodiUmma
#Accountability

MCHENGERWA: HAKUNA MSANII MKUBWA KULIKO NCHI
Waziri wa #Sanaa na Michezo amewataka BASATA na COSOTA kuhakikisha Wasanii wote wanasajiliwa hususani wakubwa
Amesema Wasanii wakongwe wapewe nafasi mbalimbali hasa za BASATA ili wasimamie #Biashara zao
Soma - https://jamii.app/UsajiliWasanii

EU: AFRIKA IUNGANE NA DUNIA KUIPINGA URUSI
Umoja wa Ulaya (EU) umeshawishi Afrika kujitokeza kupinga Urusi kuivamia #Ukraine Kijeshi
Tamko hilo limetolewa Dar na Mabalozi wa Nchi za Ulaya Nchini Tanzania walio Wanachama wa EU
Soma - https://jamii.app/EUTZ
#RussianUkraineWar

URUSI: Mahakama imemhukumu mkosoaji wa Serikali ya Urusi, Alexei Navalny kifungo cha Miaka 9 kwa ufujaji Fedha na kutoheshimu Mahakama
Haijabainika ikiwa Miaka hiyo tisa itaenda sambamba na hukumu ya Miaka 2 na nusu anayotumikia sasa
Soma - https://jamii.app/Navalny9Yrs
#HumanRights

#UPDATES AJALI YA NDEGE (BOEING 737)
Shirika la Habari la Serikali ya China limesema hakuna Abiria hai aliyepatikana kwenye mabaki ya Ndege iliyoanguka na Abiria 132
Hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya Ndege kuikumba #China kwa zaidi ya muongo mmoja
Soma - https://jamii.app/Boeing737Crash
Shirika la Habari la Serikali ya China limesema hakuna Abiria hai aliyepatikana kwenye mabaki ya Ndege iliyoanguka na Abiria 132
Hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya Ndege kuikumba #China kwa zaidi ya muongo mmoja
Soma - https://jamii.app/Boeing737Crash
MGOGORO WA #UKRAINE NA #URUSI: Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa asema NATO ingesikiliza maonyo kusingekuwa na mgogoro uliopo
> Aidha, baadhi ya Wachambuzi wamesema ushawishi wa Ramaphosa kama Mpatanishi umepungua baada ya kuilaumu NATO
Soma https://jamii.app/RamaphosaNATO

Ukaguzi wa CAG umebaini Deni la Serikali katika Bohari Kuu ya Dawa limeongezeka kwa Tsh. bilioni 56.01 kutoka Tsh. bilioni 200.91 mwaka 2017/18 hadi kufikia Tsh. bilioni 256.92 mwaka 2019/20
Kuongezeka kwa Deni hilo kumetokana na ulipaji hafifu wa Madeni ya Hospitali, Vituo vya #Afya vya Serikali na Taasisi nyingine za Umma baada ya kupelekewa Dawa na Vifaa Tiba kutoka MSD
#JamiiForums #Accountability #WAJIBU #JFUwajibikaji