JamiiForums
βœ”
52.7K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MOROGORO: MBARONI KWA KUUZA MISHKAKI YA NYAMA YA MBWA

> Hamza Rajabu (20), Omary Mohamed (12) na Mussa Juma (30) wanashikiliwa na Polisi kwa kuuza mishkaki ya Mbwa maeneo ya Msamvu

> Walikutwa wakimchuna ngozi Mbwa Darajani ktk barabara ya Iringa

Soma - https://jamii.app/MbwaMoro
WALIOSTAAFU 1996 OFISI YA MAKAMU WA RAIS HAWATALIPWA PENSHENI

> Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira imesema waliostaafishwa walishalipwa stahiki zao

> Hawatalipwa pensheni kwani waliajiriwa kwa β€œOperational Services”

Soma - https://jamii.app/SerikaliPensheni
MBUNGE ASEMA SHERIA YA BIMA INA MATATIZO NA WANANCHI HAWATENDEWI HAKI

- Dkt. Oscar Kikoyo amesema mhanga wa ajali za barabarani anapokwenda kudai fidia, Sheria ya Bima ipo kimya

- Ameeleza, kiasi anachoenda kulipwa ni maamuzi ya Kampuni ya Bima

Soma > https://jamii.app/BungeSheriaBima
#COVID19: KENYA YAZUIA NDEGE KUTOKA INDIA

- Zuio hilo la siku 14 ni kufuatia ongezeko la maambukizi Nchini India

- Wataowasili #Kenya kutoka India katika saa 72 zijazo watafanyiwa vipimo na watakaokutwa na maambukizi watalazimika kujitenga siku 14

Soma https://jamii.app/KenyaNdegeIndia
KENYA: KITUO CHA RUNINGA CHAFUNGIWA KWA KUONESHA VIBONZO VYA NGONO

> Mt. Kenya TV kimefungiwa kwa wiki nne na kutakiwa kulipa faini ya takriban Tsh. Milioni 11.5

> Mamlaka ya Mawasiliano zimesema kituo hicho kilirusha picha zisizofaa mchana

Soma https://jamii.app/KituoChaRuninga
TSH. BILIONI 35.7 ZIMEKUSANYWA BAADA YA WASHTAKIWA KUKIRI MAKOSA

> Waziri Kabudi amesema Washtakiwa 243 ktk kesi 192 za Uhujumu Uchumi, wamekiri makosa na kulipa fidia/faini ya Tsh. Bilioni 35.7 ktk kipindi cha Julai 2020 hadi Machi 2021

Soma https://jamii.app/KukiriUhujumu
WIZARA: TUPO TAYARI KUBADILI SERA NA SHERIA IKIWA WADAU WATAPENDEKEZA

> Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Hassan Abbas amesema Wadau wakupendekeza mambo yenye tija ktk Tasnia, Serikali itabadili Sheria ya Habari

Soma https://jamii.app/MabadilikoHabari
BIDEN: MAREKANI HAINA LENGO LA KUVUTANA NA URUSI

- Rais huyo amesema alimweleza wazi Rais Vladimir Putin kuwa hawalengi kuchochea mvutano lakini vitendo vinavyofanywa na Urusi vina athari

- Asema Marekani haitoacha kujitolea kwenye Haki za Binadamu

Soma https://jamii.app/BidenUSRussia
UNITAID: BEI YA VIFAA VYA KUJIPIMA VVU YASHUKA KWA 50%

- Vifaa hivyo sasa vitauzwa kwa Dola 2 (Takriban Tsh. 4,500) ktk Nchi zinazokidhi vigezo

- Kifaa hicho ni muhimu kwa Nchi za kipato cha chini na kati, ambako kuna changamoto za huduma za afya

Soma - https://jamii.app/VifaaVVU
RUVUMA: TEMBO 30 WAVAMIA MASHAMBA NA KUHARIBU EKARI 20

> DC wa Namtumbo amesema Tembo huvamia kutokana na Wafugaji na Wakulima kuharibu Ikolojia ya Hifadhi

> Mbali na kuharibiwa mazao, Wananchi wanaokota kinyesi cha Tembo wakidai ni dawa

Soma - https://jamii.app/TemboNamtumbo
NAIBU WAZIRI: KIPANDE CHA JANGWANI KINAFANYIWA USAFI KUPUNGUZA ATHARI ZA MAFURIKO

- Asema Serikali imepanga kubadili eneo la Bonde la Mto Msimbazi kuwa la Uwekezaji na usanifu wa mradi umekamilika

- Utekelezaji utaanza baada ya kupata idhini

Soma https://jamii.app/ChandeBungeni
INDIA: WANANCHI WAPIGA KURA LICHA YA HALI MBAYA YA CORONA

- Wakazi wa West Bengal wanapiga kura huku kukiwa na hofu Jimbo litakuwa kitovu kipya cha mlipuko kutokana na Kampeni zenye mikusanyiko mikubwa

- India imerekodi visa zaidi ya Milioni 18

Soma > https://jamii.app/IndiaBengal
ARUSHA: ASKARI 4 WAFUKUZWA KWA TUHUMA ZA RUSHWA YA MILIONI 100

- Wanadaiwa kumuomba Rushwa Prof. Maeda aliyewahi kuwa Mshauri wa Uchumi wa Mwalimu Nyerere. Maofisa 2 wamesimamishwa kazi

- Walimpekua na kudai vipande 2 vya meno ya Tembo vimekutwa

Soma > https://jamii.app/PolisiRushwa