NIGERIA: VYOMBO VYA HABARI VYAONYWA KURIPOTI MAANDAMANO YA #ENDSARS
> Tume ya Kudhibiti Vyombo vya Habari imevitaka vyombo vya habari kuwa na tahadhari ili kutofanya hali kuwa mbaya zaidi kwa kuonesha matukio ya maandamano jinsi yanavyoendelea
Soma https://jamii.app/NigeriaENDSARS

TROIKA YA SADC YARIDHISHWA NA MAZINGIRA YA UCHAGUZI
> Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama (TROIKA) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeona hali ya Siasa inaruhusu kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 28, 2020
Soma https://jamii.app/TROIKASADC
#TZ2020

BURUNDI: RAIS WA ZAMANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA MAUAJI
> Pierre Buyoya amehukumiwa kwa mauaji ya Rais wa 1 kuchaguliwa Kidemokrasia, Melchoir Ndadaye yaliyotokea 1993
> Pia, wengine 18 waliohusishwa katika kesi hiyo wamehukumiwa
Soma https://jamii.app/BuyoyaSentence

NEC: MATOKEO YA UCHAGUZI YATATANGAZWA KATIKA OFISI ZA DAR
> Imesema Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yatatangazwa Dar na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali
> NEC imekumbusha kuwa, wao tu ndiyo wenye Mamlaka ya kutangaza matokeo ya Uchaguzi
Soma https://jamii.app/MatokeoNECDSM
#Uchaguzi2020

LISSU: ILI UCHAGUZI UWE HURU NA WA HAKI, NI LAZIMA MAWAKALA WOTE WAAPISHWE
> Mgombea Urais, Tundu Lissu amesema Sheria ya NEC inasema Mawakala wanaweza kuapishwa kwenye Ofisi ya Kata
> Ameshangazwa na agizo la kuapishwa kwa Mkurugenzi
Soma https://jamii.app/MawakalaWaapishwe

LISSU: CHAGUENI MADIWANI WA ACT-WAZALENDO AU CHADEMA
> Akiwa katika Kampeni Tanga, Mgombea huyo amewataka wananchi kumpigia kura Diwani anayeweza kumshinda wa CCM
> Amesema ni ajabu kwa Mkoa huo kukosa Wabunge wa CHADEMA na ACT
Soma - https://jamii.app/LissuTanga

CHADEMA YAILAUMU NEC KWA VIFO VYA MAWAKALA
> CHADEMA wamesema Mawakala wao wamefariki baada ya Mwongozo wa Uapishaji kubadilika
> Mawakala hao wamefariki wakiwa safarini kwenda kuapishwa katika Ofisi za Halmashauri
Soma https://jamii.app/CHADEMATumeVifo

HALF TIME: REAL MADRID AFUNGWA TATU BILA
> Nusu Kipindi cha mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Shakhtar Donestsk, Real Madrid amefungwa bao tatu bila
> Klabu ya Mpira ya Shakhtar Donetsk ni timu ya tatu kwenye Ligi ya Premier ya Ukraine
#JamiiForums #JFMichezo #JFSports #Sports

ZANZIBAR: RVS ONLINE TV YAFUNGIWA KWA MIEZI 2 KWA KUTOTOA UWIANO SAWA KWA VYAMA VYA SIASA
> RVS Online TV imefungiwa na Tume ya Utangazaji #Zanzibar hadi Desemba 21 kwa kukosa uwiano na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani
Soma - https://jamii.app/RVSOnlineTv

BASATA: HATUJAUFUNGIA WIMBO WA βONE TIMEβ WA LADY JAYDEE
> BASATA imesema walimuita kumpa maelekezo JayDee ikiwemo kufanya maboresho ktk wimbo wake
> Baraza limewaomba wadau wote wa Muziki nchini kupuuza uvumi wa kufungiwa kwa wimbo huo
Soma https://jamii.app/BASATAJayDee
#JFBurudani

