SABABU ZA MAJENGO YANAYOFANANA KUJENGWA KWA GHARAMA TOFAUTI
> Baadhi ya mambo yanayotofautisha gharama hata kama ramani na ukubwa zinafanana ni pamoja na mahali unapojenga, jinsi ardhi ilivyo (kama ina muinuko) na nyakati za majira unayojenga
Soma https://jamii.app/UjenziGharama

TBA YATOA SIKU 17 KWA WANAODAIWA PESA YA MAJENGO
> Wakala wa Majengo #Tanzania (TBA) imewataka wapangaji waliolimbikiza madeni kulipa kabla ya Desemba 31, 2020
> Kuna Taasisi zaidi ya 17 za Serikali ambazo zinadaiwa Tsh. Bilioni 4
Soma - https://jamii.app/MadeniTBADesemba31

TANZIA: WAZIRI WA ZAMANI, DKT. PIUS NGβWANDU AFARIKI DUNIA
> Dkt. Pius Ngβwandu afariki dunia katika Hospitali ya Somanda, Bariadi alipopelekwa kwa matatizo ya Presha
> Aliwahi kuwa Mbunge wa Maswa na Waziri wa Maji aliyetumikia kwa vipindi tofauti tofauti
Soma https://jamii.app/PiusNgwandu

CATC: KUOMBA LESENI YA KURUSHA DRONES NI BAADA YA MAFUNZO
- Chuo Cha Usafiri wa Anga (CATC) kitaendesha mafunzo ya #drones ya wiki 4 kuanzia Januari kwa Tsh. 1,980,000
- Watakaohitimu wataweza kuomba leseni ya kurusha drones kutoka TCAA
Soma https://jamii.app/MafunzoDrones

TANGA: UJAUZITO, UTORO WAPELEKEA WATOTO 397 KUSHINDWA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
> RAS wa Tanga, Judica Omari amesema, kiwango hicho ni kikubwa ikilinganishwa na 2019
> Ametaja ukosefu wa miundombinu na Wazazi kutochangia chakula kuwa sababu
Soma https://jamii.app/397ElimuMsingi

MIFUKO YA HIFADHI YATAKIWA KUTOWASUMBUA WASTAAFU KWENYE MAFAO
> Serikali imesema moja ya kazi za mifuko hiyo ni kuweka kumbukumbu Mwanachama kabla ya kustaafu
> Imeagiza kuchukuliwa hatua kwa Wafanyakazi wanaofanya kazi kwa mazoea na uzembe
Soma https://jamii.app/UsumbufuMafao

SERIKALI YATAIFISHA ALMASI ZA TSH. BILIONI 61.97
> Serikali ya #Tanzania imetaifisha Madini ya Almasi ya Tsh. Bilioni 61.97 yaliyokamatwa yakitoroshwa na waliokuwa watumishi wa Wizara ya Nishati na Madini kwenda Ubelgiji kupitia Uwanja wa JNIA
Soma https://jamii.app/AlmasiZataifishwa

#ZANZIBAR: JIMBO LA PANDANI KUFANYA UCHAGUZI MACHI 28, 2021
> Uchaguzi Mdogo unafanyika kufuatia kifo cha Mwakilishi Mteule wa Jimbo hilo kilichotokea Novemba
> ZEC imevitaka Vyama kujipanga kushiriki ili kutimiza matakwa ya kidemokrasia
Soma - https://jamii.app/ZECPandani

MAREKANI KUFUNGA BALOZI MBILI ZILIZOPO URUSI
> Wizara ya Mambo ya Nje imesema Balozi ndogo za Vladivostok na Yekaterinburg zitafungwa kutokana na masuala ya Usalama & Ulinzi
> Shughuli ktk Ofisi hizo zilipungua tangu Machi sababu ya #COVID19
Soma https://jamii.app/USBaloziUrusi

KIGOMA: MAJALIWA AAGIZA BANDARI AMBAYO IMEKAMILIKA TANGU 2017 KUANZA KUTOA HUDUMA
> Waziri Mkuu wa Tanzania ameipa Mamlaka ya Bandari (TPA) wiki mbili kuhakikisha Bandari ya kimkakati ya Kagunga iliyogharimu Bilioni 3.8 inaanza kutoa huduma
Soma https://jamii.app/BandariKigoma

