SAMIA SULUHU ATIMIZA HAKI YA KIKATIBA KWA KUPIGA KURA
> Mama Samia amepiga kura katika Kituo cha SOS Mombasa Zanzibar
> Amewasihi Watu waliopo nyumbani na wanahofia usalama wao wajitokeze kupiga kura kwasababu kila kitu kipo vizuri na zoezi linakwenda haraka
#Uchaguzi2020

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amepiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Bungi Wilaya ya Kati Unguja
-
Dkt. Shein ambaye ameongoza Zanzibar tangu mwaka 2010 anamaliza muda wake
#JamiiForums #Uchaguzi2020

MUSOMA: MAJINA YA WAPIGA KURA YAHAMISHWA NA KUPELEKWA KITUO KINGINE
> Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Bweri wamelalamika majina yao kupelekwa katika vituo ambavyo hawakujiandikisha bila kupewa taarifa
> Msimamizi wa Uchaguzi asema majina yamehamishwa kwa kuwa kila kituo kinapaswa kuwa na wapigakura 450
Soma - https://jamii.app/MajinaKuhamishwa

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
IGP SIRRO: HALI KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA NI SHWARI
> Amesema ametembelea Vituo kadhaa vya kupigia kura na hali ni shwari
> Ameomba utulivu ambao umeanza uendelee mpaka pale kura zitakapomaliza kupigwa na hatimaye matokeo kutolewa
Soma https://jamii.app/IGPHaliVituoni

NEC: TUTAANZA KUPOKEA MATOKEO YA URAIS KUANZIA USIKU WA LEO
> Tume itaanza kupokea matokeo ya kura za Urais kutoka kwenye Majimbo ila matokeo ya Udiwani yatatangazwa kwenye Kata
> Shughuli hiyo itafanyika ktk Ukumbi wa JNICC, Dar
Soma - https://jamii.app/MatokeoUrais

QUEEN SENDIGA: HILI NI SHINDANO, NIMEJIANDAA KUPOKEA MATOKEO
> Amesema, akishinda atashukuru kwasababu atapata fursa kubwa ya kuwatumikia Watanzania
> Vilevile, kama kura hazitatosha bado haiwezi kumpa sababu ya kutokuwatumikia wananchi
Soma - https://jamii.app/ADCMatokeo
#TZ2020

TANGA: MAWAKALA WAKAMATWA KWA KUWAZUIA WATU WASIPIGE KURA
> Baadhi ya Mawakala toka CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wa Kituo cha Ngamiani Kusini wanadaiwa kuwazuia Wapiga kura wakidai wao kutopewa Barua za Kuwatambulisha
Soma - https://jamii.app/MawakalaMbaroni

PROF. LIPUMBA ATIMIZA HAKI YAKE YA KIKATIBA
> Mgombea Urais kupitia CUF amepiga kura ktk kituo cha Shule ya Msingi Mtakuja, Dar
> Ametoa wito akisema βWanaosimamia Uchaguzi watende haki, kura zihesabiwe kama zilivyopigwa kusiwe na uchakachuaji
#Uchaguzi2020 #TanzaniaDecides2020

HASHIM RUNGWE APIGA KURA, ASEMA ZOEZI LINAENDA VIZURI
> Mgombea Urais kupitia CHAUMMA amepiga kura Kituo cha Shule ya Msingi Ushindi kilichopo Mikocheni
> Akizungumzia mchakato mzima wa upigaji kura, amesema zoezi hilo linaenda vizuri, hakuna msururu wala vurugu

KUTOKUWEPO KWA WAKALA HAKUBATILISHI MCHAKATO
> Kifungu cha 71 cha Taratibu za Uchaguzi 2020 ( Uchaguzi wa Urais na Ubunge) kinaeleza kuwa:-
> Kutokuwepo kwa Wakala au Wagombea wakati wa upigaji au kuhesabu kura hakuwezi kubatilisha mchakato huo
Soma zaidi https://jamii.app/Wakala3

SALUM MWALIMU ATIMIZA HAKI YAKE YA KIKATIBA
> Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHADEMA amepigaji wa kura Kituo cha Kisiwandui kilichopo Jimbo la Kikwajuni, #Zanzibar
> Amezungumzia suala la Mawakala wa Upinzani kunyimwa barua za utambulisho na kuahidi kutoa tamko

