WILAYA YA MWANGA KUWA NA HOSPITALI 2 ZA WILAYA
> Mgombea Urais, Dkt. Magufuli ameahidi kufanya Kituo cha Afya cha Mwanga kuwa hospitali ya Wilaya
> Amesema Mwanga ina hospitali ya Wilaya iliyoko Usangi ila hakuna ubaya zikiwa mbili
Soma https://jamii.app/MwangaHospitali
#Uchaguzi2020

AFRIKA KUSINI: HAWKS WAMKAMATA βNABIIβ BUSHIRI KWA UTAKATISHAJI FEDHA
> Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai (#Hawks) kimemfikisha Mahakamani βNabiiβ Shepherd #Bushiri na mkewe Mary kwa tuhuma za kutakatisha takriban Tsh. Bilioni 14.4
Soma https://jamii.app/NabiiBushiri

ASKOFU KAKOBE: TUCHUNGE NDIMI ZETU, ULIMI UMEKUWA CHANZO KIKUBWA CHA MACHAFUKO
> Amesema maneno yasitamkwe tu kwasababu yanaweza kuwasha moto wa machafuko
> Asema machafuko yanapotokea kila kitu kinasimama ikimaanisha nchi inasimama
Soma https://jamii.app/ViongoziDiniAmani

MAWAKALA 12 WA CHADEMA WAKATALIWA KUAPISHWA KATIKA JIMBO LA CHATO
> Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekataa kuwaapisha Mawakala 12 kutoka CHADEMA kwa kile walichobainisha kuwa wamefoji Saini ya Katibu Mkuu wa CHADEMA wa Wilaya
Soma - https://jamii.app/NECWakalaChato

TANZIA: MAWAKALA WANNE WA CHADEMA WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI
> Mawakala wanne wamefariki na wengine watatu wamejeruhiwa katika ajali ya gari
> Mwenyekiti wa CHADEMA Rukwa, Shadrack Malila amesema ajali imetokea barabara ya Molo-Sumbawanga
Soma https://jamii.app/VifoMawakalaCDM

UCHAGUZI MKUU 2020 BADO SIKU 7: JE, KURA GANI ITAHESABIKA KUWA IMEHARIBIKA?
Karatasi ya Kura haitahesabiwa kuwa Kura Halali iwapo Kura hiyo:-
(i) Haina Muhuri wa Kituo
(ii) Imepigwa kwa Mgombea zaidi ya mmoja
(iii) Ina alama, au maandishi yanayoweza kumtambulisha mtu aliyepiga Kura
(iv) Haina alama yoyote
(v) Amepigiwa Mgombea aliyejitoa
Soma > https://jamii.app/KuraKuharibika
#Uchaguzi2020 #TZ2020 #JamiiForums #JFLeo #Siasa

TACC: DRONES ZINALETA CHANGAMOTO KWA WAONGOZA NDEGE
> Rais wa Chama cha Waongoza Ndege (TACC) amesema, #Drones hurahisisha kazi kama ujenzi wa Miundombinu na Upigaji picha lakini wanashindwa kuzifuatilia kutokana na kutoonekana zikiwa Angani
Soma https://jamii.app/DroniChagamoto
#JFLeo

CHINA YAITAKA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
> #China imesema, #Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini Serikali ina uwezo wa kuusimamia
> #Marekani ilisema itawachukulia hatua watakaovuruga Uchaguzi Mkuu
Soma https://jamii.app/TzChinaUS
#TZ2020

DKT. MAGUFULI: MIAKA MITANO IJAYO TUTAWAKATIA BIMA WATANZANIA WOTE
> Mgombea Urais kupitia CCM amesema, walianza kwa kujenga Miundombinu ya Afya ikiwemo Hospitali na Vituo vya Afya na miaka mitano ijayo watatoa Bima kwa Watanzania wote
> Amesema, hadi sasa wameshaajiri Madaktari zaidi ya 1,000 na Watumishi wa Afya zaidi ya 14,000
Soma https://jamii.app/MagufuliMoshi

