CHANJO HAZISABABISHI MIMBA KUHARIBIKA
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa(CDC) kinahimiza Wajawazito, wanaotarajia kupata Ujauzito na wanaonyonyesha kupata chanjo kujikinga na #COVID19
Manufaa yake kwa Wajawazito hushinda hatari zinazoweza kutokea
Soma https://jamii.app/ChanjoMimba
#UVIKO3

SUDAN: Watu 5 wameuawa na wengine kujeruhiwa wakati wa Maandamano ya kudai Utawala wa Kidemokrasia Jumamosi
Inadaiwa Vikosi vya Baraza la Mapinduzi ya Kijeshi vilivamia Hospitali ya Al Arbaeen huko Obdurman na kushambulia Watu
Soma https://jamii.app/5DeadSudan
#HumanRightsViolation

IFAHAMU CHANJO AINA YA #ASTRAZENECA
Imethibitishwa na Shirika la Afya (WHO) kuwa salama kukinga #CoronaVirus kwa Watu wenye miaka 18 na zaidi
Inatolewa kwa Dozi mbili ambapo Dozi ya pili hutolewa wiki 8 mpaka 12 baada ya Dozi ya kwanza
Soma - https://jamii.app/FahamuChanjo

LIBYA: MTOTO WA GADDAFI KUWANIA UCHAGUZI WA RAIS DESEMBA 2021
Saif al-Islam al-Gaddafi (49) ameonekana ktk mkanda wa video akitia saini Nyaraka za Uchaguzi
Wagombea wengine ni Kamanda wa Kijeshi wa Mashariki, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge
Soma - https://jamii.app/SeifGaddafiPresdn
#JFLeo

#AUSTRIA: WASIOPATA CHANJO WAWEKWA 'LOCKDOWN' KUDHIBITI MAAMBUKIZI
Kansela asema Serikali haijachukua hatua hiyo kwa wepesi, lakini ni ambayo inahitajika
Wasiochanjwa wataruhusiwa kutoka nyumbani kwa sababu kadhaa ikiwemo kununua chakula
Soma - https://jamii.app/AustriaLockdown

ARUSHA: Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu wa Sekondari Suye, Evance Florian (17) ameuawa kwa kipigo huku chanzo ni Deni la Tsh. 3,000
Jeshi la Polisi linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi, Ibrahim Shaban (18) kwa madai ya kuhusika
Soma - https://jamii.app/KifoDeniBuku3
#HumanRights

UCHAKAVU NA UCHAFU KATIKA MASOKO YA CHAKULA
Katika ukaguzi, CAG alibaini kuwepo kwa idadi kubwa ya Wafanyabiashara ktk Masoko zaidi ya uwezo wa Masoko hayo ambapo hali hii husababisha uzalishaji mkubwa wa takataka na uchakavu wa Miundombinu
Pia, kulikuwa na udhaifu ktk Usimamizi wa uendeshaji wa masoko ambapo kati ya Halmashauri 10 zilizokaguliwa, Halmashauri 5 hazikuwa na #Sheria ndogondogo za usimamizi wa usafi wa Masoko.
Soma - https://jamii.app/UchafuMasoko
#JFUwajibikaji

CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO WAFANYABIASHARA WA TANZANIA
Mdau wa Shindano la 'Stories Of Change' anasema Sekta ya #Biashara Nchini inakabiliwa na changamoto ambazo zinazorotesha Utendaji na Ufanisi
Anasema tunahitaji kuwa na Kodi ya Mashamba makubwa ya Mazao ya Biashara. Pia, kuondoa riba ama kupunguza kwa asilimia kubwa ili Mwananchi akomboke
Msome - https://jamii.app/ChangamotoBiasharaTZ
#StoriesOfChange

DAR: Mahakama imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na Mawakili wa Utetezi katika Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake 3
Jaji Joachim Tiganga amekubaliana na hoja za upande wa Mashtaka, na kukubali barua iliyotolewa na Naibu Msajili wa Mahakama itolewe kama kielezo na Shahidi namba mbili katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi
Soma - https://jamii.app/PingamiziMbowe

