JamiiForums
βœ”
52.8K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Tukifurahia Miaka 60 ya Uhuru wa #Tanganyika ni kwa kiwango gani tumeweza kuitumia mifumo ya Digitali katika kusimamia Haki za Binadamu, Demokrasia na Utawala Bora?

Ungana nasi katika Mjadala huu kuanzia saa 12 kamili kupitia Clubhouse

Link - https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/apMXkmgH/xerKXO6Y
KARIBU TUJADILI, TUELIMISHANE NA KUTOA HOJA ZETU

- JamiiForums inaendesha mjadala unaoendelea sasa kupitia Clubhouse kuhusu β€œMiaka 60 ya Uhuru na Mchango wa Digitali”

- Ungana nasi, tujadili, tuwasiliane na kuelimishana kuhusu mada hiyo kwa kupitia ; https://www.clubhouse.com/room/PA0oo9ge

#JamiiForums
Yanayojiri katika Mjadala wa "Miaka 60 Ya Uhuru: Mchango wa Digitali katika Uhuru wa Kujieleza, Demokrasia na Utawala Bora" kupitia Clubhouse

Ungana Nasi - https://www.clubhouse.com/room/PA0oo9ge
Yanayojiri katika Mjadala wa "Miaka 60 Ya Uhuru: Mchango wa Digitali katika Uhuru wa Kujieleza, Demokrasia na Utawala Bora" kupitia Clubhouse

Ungana Nasi - https://www.clubhouse.com/room/PA0oo9ge
Maoni kadhaa yaliyotolewa katika Mjadala wa "Miaka 60 Ya Uhuru: Mchango wa Digitali katika Uhuru wa Kujieleza, Demokrasia na Utawala Bora" uliofanyika Clubhouse

#JamiiForums
WHO: KUKABILI TISHIO JIPYA LA COVID-19 NI VEMA KILA MMOJA KUCHANJWA

WHO imetoa wito kwa Mataifa tajiri kutohodhi Chanjo na kutatiza usambazaji wake huku ikisisitiza kuacha kutolewa Chanjo za nyongeza ili kupeleka Chanjo kwa Mataifa Masikini

Soma - https://jamii.app/WHOCoronaVacc
#UVIKO3
RIPOTI: WANAHABARI 293 WAMEFUNGWA MWAKA 2021

Pia, Kamati ya Kutetea Waandishi wa Habari (CPJ) imesema takriban Waandishi wa Habari 24 waliuawa kwa sababu ya kazi yao

Waandishi 50 bado wapo gerezani nchini #China

Soma - https://jamii.app/RipotiCPJ

#PressFreedom #JamiiForums
MEXICO: Takriban watu 53 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafirishwa kupata ajali

Mamlaka zinasema zaidi ya watu 100 wanaosemekana kuwa wahamiaji kutoka Amerika ya Kati, walijazwa kwenye lori hilo

Soma - https://jamii.app/53DeadMexico
CHANJO YA COVID-19 HAIKUZUII KUPATA CHANJO NYINGINE

Kituo cha CDC kinasema waliopata Chanjo ya #COVID19 wanaweza kupokea Chanjo za maradhi mengine

Mwitikio wa Chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu atapata chanjo ya aina moja au tofauti

Soma https://jamii.app/ChanjoTofauti

#UVIKO3