DKT. MAGUFULI ASIFIA UTENDAJI WA ANNA MGHWIRA
> Amesema, Anna Mghwira alikuwa upinzani ktk Uchaguzi wa 2015 lakini hakutukana mtu wakati wa Kampeni
> Hali hiyo ilimfanya amteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa #Kilimanjaro na anafanya kazi nzuri
Soma https://jamii.app/MamaAnnaMghwira

MNYIKA: MAWAKALA WETU HAWAPEWI CHOCHOTE KUTHIBITISHA WAMEAPISHWA
> Amesema wanaona kitendo hicho kama tatizo litakaloleta tatizo kubwa zaidi Oktoba 28
> Wameitaka NEC kuelekeza Wasimamizi wa Uchaguzi kutoa nakala za barua kwa Mawakala
Soma https://jamii.app/MnyikaPress

NCCR MAGEUZI: TUME IWAAPISHE MAWAKALA WA VYAMA VYOTE BILA UPENDELEO
> Chama hicho kimetoa rai kwa Tume ya Uchaguzi kikisema kuna maisha baada ya Uchaguzi
> Kimesisitiza NEC itoe haki na kutoharibu amani kwasababu waathirika watakuwa wengine
Soma https://jamii.app/HakiMawakala

NEC YAONGEZA MUDA WA KUAPISHA MAWAKALA
> Zoezi la kuwaapisha Mawakala lilitakiwa kuisha leo lakini Tume ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda hadi Oktoba 23
> Uamuzi huo umefikiwa kutokana na idadi kubwa ya Mawakala tofauti na ilivyokadiriwa
Soma https://jamii.app/23OktobaNEC

NIGERIA: VYOMBO VYA HABARI VYAONYWA KURIPOTI MAANDAMANO YA #ENDSARS
> Tume ya Kudhibiti Vyombo vya Habari imevitaka vyombo vya habari kuwa na tahadhari ili kutofanya hali kuwa mbaya zaidi kwa kuonesha matukio ya maandamano jinsi yanavyoendelea
Soma https://jamii.app/NigeriaENDSARS

TROIKA YA SADC YARIDHISHWA NA MAZINGIRA YA UCHAGUZI
> Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama (TROIKA) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeona hali ya Siasa inaruhusu kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 28, 2020
Soma https://jamii.app/TROIKASADC

BURUNDI: RAIS WA ZAMANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA MAUAJI
> Pierre Buyoya amehukumiwa kwa mauaji ya Rais wa 1 kuchaguliwa Kidemokrasia, Melchoir Ndadaye yaliyotokea 1993
> Pia, wengine 18 waliohusishwa katika kesi hiyo wamehukumiwa
Soma https://jamii.app/BuyoyaSentence

NEC: MATOKEO YA UCHAGUZI YATATANGAZWA KATIKA OFISI ZA DAR
> Imesema Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yatatangazwa Dar na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali
> NEC imekumbusha kuwa, wao tu ndiyo wenye Mamlaka ya kutangaza matokeo ya Uchaguzi
Soma https://jamii.app/MatokeoNECDSM

LISSU: ILI UCHAGUZI UWE HURU NA WA HAKI, NI LAZIMA MAWAKALA WOTE WAAPISHWE
> Mgombea Urais, Tundu Lissu amesema Sheria ya NEC inasema Mawakala wanaweza kuapishwa kwenye Ofisi ya Kata
> Ameshangazwa na agizo la kuapishwa kwa Mkurugenzi
Soma https://jamii.app/MawakalaWaapishwe

LISSU: CHAGUENI MADIWANI WA ACT-WAZALENDO AU CHADEMA
> Akiwa katika Kampeni Tanga, Mgombea huyo amewataka wananchi kumpigia kura Diwani anayeweza kumshinda wa CCM
> Amesema ni ajabu kwa Mkoa huo kukosa Wabunge wa CHADEMA na ACT
Soma - https://jamii.app/LissuTanga

CHADEMA YAILAUMU NEC KWA VIFO VYA MAWAKALA
> CHADEMA wamesema Mawakala wao wamefariki baada ya Mwongozo wa Uapishaji kubadilika
> Mawakala hao wamefariki wakiwa safarini kwenda kuapishwa katika Ofisi za Halmashauri
Soma https://jamii.app/CHADEMATumeVifo