JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
NJOMBE: MJOMBA ALIYEDAIWA KUBAKA MTOTO ASHINDA KESI. WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI

- Mtoto huyo aliyebakwa 2018 akiwa na miaka 3 alisababishiwa maumivu na ulemavu uliopelekea kutafutiwa njia mbadala kwa ajili ya haja kubwa na ndogo

Soma https://jamii.app/MjombaBakaMtoto
MBUNGE: JITIHADA ZA KUKAMATA WAVUVI NI KUBWA KULIKO ZA KUWAWEZESHA

- Mbunge wa Nyasa amehoji, kwanini Mikopo ya Injini za Boti isitolewe kwa mtu mmoja mmoja kuliko kupitia vikundi?

- Asema jambo hilo linachelewesha ukuaji wa Sekta ya Uvuvi

Soma > https://jamii.app/BungeUvuvi
WHO: 46% YA VISA VYA CORONA WIKI ILIYOPITA VIMETOKEA INDIA

- India imerekodi 46% ya maambukizi ulimwenguni na 25% ya vifo vyote vilivyoripotiwa wiki iliyoisha

- Vifo vipya 3780 vimerekodiwa na Serikali imekosolewa kwa kutochukua hatua mapema

Soma > https://jamii.app/WHO-India
RAIS SAMIA AOMBWA KUWAACHIA HURU WANAHARAKATI, WAANDISHI NA WANASIASA

- Wanaharakati kutoka Kenya, Uganda na #Tanzania wamemuomba Rais wa Tanzania kuwaachia huru zaidi ya Wafungwa 100 ambao walifungwa kwa kukosoa Uchaguzi Mkuu wa 2020

Soma - https://jamii.app/ActivistsSamiaKE
#HumanRights
UHURU KENYATTA: TANZANIA NA KENYA ZIKISHIRIKIANA PANDE ZOTE ZITASHINDA

- Rais wa Kenya amesema, "Wananchi wakijiona kama ndugu na kushirikiana badala la kushindana, pande zote zitashinda. Hatuna lolote la kushindana"

Soma > https://jamii.app/KenyaTZKenyatta
RAIS SAMIA: HALI YA DEMOKRASIA NCHINI NI NZURI

- Ameeleza hayo alipokutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu

- Asema, Serikali itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa kulinda Usalama

Soma https://jamii.app/RaisSamiaUN
Hotuba ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 05, 2021 akiwa Bungeni Kenya
WATU 27 AKIWEMO HALIMA MDEE WAFUTIWA KESI YA KUTOTII AMRI SEGEREA

- Mahakama imewafutia Kesi ya kufanya mkusanyiko na kutotii amri halali katika geti la Gereza la Segerea

- Ni baada ya Upande wa Mashtaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu

Soma > https://jamii.app/KesiYafutwa