UHURU WA HABARI: SERIKALI YASEMA HAIJAWAHI KUZUIA USAJILI KWA WENYE VIGEZO
- Serikali imesema haijawahi kuzuia usajili wa wenye vigezo, na Tanzania ni miongoni mwa Nchi zenye Vyombo vingi vya Habari. Hayo yameelezwa na Waziri Innocent Bashungwa katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari
- Amesema "Tuna Magazeti 256, Televisheni 53, Redio 194, Redio za Mitandaoni 23, Blogs 120, Televisheni za Mtandaoni 440. Nina wasiwasi takwimu hizi hazifiki kwenye Taasisi zinazotoa orodha za #UhuruWaHabari ndio maana 'ranking' inakuwa mbaya"
#WPFD #WorldPressFreedomDay

WAKILI EMMANUEL MUGA: UANDISHI WA HABARI UKIFANYIKA KISAWASAWA HAUWEZI UKAWA RAFIKI NA MAMLAKA
- Asema #Tanzania haijawahi kufanya Uandishi unaoibua mambo. Mambo mengi yanaibuliwa na Bunge lakini 'serious Journalism' bado inapwaya
Soma - https://jamii.app/WakiliMugaUandishi
#PressFreedomDay

RAIS ATENGUA UONGOZI NA KUVUNJA BODI YA WAKURUGENZI WA SHIRIKA LA POSTA
- Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) Prof. Tadeo A. Satta na Wajumbe 6 wa Bodi hiyo
- Pia, Masta Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania wametenguliwa
Soma https://jamii.app/TASACNaPosta

MBUNGE AHOJI KUHUSU MAJI IKUNGI MASHARIKI. NDUGAI ASEMA JIMBO LILITELEKEZWA NA ALIYEKIMBILIA UBELGIJI
- Mbunge Viti Maalum alihoji kuhusu kutokuwepo maji ktk visima
- Spika akasema, "Lile Jimbo la aliyekimbilia Ubelgiji halina wa kulishughulikia"
Soma > https://jamii.app/NdugaiIkungi

BALOZI WA MAREKANI: HAIJAWAHI KUWA VIGUMU KUWA MWANDISHI TANZANIA KAMA ILIVYO SASA
- Balozi Donald Wright amesema Waandishi wanakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Kiuchumi na Kiteknolojia, taarifa za uongo na #Sheria kandamizi
Soma https://jamii.app/PressFreedomTZ

CHAD: JESHI LATANGAZA SERIKALI MPYA YA MPITO
- Wapinzani Nchini humo wametaka kuwepo Serikali ya Mpito inayoongozwa na Rais aliye Raia wa kawaida huku Makamu wa Rais akitokea Jeshini
- Jeshi limeahidi kufanyika Uchaguzi katika miezi 18
Soma > https://jamii.app/SerikaliChad

VIONGOZI WA CHAMA CHA WALIMU WAFIKISHWA MAHAKAMANI
- Deus Seif na Abubakar Allawi wamekuwa wakichunguzwa na TAKUKURU kwa uchepushaji na kutumia Madaraka vibaya
- Walitumia Milioni 13.9 kulipia tiketi za ndege na malazi kwa safari ya Cape Verde 2018
Soma https://jamii.app/ViongoziCWT

WAZIRI JAFO AAGIZA KUKAMATWA KWA ALIYETELEKEZA MAKONTENA YA UCHAFU
- Ameagiza kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Seif for Tobacco Trading Co. Ltd aliyeingiza Makontena zaidi ya 500 yenye Molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza Bandari ya Dar
Soma - https://jamii.app/JafoUchafuBandarini

AJERUHI MTOTO KWA KISU NA KISHA KUJIUA BAADA YA KUGUNDUA ANA VVU
- Shija Mwanzalima (30) amemchoma kisu Mtoto wa kambo, Rachel Erasto(3) na kisha kujinyonga baada ya kugundulika ameathirika na Virusi vya UKIMWI huku Mkewe akiwa hajaathirika
Soma - https://jamii.app/UkatiliVVUGeita

ADHABU YA VIBOKO SHULENI BADO NI HALALI KATIKA NCHI 64
- Nchi Nyingi ziko Afrika, Mashariki ya Kati na Asia
- Watoto milioni 246 bado wananyanyaswa kijinsia ambapo Mwanafunzi 1 kati ya 3 huonewa na kunyanyaswa kimwili
Soma - https://jamii.app/SmackingSchools
#EndCorporalPunishment

MAHAKAMA YAMWACHIA HURU ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE BUKOBA MJINI
- Chief Kalumuna amesema yeye na wenzake walikamatwa kufuatia vurugu zilizotokea baada ya Mkurugenzi kukataa kuwaapisha
- Asema Serikali iliwashtaki kwa kufanya fujo kipindi cha Uchaguzi
Soma > https://jamii.app/KalumunaHuru

#COVID19: WATAKAOINGIA TANZANIA KUTOKA NCHI ZENYE VIRUSI VIPYA KUKAA KARANTINI
- Kuanzia Mei 04, Wasafiri/Raia wanaorudi kutoka Nchi hizo watakaa Karantini ya lazima kwa gharama zao
- Wasafiri watatakiwa kuzingatia taratibu za kujikinga na maambukizi
Soma https://jamii.app/CovidTZ

BILL NA MELINDA GATES WAACHANA BAADA YA MIAKA 27
- Wanandoa hao wametangaza kutalikiana wakisema hawaamini wanaweza kukua pamoja kama wenza
- Bill Gates mwenye utajiri wa Dola Bilioni 124 na Melinda wanaendesha Bill & Melinda Gates Foundation
Soma > https://jamii.app/BillMelindaDivorce

#COVID19 INDIA: VISA VYAFIKIA MILIONI 20, UPATIKANAJI OXYGEN BADO CHANGAMOTO
- Hospitali zaomba misaada huku Jeshi likitakiwa kusaidia kukabiliana na mlipuko
- Wataalamu waonya idadi halisi za visa na vifo inaweza kuwa kubwa kuliko inavyoripotiwa
Soma https://jamii.app/20MillionIndia

MATIKO: UKAGUZI UNAOFANYIKA MAGEREZANI UNAKIUKA UTU
- Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, ameitaka Serikali kufunga mashine maalum za ukaguzi kwenye Magereza
- Asema Wafungwa kukaguliwa wakiwa Uchi wa mnyama ni kinyume na #HakiZaBinadamu
Soma - https://jamii.app/UkaguziGerezani

JOB NDUGAI: KUWEKA WATU NDANI OVYO SIO SAWA
Amesema "Tujifunze kwa Nchi zingine, Mtu anayefahamika anaitwa Kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kurudi nyumbani kwasababu hawezi kukimbia. Huku Askari wanaona kuweka Watu ndani ni raha"
Soma https://jamii.app/NdugaiMahabusu

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
NAIROBI, KENYA: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Nchini Kenya ambapo ameenda kwa ziara ya siku mbili kuanzia leo Mei 04, 2021 kufuatia mwaliko wa Rais Uhuru Kenyatta
#JamiiForums
#JamiiForums