JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.44K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MANYARA: ELIMU YA COVID-19 KUTOLEWA NYUMBA KWA NYUMBA

Mratibu wa Chanjo ya #CoronaVirus Mkoani humo, Suleiman Manoza amesema mwamko wa Chanjo ni mdogo

Wameiomba Wizara ya Afya kuwapatia Chanjo ya #Janssen ambayo inatolewa mara moja

Soma - https://jamii.app/DoorToDoor

#UVIKO3
Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo

Baadhi wanaona ni jambo la manufaa kwani humpa nafasi Mzazi kushiriki katika maendeleo ya Mtoto huku wengine wakiona ni kumtesa Mtoto kipindi anachotakiwa kupumzika

Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse

#JamiiForums #Malezi
Serikali imesema tafiti zinaonesha Maambukizi mapya ya VVU yanawakabili zaidi Vijana wenye miaka 15-24, huku 80% wakiwa wa Kike

Mikoa yenye maambukizi makubwa na juu ya kiwango cha kitaifa ni Njombe, Iringa, Mbeya, Kagera na Geita

Soma https://jamii.app/VijanaVVUTZ

#WorldAidsDay2021
COVID-19: KOREA KUSINI YAWATAKA WASAFIRI WOTE KUKAA KARANTINI

Taifa hilo lasema Wasafiri wote wakiwemo waliopata Chanjo kamili watatakiwa kukaa Karantini kwa siku 10

Safari za ndege kutoka Nchi 8 za Afrika ikiwemo Afrika Kusini kudhibitiwa

Soma https://jamii.app/ChanjoKoreaKusini

#UVIKO3
AUSTRIA: DAKTARI APIGWA FAINI KWA KUMKATA MGUU MGONJWA KIMAKOSA

Daktari wa Upasuaji amepigwa faini ya Euro 2,700(Takriban Tsh. Milioni 7) kwa kukata mguu wa kulia badala ya kushoto

Asema kulikuwa na dosari ktk utoaji amri kwenye chumba cha upasuaji

Soma https://jamii.app/AmkataMguu
TANZANIA KUTOSHIRIKI 'MISS WORLD' 2021

Mwakilishi wa #Tanzania, Juliana Rugumisa hatoweza kushiriki kutokana na kukwama kwa Visa

#MissWorld2021 inatarajiwa kufanyika Nchini #PuertoRico Desemba 12 na Desemba 3 ndio mwisho wa kuingia kambini

Soma - https://jamii.app/TZNoMissWorld
#JFLeo
HOJA: AIBU YAKO, UMASIKINI WAKO

Mshiriki wa #StoriesOfChange anasema vijana wa kitanzania huwa na aibu kujituma ktk utafutaji kutokana na elimu walizonazo

> Anashauri kuhama sehemu unayojulikana ili uondokane na aibu, pia ondoa mawazo hasi

Soma https://jamii.app/AibuYako

#JFMdau
Katika Ukaguzi Maalum wa ukusanyaji wa Mapato ya Ndani ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM) 43 kwa kipindi cha 2017/18 - 2019/20, CAG alibaini kutokusanywa kwa Tsh. Bilioni 60.81 ambazo ni Mapato ya Ndani

Ktk ukaguzi wa 2019/20, CAG ameonesha kuongezeka kwa kutokusanywa kwa Mapato ya Ndani kwa kipindi cha 2016/17 - 2019/20

Ktk MSM 67 kulikuwa na Tsh. Bilioni 35.99 ambazo ni Miamala iliyokuwa haijawasilishwa kutoka kwenye vyanzo mbalimbali

Soma - https://jamii.app/UpotevuMSM
#JFUwajibikaji
GEITA: MAMA ANYWESHA SUMU WANAYE KWASABABU YA MAISHA MAGUMU

Veronica Gabriel anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuua wanaye wawili. Watoto wengine 3 wamelazwa kwa matibabu

Mtuhumiwa amenusurika kufariki baada ya kunywa sumu akidhamiria kujiua

Soma - https://jamii.app/MagumuSumu
Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo

Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse

Kushiriki Mjadala huu, Bonyeza - https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/S1hdad7O/MwrAaJ4e

#JamiiForums #Malezi
Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo

Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse

Kushiriki Mjadala, Bonyeza - https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/S1hdad7O/MwrAaJ4e

Mjadala wa "Wanafunzi kuendelea na Masomo wakati wa Likizo" unaendelea hivi sasa kupitia Clubhouse

Kushiriki Bonyeza - https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/S1hdad7O/MwrAaJ4e

#JamiiForums