NEC WATOA SABABU YA KUZUIA MKUTANO WA LISSU SOMANGA
> Oktoba 23, 2020 Polisi walitumia mabomu ya machozi kuzuia Mkutano wa Tundu Lissu
> NEC wamesema mkutano huo haukuwa ktk ratiba na ilitakiwa kukubaliana juu ya mabadiliko ya ratiba
Soma https://jamii.app/LissuSomanga
#Uchaguzi2020

DKT. MAGUFULI AMSIFIA DKT. SLAA KAMA MPINZANI ALIYEKUWA NA MASLAHI YA WATU
> Dkt. John Magufuli amemsifu Dkt. Wilbroad Slaa kuwa mpinzani aliyekuwa na hoja zenye manufaa kwa Taifa
> Asema, alimteua kuwa Balozi wa nchi 9 kutokana na uzalendo wake
Soma https://jamii.app/SlaaVsMagufuli
#TZ2020

TANZIA: MTANGAZAJI WA TBC, ELISHA ELIA AFARIKI DUNIA
- Mwandishi wa Habari na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa, Elisha Elia amefariki dunia leo Oktoba 24, 2020
- Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Ayoub Rioba amesema kifo hicho kimetokea katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa amelazwa kwa matibabu
Soma https://jamii.app/RIPElisha
#Tanzia #JFTanzia

LA LIGA: ZIDANE AENDELEZA UBABE DHIDI YA BARCA
Zinedine Zidane ameendeleza rekodi yake ya kutopoteza mchezo katika Dimba la Nou Camp kama Kocha baada ya Barcelona chini ya Kocha Ronald Koeman kuambulia kichapo cha bao 3 kwa 1 ikiwa nyumbani katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga
Magoli ya Real Madrid yamefungwa na F.Valverde dakika ya 5, na kunako dakika ya 63 S.Ramos akaindikia timu hiyo goli la pili kwa mkwaju wa penati, na goli la tatu kukamilisha ushindi wao likafungwa na L.Modric kunako dakika ya 90, huku goli pekee la Barcelona likifungwa na A.Fati dakika ya 8
Hii ni El Clasico ya kwanza tangu msimu huu kuanza pia ni ya mwisho katika muongo huu, ambapo imeikutanisha miamba hiyo ya La liga Santander wakati ambao timu zote zimepoteza michezo yao ya ligi Juma lililopita

FAHAMU IDADI YA WALEMAVU WANAOTARAJIWA KUPIGA KURA - 2020
> Walemavu wa Macho ni 2,223 na Walemavu wa mikono ni 4,911
> NEC wameeleza kuwa Walemavu wa aina nyingine ni 6,077
> Jumla yao inakadiriwa kuwa wanaweza kufikia 13,211
#Uchaguzi2020 #TZ2020 #JamiiForums #JamiiTalks

PROF. LIPUMBA: CUF ITAHAKIKISHA WANANCHI WANAONDOKANA NA MAAFA YA MAFURIKO
> Akiwa Kilwa Kaskazini amesema, CUF itawekeza katika mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi
> Pia, ameahidi kujenga barabara ya Nangurukuru-Liwale
Soma https://jamii.app/CUFKilwa

DC KANONI: HAKUNA KUFANYA SHEREHE OKTOBA 27 NA 28
> Mkuu wa Wilaya ya Wangingβombe Mkoani Njombe, Lauter Kanoni amewaagiza Watendaji wake kuhakikisha Wananchi hawafanyi sherehe Oktoba 27 na 28 ili wajiandae kushiriki Uchaguzi Mkuu
Soma https://jamii.app/NjombeSherehe

MAALIM SEIF: MAMLAKA ZIMUACHIE NASSOR MAZRUI MARA MOJA
> Amesema kuna taratibu za kukamata mtu, na kilichofanyika ni uvamizi na uhuni
> Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Mazrui ametekwa asubuhi na wanaosemekana kuwa Vijana wa Jeshi la JKU Zanzibar
Soma https://jamii.app/MazruiZnz

MAGUFULI AAHIDI MILIONI 100 KWA BARABARA YA MINJINGU-KAKOI
> Bajeti ya barabara hiyo ni Tsh. Milioni 58 ila Dkt. Magufuli ameongeza bajeti na kutaka zabuni itangazwe mapema
> Ameahidi hayo alipokuwa Minjingu, Manyara kwenye Mkutano wa Kampeni
Soma https://jamii.app/Tsh100mil