TUNDU LISSU APIGA KURA MKOANI SINGIDA
> Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu amepiga kura katika Kituo cha Ntewa A, Shule ya Msingi Ntewa, Kata ya Ntuntu, Ikungi, Mkoani Singida
#JamiiForums #Uchaguzi2020
> Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu amepiga kura katika Kituo cha Ntewa A, Shule ya Msingi Ntewa, Kata ya Ntuntu, Ikungi, Mkoani Singida
#JamiiForums #Uchaguzi2020
JAJI KAIJAGE: HAKUNA UTHIBITISHO WA KUWEPO KURA FEKI
> Amesema, hakuna uthibitisho rasmi wa uwepo wa kura feki wala taarifa za vituo vipi zimekutwa
> Ameeleza kuwa, taarifa hizo hazijapelekwa rasmi kwa Tume na kuwataka wananchi kuzipuuza
Tazama https://youtu.be/_KD_WFI1u4E

YouTube
NEC: Hakuna uthibitisho wa kuwepo kwa kura feki katika Majimbo ya Kawe, Buhigwe au Pangani
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Semistocles Kaijage amezungumzia kuhusu kura feki katika Majimbo ya Kawe, Pangani na Buhigwe
Amesema, hakuna uthibitisho rasmi wa uwepo wa kura feki wala taarifa za vituo vipi zimekutwa. Vilevile amesema taarifaβ¦

JF YAZUIWA KUPATIKANA KWA BAADHI YA WATEJA WAKE WALIO TANZANIA
> Tovuti ya JamiiForums.com haipatikani kwa baadhi ya wateja wake wanaotumia watoa huduma za mawasiliano wa #Tanzania
> Hali hii imetokea dakika chache zilizopita siku ya leo (Oktoba 28, 2020)
#KeepItOn #TZ2020
> Tovuti ya JamiiForums.com haipatikani kwa baadhi ya wateja wake wanaotumia watoa huduma za mawasiliano wa #Tanzania
> Hali hii imetokea dakika chache zilizopita siku ya leo (Oktoba 28, 2020)
#KeepItOn #TZ2020
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAMBOSASA: SABABU ZA HALIMA MDEE KUVURUGA UCHAGUZI TULIONA NI ZA KIHUNI
> Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar amesema, "Halima Mdee alikwenda kituoni na kuzuia watu kupiga kura na sababu zake tuliziona ni za kihuni. Zaidi kwasababu alisema ni kwa nini watu wana mabegi"

FAHAMU UTARATIBU UNAOTUMIKA ENDAPO KURA ZA WAGOMBEA ZIMELINGANA (ZIMEFUNGANA)
> Msimamizi wa Uchaguzi au Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi anatakiwa kufungua masanduku yote ya kura katika Jimbo au Kata na kuhesabu kura upya
> Baada ya kuhesabu kura zote upya na matokeo ya uchaguzi kulingana tena, atatakiwa kuitaarifu Tume
> Tume itapanga siku nyingine ya uchaguzi ambayo haitakuwa zaidi ya siku 30 tangu Siku ya Uchaguzi wa awali
> Watakaopigiwa kura ni wale tu ambao katika uchaguzi wa awali walipata kura nyingi kuliko wengine
> Ufafanuzi huu ni kwa mujibu wa kifungu cha 77 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 78 cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292
Zaidi, soma > https://jamii.app/KuraSawa

MWENYEKITI CHADEMA ARUSHA ASHAMBULIWA KWA MAPANGA
> Kwa mujibu wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Mkoa huo na Mgombea Udiwani Kata ya Kikatiti, Elisa Mungure amevamiwa na 'greenguard' walioambatana na Polisi. Amejeruhiwa na kukimbizwa Hospitali
Soma https://jamii.app/ArushaMkitiCDM

NEC: KATA 4 HAZIJAFANYA UCHAGUZI WA MADIWANI
> Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Kata 3 Wagombea wamefariki na Kata ya Kibosho Kati karatasi za kura zimekosewa
Soma https://jamii.app/Majimbo4Udiwani
#Uchaguzi2020
#TanzaniaDecides2020

JAMIIFORUMS SASA INAPATIKANA KWA WATEJA WOTE
> Je, ulipata changamoto kuipata jamiiforums.com?
> Kwa sasa unaweza kupata huduma kwa kupitia jamiiforums.live
#KeepItOn