DAR: Rais Samia Suluhu amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)
Asema, "Mapambano dhidi ya tishio la Ugaidi si suala la Vyombo vya Ulinzi na Usalama peke yenu, bali linahitaji ushirikiano wa Taasisi mbalimbali"
Soma - https://jamii.app/RaisSamiaLugalo

MAPUNGUFU KATIKA ULIPAJI MISHAHARA NA MIKOPO
Ripoti ya CAG 2019/20 imeonesha mapungufu kadhaa ikiwemo;
Mamlaka za Serikali za Mitaa 36 kushindwa kulipa madai mbalimbali ya Watumishi yenye thamani ya Tsh. Bilioni 27.84
Pia, Mamlaka za Serikali za Mitaa 46 kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria ya mishahara yenye thamani ya Tsh. Bilioni 5.08 kwenye Taasisi husika
Soma https://jamii.app/MikopoMishahara

WHO: CHANJO ZA COVID-19 HAZINA VIAMBATA HATARI NA SUMU
WHO imesema viambata vya chanjo kwa kawaida ni sawa na vile vinavyopatikana mwilini
Chanjo hupitia majaribio ya kisayansi na michakato ya uidhinishaji kuhakikisha zina ufanisi
Soma - https://jamii.app/ViambataHatari

INDIA: HEWA CHAFU YAPELEKEA MAHAKAMA KUAMURU OFISI ZIFUNGWE
Mahakama ya Juu imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi New Delhi na Miji ya karibu
Hii itaruhusu Mamilioni kufanyia kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta mbinu za kupunguza hewa chafu
Soma - https://jamii.app/PollutionIndia

#SOMALIA: WANAJESHI WA UGANDA WAHUKUMIWA KWA KUUA RAIA
Wanajeshi 5 wa #Uganda wanaofanya Kazi na Vikosi vya AU Nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia 7
Wawili wamehukumiwa kifo, watatu kifungo cha miaka 39 kila mmoja
Soma - https://jamii.app/JeshiUgandaKifo
#HumanRights #JFLeo

MDAU: MASOMO YA BIASHARA YAENDANE NA MAZINGIRA YA KITANZANIA
Mshiriki wa Shindano la Stories Of Change anasema bado tunafundishwa jinsi ya kutunza na kuhesabu Fedha lakini Dunia ya leo imebadilika
Anasema Serikali inakubali Teknolojia inazidi kukua lakini bado imeshindwa kufumua Mfumo uliopo ili kuendana na Soko la Ajira
Soma Makala yake - https://jamii.app/MasomoBiashara

SERIKALI YA MAREKANI KUTOA TSH. BILIONI 437 KWA SEKTA YA AFYA
Waziri Dorothy Gwajima amesema, "Serikali ya Marekani inatarajia kutoa fedha hizo kwa kipindi cha miaka 5 kuanzia mwaka kesho na zitatumika kuboresha utoaji Huduma za Afya"
Soma - https://jamii.app/MarekaniAfyaTZ

WAZIRI LUKUVI: MARUFUKU MADALALI KULAZIMISHA KULIPWA POSHO YA MWEZI 1
Asema "Baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
Soma https://jamii.app/DalaliPosho1

MISRI: Marufuku ya Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa #COVID19 imeanza kutekelezwa
Zaidi ya watu Milioni 14 Nchini humo wamepata Dozi 2. Serikali inalenga kuchanja 40% ya Raia kufikia mwisho wa mwaka
Soma - https://jamii.app/MarufukuMisri
#UVIKO3 #JFLeo

Wizara ya Mambo ya Ndani imesema itazifutia leseni Jumuiya na Taasisi ambazo zitashindwa kuwasilisha Vyeti, Katiba na Kanuni za Uendeshaji kwa Msajili ndani ya Siku 15
Mikoa ya Mbeya na Songwe yatajwa vinara wa Jumuiya nyingi ambazo hazijasajiliwa
Soma - https://jamii.app/JumuiyaMsajili15

DRC: Mahakama ya Katiba imesema haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu, Seneta Augustin Matata Ponyo anayeshutumiwa kwa Ubadhirifu wa Fedha za ujenzi wa Bustani ya Kilimo
Serikali imetakiwa kutafuta Mahakama itakayopewa Mamlaka ya kuhukumu
Soma - https://jamii.app/PonyoFailedCase