VUNJO: MREMA NA TLP WAMPOKEA MAGUFULI
> Pia, Mgombea huyo wa Ubunge wa Jimbo la Vunjo (TLP) na wafuasi wake wamempa Dkt. Magufuli zawadi ya mbuzi na mkungu wa ndizi
> TLP walitangaza mapema kuwa, CCM ikimsimamisha Magufuli watampigia kampeni
Soma https://jamii.app/TLPCCMVunjo

IGP SIRRO: MAGAIDI ZAIDI YA 300 WALIVAMIA KIJIJI NA KUFANYA UHALIFU
> Magaidi hao kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoani Mtwara na kufanya uhalifu ikiwemo mauaji
> Amesema baadhi ya watu wamekamatwa, na wengine ni raia wa hapa
Soma - https://jamii.app/MagaidiMtwara

QUEEN SENDIGA AAHIDI KUBORESHA SEKTA BINAFSI ILI KUKUZA UCHUMI
> Amesema kwa sasa Sekta binafsi na Serikali kumekuwa na uadui japo wanacheka kwa nje ila ndani wana maumivu
> Mgombea huyo wa ADC ameomba kupewa kura ili kukuza uchumi wa nchi
Soma https://jamii.app/ADCSingida

MAJALIWA: NAFASI YA URAIS INAGUSA MAISHA YAKO, SIO JAMBO LA MCHEZO
> Kassim Majaliwa akiwa Wilayani Masasi amesema, Urais wa #Tanzania unataka mtu mwenye uwezo wa kuongoza watu zaidi ya Milioni 60 wenye Dini, Vyama, Makabila na uwezo tofauti
Soma https://jamii.app/MajaliwaMasasi

UJERUMANI: WAZIRI WA AFYA AKUTWA NA #COVID19
> Waziri wa Afya wa #Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na tayari amejitenga
> Visa 11,287 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita na maambukizi kufikia 391,355 hadi sasa
Soma https://jamii.app/UjerumaniWaziri

NEC: MPIGA KURA ANAWEZA KUOMBA KARATASI NYINGINE AKIKOSEA AU KUBADILI UAMUZI
> Ofisa wa NEC, Flora Mkama amesema, wapiga kura wana haki ya kuomba karatasi nyingine ya kupigia kura endapo itatokea kwa bahati mbaya amekosea au amebadili uamuzi
Soma https://jamii.app/KaratasiKuraNEC

SAUDI ARABIA: MWANAMFALME ADAIWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KHASHOGGI
> Mchumba wa Jamal Khashoggi, Hatice Cengiz anamshtaki Mwanamfalme Mohammed Bin Salman kwa kutoa amri ya kuuawa kwa Jamal
> Jamal alikuwa mkosoaji wa Serikali ya Saudi Arabia
Soma https://jamii.app/CrownPrinceSued

KIGOMA: VIONGOZI 5 WA CHADEMA MBARONI KWA KUKUTWA NA KADI 14 ZA MPIGA KURA
> Waliokamatwa ni Hezron Vicent, Ezekia Samakere, Sheby Kasuka, Helson Miniho na Denis Lubuye
> RPC Manyama amesema walihojiwa lakini majibu yao hayakuwa na mashiko
Soma https://jamii.app/CDMKadiKura

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YAWAASA VIONGOZI WA DINI KUTOFANYA KAMPENI ZA KISIASA
> Imewaasa Viongozi wa Dini kutowaambia Wananchi wamchague Mgombea fulani kwasababu kufanya hivyo ni kinyume na kifungu cha 17(c) cha Sheria ya Jumuiya
Soma https://jamii.app/MOHaViongoziDini

MAALIM SEIF: NITAKUBALI MATOKEO IKIWA UCHAGUZI UTAKUWA HURU
> Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo amesema atakubali matokeo endapo atashindwa, ikiwa Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki
> Pia, hatakuwa na tatizo kumpongeza Dkt. Hussein Mwinyi (CCM)
Soma https://jamii.app/MaalimMatokeoHaki