KATAVI: WAHUDUMU 3 WA AFYA WATUHUMIWA KWA WIZI WA DAWA
- TAKUKURU inawachunguza Wahudumu 3 wa kituo cha Ilembo kwa makosa ya wizi wa Dawa za Serikali pamoja na kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa wagonjwa wanaolazwa kwenye kituo hicho
Soma - https://jamii.app/WiziDawaKatavi

PICHA YA OL DOINYO LENGAI YACHAGULIWA KATI YA PICHA 15 BORA KIMATAIFA
> Picha inayoonesha muonekano wa Volkano ya Ol Doinyo Lengai imechaguliwa kati ya picha 15 bora katika mashindano ya Wiki Loves Earth 2020
> Ni picha pekee kutoka Afrika
Soma https://jamii.app/Oldonylengai

MUSEVENI: NAIBU WA PILI WA WAZIRI MKUU AFARIKI KWA #COVID19
- Akiwa kwenye Kampeni, Rais Yoweri Museveni amedokeza kuwa Kirunda Kivejinja amefariki kutokana na #COVID19
- Mtoto wa marehemu amesema baba yao alikuwa pia na Ugonjwa wa Kisukari
Soma https://jamii.app/NaibuPM2-UG

LUKUVI: SHERIA INARUHUSU KUANDIKA JINA LA MKE NA MUME KWENYE HATI YA ARDHI
- Waziri William Lukuvi amesema, #Sheria inaruhusu kuandikwa majina mawili ya wenza katika Hati za umiliki ardhi kwa lengo la kulinda Haki na jasho la kila mmoja wao
Soma - https://jamii.app/KeMwHatiArdhi

SANTUARIO MADONNA DELLA CORONA: KANISA LILILOPO MLIMANI TANGU 1530
> Kanisa lipo Mlima Baldo huko Spiazzi nchini #Italia. Lilitumika na Watawa waliotaka utulivu ili kusali
> Eneo hilo lina mambo mengi ikiwemo mfano wa mzani ulitumika kumpima Yesu
Soma https://jamii.app/MadonnaDellaCorona

FAHAMU TATIZO LA UPUNGUFU WA DAMU MWILINI (SEHEMU YA 1)
- Mara nyingi husababishwa na kupoteza Damu wakati wa hedhi kwa Wanawake wanaotokwa Damu nyingi
- Sababu nyingine ni uzalishwaji duni wa chembe nyekundu za Damu unaosababishwa na upungufu wa Vitamini au lishe duni
Soma - https://jamii.app/UpungufuDamu
#Afya

UJUE MBUYU UNAOSADIKIWA KUBADILI JINSIA
> Kaole, Bagamoyo kuna Mbuyu ambao unasadikiwa kuwa unapozungukwa kushoto kwenda kulia unaongeza umri wa kuishi na vinginevyo
> Ukizungukwa zaidi ya mara saba hubadili jinsia, mwanaume atakuwa na tabia za kike na mwanamke anakuwa na tabia za kiume
Soma https://jamii.app/MbuyuBagamoyo

DKT. MWINYI: SERA NA SHERIA ZIANDIKWE KWA KISWAHILI
> Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amewataka Wataalamu wa Kiswahili kuhakikisha #Sheria na Sera za Serikali zinakuwa katika lugha hiyo, ili kuwawezesha wananchi kuzielewa vizuri
Soma - https://jamii.app/SeraSheriaKiswahili

ASKOFU BANZI AFARIKI DUNIA
> Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Tanga, Antony Banzi amefariki dunia asubuhi, Desemba 20, 2020
> TEC imesema, alifariki akiwa anapatiwa huduma matibabu Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)
Soma https://jamii.app/AskofuBanzi

DAR: AMWAGIWA CHAI YA MOTO BAADA YA KUDAI TALAKA
> Mariam Msafiri (25) alidai talaka baada ya mumewe kuwa na mwanamke mwingine
> Seif Abdul alikuwa akimnyanyasa Mkewe kwa muda mrefu huku Mariam alivumilia kwa kutotaka wanaye watatu wateseke
Soma https://jamii.app/MotoTalaka