EPL: CHELSEA YAIFUNGA MAN. CITY, YAPANDA NAFASI YA 3
Klabu ya Chelsea imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Man City iliyokuwa nyumbani uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu England
> Timu hizo sasa zitakutana Mei 29, 2021 katika Fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League)
#JFSports #MCICHE #chelsea #mancity

#MYANMAR: JESHI LASEMA KUNDI LINALOPINGA UTAWALA WAKE NI MAGAIDI
Jeshi limesema kundi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni la kigaidi na kulishutumu kwa mashambulizi ya mabomu na mauaji
Maandamano na migomo ya kupinga Utawala wa kijeshi inaendelea
Soma > https://jamii.app/MyanmarCrisis

GHASIA MJINI #JERUSALEM: WATU 200 WAJERUHIWA
Kuna urushaji Maputo ya Moto kutoka #Gaza kuelekea Israel na kushambuliwa kwa Mashamba ya Wapalestina
Polisi wa #Israel wanafyatua Maji ya kuwasha na Risasi za mipira kuwatawanya Wapalestina
Soma - https://jamii.app/JerusalemCrisis

SERIKALI YATANGAZA AJIRA MPYA 9,675
TAMISEMI imetangaza ajira za Watumishi wa Afya 2,726 kwa ajili ya Hospitali za H/shauri, Vituo vya Afya na Zahanati pia Walimu 6,949 wa S/Msingi na Sekondari watakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa
Soma https://jamii.app/AjiraMpya

RAIS SAMIA AMKABIDHI NYUMBA YA KUISHI RAIS MSTAAFU KIKWETE
- Amemkabidhi nyumba hiyo iliyojengwa Wilayani Kinondoni, Dar
- Pia, Rais Samia amemuagiza Waziri wa Utumishi, kuanza maandalizi ya kutimiza haki zote anazostahili Hayati Rais Magufuli
Soma https://jamii.app/SamiaNyumbaKikwete

KAMANDA MUROTO: WANAOPANGA KUANDAMANA WATAKIPATA WANACHOKITAFUTA
Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma amewaonya Wafuasi wa CHADEMA waliopanga kuandamana kutokea Geita ili kumshinikiza Spika Job Ndugai kuwafukuza Wabunge 19 wa Viti Maalum
Soma - https://jamii.app/MurotoOnyoBawacha
#JFLeo #Siasa

#COVID19: VIRUSI VYA INDIA NA UINGEREZA VYAGUNDULIKA AFRIKA KUSINI
Virusi vya Corona vinavyojulikana kama B.1.617.2 na B.1.1.7 vimethibitika Majimbo ya Guateng na KwaZulu-Natal
Waliokutwa na maambukizi ni wenye historia ya kusafiri ktk nchi hizo
Soma > https://jamii.app/VirusiSA

SOMALIA: POLISI WATANO WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA KUJITOA MHANGA
> Pia, raia zaidi ya sita wameuawa ktk shambulio hilo lililofanyika Mei 9, 2021, saa tatu na nusu usiku, Mjini Mogadishu
> Kati ya Polisi watano waliouawa wawili ni Makamanda
Soma https://jamii.app/SomaliaBomu
#Ugaidi

UMOJA WA ULAYA HAUJAONGEZA MKATABA WA KUPATA CHANJO YA ASTRAZENECA
Mkataba wa Umoja wa Ulaya (EU) na #AstraZeneca utaisha mwezi Juni
> Mei 8, Kamisheni ya EU iliingia makubaliano ya hadi 2023 na BioNTech/Pfizer ya ununuzi wa dozi za nyongeza
Soma https://jamii.app/AstrazenecaVsEU

WAZIRI MKUU: WIZARA ITOE TAARIFA HARAKA KUHUSU MCHEZO WA SIMBA NA YANGA
Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Michezo kutoa taarifa haraka kuhusu Mechi kati ya Simba SC na Yanga SC na hatma ya waliolipa viingilio vya Mchezo ulioahirishwa
Soma - https://jamii.app/MajaliwaSimbaYanga

SUDAN KUSINI: BUNGE LAVUNJWA KUTEKELEZA MAKUBALIANO YA AMANI
Rais Salva Kiir atateua Wabunge wapya kutoka pande mbili zilizokuwa na mzozo
Mzozo ulianza 2013 baada ya Rais Kiir anayetokea jamii ya Wadinka kumfukuza kazi Makamu wake, Riek Machar
Soma > https://jamii.app/BungeSudanKusini

RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI WATANO
- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepokea Hati za Utambulisho za Balozi Lebbius Taten Tobias (Namibia), Balozi Mary O'Nell (Ireland), Balozi Dkt. Mehmet Gulluoglu (Uturuki), Balozi Marco Lombardi (Italia) na Balozi Ricardo Ambrosio Sampaio Mtumbuida (Msumbiji)
#JamiiForums