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
IGP SIRRO: IKICHEZA SIMBA/YANGA NA POLISI TANZANIA, SHABIKIA POLISI TANZANIA
> Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, Polisi Tanzania ni walinda Usalama nchini, ni vizuri kuwashabikia wakicheza na vilabu vilivyopo nchini
Soma https://jamii.app/MpiraVsPolisiTz

BABATI: RAIS MAGUFULI AAMRISHA WANANCHI 4000 WALIOLIPIA UMEME WAUNGANISHIWE
> Meneja wa TANESCO Mkoa, Rehema Mashinji amesema walishindwa kuwaunganishia umeme kwani wanahitaji Tsh. Bilioni 1.5
> Rais ametoa mwezi 1 waunganishiwe umeme
Soma https://jamii.app/UmemeKampeni

SHIBUDA AWASIHI WAGOMBEA KUWA TAYARI KUPOKEA MATOKEO
> Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, John Shibuda ametoa wito kwa Wagombea wote kujiandaa kisaikolojia na kuwa tayari kupokea matokeo, akisema asiyekubali kushindwa si mshindani
Soma - https://jamii.app/TamkoBarazaVyama

MGOMBEA ATAKAYETANGAZWA KUWA RAIS HAWEZI KUWEKEWA PINGAMIZI MAHAKAMANI
> Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaondoa mamlaka ya Mahakama yoyote kuchunguza juu ya kuchaguliwa kwa Mgombea
> Kutokana na ibara hii, iwapo mgombea wa kiti cha Urais atatangazwa na Tume kuwa amechaguliwa kuwa Rais basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake
Soma > https://jamii.app/RaisPingamizi
> Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaondoa mamlaka ya Mahakama yoyote kuchunguza juu ya kuchaguliwa kwa Mgombea
> Kutokana na ibara hii, iwapo mgombea wa kiti cha Urais atatangazwa na Tume kuwa amechaguliwa kuwa Rais basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake
Soma > https://jamii.app/RaisPingamizi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ACT-WAZALENDO YAFUNGA KAMPENI ZANZIBAR
> Maalim Seif Sharrif Hamad amesisitiza ahadi zake kwa wazanzibar: Kutoa elimu bure, kuondoa unyanyasaji na kurudisha mamlaka kamili ya Zanzibar
> Kima cha chini cha mshahara kitakuwa Tsh. 500,000/-
Soma https://jamii.app/WazalendoZnz

VISIWA VYA SHELISHELI: CHAMA TAWALA CHAANGUSHWA BAADA YA MIAKA 44
> Mchungaji Wavel Ramkalawan kutoka Upinzani ametangazwa kuwa mshindi wa Urais kwa kupata 54.9% ya Kura
> Ramkalawan alijaribu mara sita kugombea nafasi hiyo bila mafanikio
Soma https://jamii.app/OppositionWins

NEC YATAKA USHAHIDI WA VITUO HEWA KWA WANAODAI HIVYO
> Mkurugenzi wa NEC amesema tuhuma hizo zinaweza kuzua taharuki kwa jambo ambalo si la kweli
> Asema vituo ni vingi kwasababu kila kituo wameweka Wapigakura wasiozidi 500
Soma - https://jamii.app/UshahidiVituoHewa

NEC YASISITIZA: KAMA HAUPO ULIPOJIANDIKISHA HUTOWEZA KUPIGA KURA
> Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera amesema ruhusa ya kufanya hivyo inatolewa kwa Watendaji ambao wameajiriwa na Tume ila sio kwa Mwananchi
Tazama - https://youtu.be/qwrI--yD_sM

YouTube
NEC: Hutoweza kupiga kura ya Rais kama haupo ulipojiandikishia
Ufafanuzi huu umekuja siku chache kabla ya kura kupigwa - Oktoba 28, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI CHAFUNGA KAMPENI ZAKE VISIWANI ZANZIBAR
> Dkt. Hussein Mwinyi amefunga kampeni akisema kuzunguka kumempa fursa ya kutambua uzito wa dhamana ya nafasi ya Urais
> Amesema, dhamira yake ya kuwatumikia Wazanzibari ipo imara
Soma https://jamii.app/CCMKampeniZnz