Utoaji wa Chanjo ya #COVID19 umekuwa ukihamasishwa kona zote za Dunia huku baadhi ya Nchi zikichukua hatua za kuweka Vikwazo kwa Watu ambao hawajapata Chanjo kurudi Maofisini, kusafiri au kushiriki shughuli za kijamii
Wasiochanja wana sababu mbalimbali ambazo zinawapelekea kusitasita katika kufanya Maamuzi.
Ungana na Jamii Forums katika Mjadala na wasiochanja utakaofanyika leo, Novemba 12, 2021 kupitia Clubhouse
#JamiiForums #UVIKO3

Yanayojiri katika Mjadala na ambao bado hawajapata Chanjo ya #COVID19 unaoendelea Clubhouse
#JamiiForums #UVIKO3 #CoronaVirus
#JamiiForums #UVIKO3 #CoronaVirus
MDAU: BODABODA ZITASABABISHA WATOTO WENGI KUWA NA MATATIZO YA KIFUA
Mshiriki wa #StoriesOfChange anasema baadhi ya Wazazi huruhusu Watoto kupelekwa Shule kwa pikipiki, na baadhi ya Madereva huwaweka watoto mbele
Anashauri kujali usalama wa Mtoto na si kuwahi Shule
Soma - https://jamii.app/BodabodaWatoto

#SUDAN: Jenerali aliyeongoza Mapinduzi ya Kijeshi hivi karibuni, Abdel Fattah al-Burhan amejiteua kuongoza Baraza Tawala la Mpito
Jenerali Mohammed Hamdan Dagalo ambaye ni Mshirika wake wa karibu ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais
Soma - https://jamii.app/AjiteuaSudan
#Democracy #JFLeo

NI KWELI AJIRA INA UNAFUU NA UHAKIKA ZAIDI KULIKO KUJIAJIRI?
Mdau wa JamiiForums.com anasema Kuponda kuwa Ajira ni Utumwa ni sawa na "sizitaki mbichi hizi" kwasababu Ajira hazipo nyingi, na zikitangazwa hata waliojiajiri wanazishambulia pia
Anasema #Biashara ni nzuri ikiwa kuna Mfumo wa kupigana jeki na kubebana. Mfano Mzazi akifariki kuwe na Mtoto kaandaliwa kuendeleza
Una maoni gani kuhusu hoja hii?
Mjadala - https://jamii.app/UhakikaAjira
#JFLeo

MDAU: WAZAZI TOENI URITHI KWA WATOTO. ELIMU SIO URITHI
Mdau wa JamiiForums.com anasema Baba ana majukumu ya kuhakikisha ulinzi na usalama ndani ya Familia, kuihudumia Familia pamoja na kuzalisha Mali na kuandaa Urithi kwa kizazi chake
Anasema siku za hivi karibuni kumezuka tabia hasa Wababa kuleta visingizio kuhusiana na masuala ya kumuandaa Mtoto na Ulimwengu. Elimu sio Urithi bali ni Hitaji muhimu ambalo Mzazi lazima umpe Mwanao
Mjadala - https://jamii.app/ElimuSioUrithi
#Maisha #Familia

IKULU, DAR: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan apokea kifimbo cha Malkia wa Uingereza kuashiria Uzinduzi wa Michezo ya Jumuiya ya Madola
> Kifimbo hicho kinaashiria kuanza kwa Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2022
Soma https://jamii.app/KifimboChaMalkia
#JFSports

ECUADOR: Wafungwa 68 wa gereza la Litoral Mjini Guayaquil wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano ya magenge mawili hasimu
> Magereza yana wafungwa 55% zaidi ya uwezo. Wafungwa takriban 300 wamefariki kwa vurugu za mahasimu mwaka 2021
Soma https://jamii.app/EcuadorWafungwa

👍1