JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
KUMBUKIZI YA MWAKA MMOJA YA KIFO CHA MAGUFULI

Hayati John Pombe Magufuli alifariki Machi 17, 2021 kwa ugonjwa wa moyo ‘Atrial Fibrillation’ ktk Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam

> Rais Samia Suluhu ataongoza shughuli ya Kumbukizi ya Mwaka 1 itakayofanyika Chato, Mkoani Geita
Yanayojiri katika Mazungumzo ya Demokrasia Nchini Tanzania kupitia Digitali yanayoendelea hivi sasa

Mazungumzo haya yanaongozwa na Balozi wa Sweden hapa Nchini, Anders Sjöberg

Fuatilia > https://jamii.app/DemocracyTalk

#DemocracyTalkTz
Ungana nasi katika Mazungumzo ya Demokrasia Nchini #Tanzania kupitia Digitali yanayolenga kujenga na kubadilishana uzoefu kuhusu #Demokrasia ya Kidigitali kama njia ya kuimarisha Maendeleo

Zaidi, tembelea > https://jamii.app/DemocracyTalk

#DemocracyTalkTz
Maxence Melo: Nyanja za Kidigitali sasa hivi zinatoa nafasi kwa Watu kutoa maoni yao.

Tunaona hata Mamlaka za Serikali zikielekea huko kufahamu Wananchi wanasema nini

Hata Kesi za Mahakamani, sasa hivi Watu wanaweza kuzifuatilia kwa kutumia Uwanja wa Digitali

Soma zaidi > https://jamii.app/DemocracyTalk

#DemocracyTalkTz
Maxence Melo: Tulipata changamoto sana kuhusu Sera yetu ya Faragha hata kufikishwa mahakamani lakini kwa sasa naona Serikali imesema wazi kuwa iko katika hatua za mwisho za uandaaji wa Muswada wa Ulinzi wa taarifa binafsi na faragha za Watanzania

#DemocracyTalkTz
Ungana nasi katika Mazungumzo ya Demokrasia Tanzania kupitia Digitali

Tembelea > https://jamii.app/DemocracyTalk

#DemocracyTalkTz
Maoni ya Wadau mbalimbali katika Mazungumzo ya Demokrasia Tanzania kupitia Digitali

#JamiiForums #DemocracyTalkTz
Ili kuweza kutuma Maombi ya nafasi hizi tembelea - https://jamii.app/NafasiAjira

#JamiiForums